Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Umomi,

kila hatua ya maisha huwa ina watu wake.

Fikiria marafiki uliokuwa nao miaka 15 nyuma, bado unao wote?

Hao wanaokutenga sasa, assume expire date yao imefika and move on.

and one thing more, keep golden people closer. Only those who lift you up when u are down to the shadow of death..
 
Umomi,
and one thing more, keep golden people closer. Only those who lift you up when u are down.

mkuu, due to his drinking behaviour, I think the golden people he needs in his life are the sober people, so that they can lift him up when he's down, and unconscious, due to heavy drinking
 
Kuna jambo linatokea hapa naona kama marafiki wananitenga jamani nifanyeje? Maana yake sijui kosa langu mpaka kutengwa na washikaji ila nihisi ni kwa sababu nakunywa pombe sana
Nilikutana nayo mahali hii wanasema dunia ni kama kioo ambacho unajiangalia ww so unachokiona kinakuakisi ww.ukiona watu wanakutenga ujue na ww kwa namna moja au nyingine unajitenga nao(either kwa matendo au kimtizamo), ukiona haupendwi jua kwa namna moja au nyingine na w hauna upendo.

Solution ni kuwa ambavyo unataka kuchukuliwa "treat the way you want to be treated". So na ww usijitenge na watu ishi nao kawaida na kama unavyotaka wakuchukulie na watakuchukulia kama uavyotaka
 
Wewe unahitaji msaada mkubwa kulingana na mada zako unazozianzisha humu, be careful zidisha Sala Sana, Mungu akusaidie kwa kipindi unachopitia
Kama unamjua counsellor naomba uniunganishe naye
 
mkuu, due to his drinking behaviour, I think the golden people he needs in his life are the sober people, so that they can lift him up when he's down, and uncoscious, due to heavy drinking
 
Nilikutana nayo mahali hii wanasema dunia ni kama kioo ambacho unajiangalia ww so unachokiona kinakuakisi ww.ukiona watu wanakutenga ujue na ww kwa namna moja au nyingine unajitenga nao(either kwa matendo au kimtizamo), ukiona haupendwi jua kwa namna moja au nyingine na w hauna upendo.

Solution ni kuwa ambavyo unataka kuchukuliwa "treat the way you want to be treated". So na ww usijitenge na watu ishi nao kawaida na kama unavyotaka wakuchukulie na watakuchukulia kama uavyotaka
Well said man!
 
Simjui kwa kweli Ila zungumza na Mungu wako sali kwa Imani ikiwezekana ufunge hata week nzima usali utapata tu njia, hichi ni kipindi Cha mapito kwako usipokuwa makini na kusimama unaweza loose direction. Counselor mzuri ni wewe na Mungu wako na Sala aisee.
Dada Ni ushauri mzuri lakini huyo Mungu nampata wap?
 
Wewe unahitaji msaada mkubwa kulingana na mada zako unazozianzisha humu, be careful zidisha Sala Sana, Mungu akusaidie kwa kipindi unachopitia
Mkuu jamaa kajiuwa kwa sumu.
Daah!, mambo mengine unaweza kudharau baadaye unaona ulipaswa kushughulikia hilo tatizo haraka tena kwa juhudi kubwa kuokoa maisha ya mtu.
 
Only if he could understand this maskinii .
Only if.!!..

Why am I crying though???😭😭
Rest easy Umomi, Pole that tulikupuuzia.!!
 
Only if he could understand this maskinii .
Only if.!!..

Why am I crying though???
Rest easy Umomi, Pole that tulikupuuzia.!!
Mimi nilivomuona mada zake Tena nikamshauri azidishe Sala maana kila mtu ana mapito yake Ila tunavumilia nakuacha stress loh
 
Mkuu jamaa kajiuwa kwa sumu.
Daah!, mambo mengine unaweza kudharau baadaye unaona ulipaswa kushughulikia hilo tatizo haraka tena kwa juhudi kubwa kuokoa maisha ya mtu.
Nili chart naye Ila Alisha dhamiria, ujue kila mtu ana matatizo inategemea jinsi unavo handle
 
Simjui kwa kweli Ila zungumza na Mungu wako sali kwa Imani ikiwezekana ufunge hata week nzima usali utapata tu njia, hichi ni kipindi Cha mapito kwako usipokuwa makini na kusimama unaweza loose direction. Counselor mzuri ni wewe na Mungu wako na Sala aisee.
Dah ulimshauri vizuri kama ulijua hatima yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom