Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Marehemu upo? Tuyasongeshe tu dunia mapito. Kukomaa ni dalili ya ujasiri
 
He who finds you as his wife, finds a good thing, And obtains favor from the LORD.

Ubarikiwe sana Cariha.
Contexts zinatofautiana ndugu...anaweza kuwa mshauri mzuri hapa jamii forums lakini akawa mke asiye bora (ni mfano tu)
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Haya bwana
Sorry if kwa namna yoyote sijaeleweka vizuri...ngoja nikuonjeshe mfano mmoja kati ya mingi niliyonayo...ninaye shemeji yangu mmoja anawapenda sana ndugu wa mme wake...anawajali sana na amekuwa msaada mkubwa kwao. Lakini sasa huyo dada kwa mme wake ugomvi na visa haviishi na yeye ndo source....
 
Only if he could understand this maskinii .
Only if.!!..

Why am I crying though???😭😭
Rest easy Umomi, Pole that tulikupuuzia.!!
It is said nigga is alive and well, just wanted a new beginning. The only problem? He couldn't just ditch this Id so he used his another Id to announce he is dead.
 
Sorry if kwa namna yoyote sijaeleweka vizuri...ngoja nikuonjeshe mfano mmoja kati ya mingi niliyonayo...ninaye shemeji yangu mmoja anawapenda sana ndugu wa mme wake...anawajali sana na amekuwa msaada mkubwa kwao. Lakini sasa huyo dada kwa mme wake ugomvi na visa haviishi na yeye ndo source....
Nimekuelewa Sana mkuu ulichomaanisha, Ila kwa case ya huyo dada ukute mumewe ndo shida na ujue mahusiano Yana Mambo mengi, pia kugombana na kutofautiana ni maisha ya kila siku, eeeh Cha msingi ni kukaa chini na ku solve tatizo lisiwe la kujirudia
 
Wewe unahitaji msaada mkubwa kulingana na mada zako unazozianzisha humu, be careful zidisha Sala Sana, Mungu akusaidie kwa kipindi unachopitia
Sijui kwann nikiona comments zako mwili unaisisimka kimahaba.....! Something about you....
 
Back
Top Bottom