Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Wewe unahitaji msaada mkubwa kulingana na mada zako unazozianzisha humu, be careful zidisha Sala Sana, Mungu akusaidie kwa kipindi unachopitia
Simjui kwa kweli Ila zungumza na Mungu wako sali kwa Imani ikiwezekana ufunge hata week nzima usali utapata tu njia, hichi ni kipindi Cha mapito kwako usipokuwa makini na kusimama unaweza loose direction. Counselor mzuri ni wewe na Mungu wako na Sala aisee.
Mhhhh tulia tu utafakari maana Yuko ndani yako ni ku activate positive energy, relax basi
He who finds you as his wife, finds a good thing, And obtains favor from the LORD.

Ubarikiwe sana Cariha.
 
Dah, sijui kwanini hii habari imeniumiza hivi. Ni kama nilikua namfahamu jamaa.

Rest easy, bro
 
Ila hii mitandao aisee imekuwa sehemu ya watu ku express frustrations zetu, na ukimsoma mtu vizuri unaweza kuelewa anayoyapitia.
Shida watu hu express Mambo yao wakiwa na maamuzi hata umweleze Jambo flani yeye kashaamua. Hafu mengine huwa ni stage ya maisha tu yakujifunza ndio maana yashauriwa kusali kwa Imani yako, kufanya meditation kwa sana au mazoezi, hii dunia bila changamoto ngumu, ukifa tu na frustrations ndio zinakoma
 
Mkuu jamaa kajiuwa kwa sumu.
Daah!, mambo mengine unaweza kudharau baadaye unaona ulipaswa kushughulikia hilo tatizo haraka tena kwa juhudi kubwa kuokoa maisha ya mtu.
Mkuu umejuaje Kama kajiua?
 
Shida watu hu express Mambo yao wakiwa na maamuzi hata umweleze Jambo flani yeye kashaamua. Hafu mengine huwa ni stage ya maisha tu yakujifunza ndio maana yashauriwa kusali kwa Imani yako, kufanya meditation kwa sana au mazoezi, hii dunia bila changamoto ngumu, ukifa tu na frustrations ndio zinakoma

Kuna muda namkumbuka Thomas Malthus na theory yake ya population.

Kwamba inabidi watu wafe ili resources zitoshe kwa wanaobaki.

Acha atangulie. Wanasema mwendo ameumaliza.
 
Mimi nilivomuona mada zake Tena nikamshauri azidishe Sala maana kila mtu ana mapito yake Ila tunavumilia nakuacha stress loh
Cariha na Mimi naona marue ruwe naomba uje pm unipe neno LA faraja
 
Kuna muda namkumbuka Thomas Malthus na theory yake ya population.

Kwamba inabidi watu wafe ili resources zitoshe kwa wanaobaki.

Acha atangulie. Wanasema mwendo ameumaliza.
Lakini Kuna Uzi umeanzishwa kua umomi na aliyeleta Uzi wa kifo ni mtu mmoja, eeeh licha ya hivo huyu jamaa anahitaji msaada
 
Lakini Kuna Uzi umeanzishwa kua umomi na aliyeleta Uzi wa kifo ni mtu mmoja, eeeh licha ya hivo huyu jamaa anahitaji msaada

Sidhani, hawezi kujiandikia thread ya namna hiyo.

Ile thread sioni kama ina supporting evidences za kutosha.
 
Back
Top Bottom