Hahaa,we ni msukuma? Yaani yule msukuma jambo dogo tu anakasirika kwa kiwango cha juu mnoo...na hawezi kujizuia..na ni mdada alikuwa na kazi nzuri tu serikalini ila weakness zake ni hizo kuwa na short temper.Duhh pole sana! Mbona kama ni mimi😅
Nakutania bana, nikiwa na stress zangu huwa napenda nideal nazo mwenyew ili nisikere watu! Mara nyingi sitoki ndani kwangu! Au nitakuwa kimya tu kama leo sijaongea na mtu tangu asubuhi🥲
Kwahiyo ndiomaana napenda tu kukaa mwenyewe🥹
🤣Niende nikapate tiba wapi?
Najitahidi sana! Zamani nilikuwa nakunywa dawa nife ila sifi😂 siku nilimeza flagyl na beer lkn wapi! Siku moja nikazitapika zote! Ni miaka mingi imepita naona naanza kukomaa saiz nimebaki kujifungia tu ndani! Sina watu wa kuongea nao zaidi nisome nyuzi za humu nichoke nihamie tiktok au insta nimalize nilale😫Shem Seran pole sana aisee.
Ni dalili za Depression.
Inabid ujitahidi kuicontrol.
Kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako au ambacho kwa muda huo huwez kukibadili kisikupe stress kubwa hizo. Maana hata ukizipata Haziwez kukiondoa. Sanasana kitakudhuru ww.
Kuwa na mawazo ni sawa. Ila yasizidi. Ukashindwa kufanya mambo mengne ya msingi.
Kabla ya kwenda therapy na kutumia dawa.
Hebu jaribu kupambana nayo mwenyewe. kwa kujifanyisha ubusy. Kuongea na sim nying za ndugu jamaa marafiki.
Mm sijawah kufikia hiyo state.
Ingawa disappointment . Masononeko na maswaiba mengne yananipata kama binadamu. Ila nimechagua upande.
Wa kuwa Kama siwez kukicontrol kitu. Siwez jipa stress nacho.
Ntawaza napambanacho aje. Kama naona sitoboi. Na acha fate ichukue mkondo wake. I cant change it anyway. Why nisononeke kupitiliza?.
Mimi sukuma na nna hasira😁 japo naweza kuzicontrol kama sio jambo la kutisha nabaki tu nmekasirika siongei!Hahaa,we ni msukuma? Yaani yule msukuma jambo dogo tu anakasirika kwa kiwango cha juu mnoo...na hawezi kujizuia..na ni mdada alikuwa na kazi nzuri tu serikalini ila weakness zake ni hizo kuwa na short temper.
Nikiwa na Stress nachukua baiskeli huyooo mdogo mdogo nazurura mpaka narudi home Niko sawaMie nikiwa stressed ndio napenda kujichanganya zaidi na watu, niende kuogelea, nikacheze mpira na washikaji, nisikilize muziki..
Nikikaa pekee yangu na kufikiria sana, huwa sichelewi kufanya jambo ambalo linaweza nigharimu
Hii ni mbaya zaidi suicidal thought huwa zina tabia ya kujirudia pale hali inapokuwa mbaya tena, nenda kwa watu wa saikolojia mapemanakunywa dawa nife ila sifi😂 siku nilimeza flagyl na beer lkn wapi! Siku moja nikazitapika zote! Ni miaka mingi imepita naona naanza kukomaa saiz
Najitahidi sana! Zamani nilikuwa nakunywa dawa nife ila sifi😂 siku nilimeza flagyl na beer lkn wapi! Siku moja nikazitapika zote! Ni miaka mingi imepita naona naanza kukomaa saiz nimebaki kujifungia tu ndani! Sina watu wa kuongea nao zaidi nisome nyuzi za humu nichoke nihamie tiktok au insta nimalize nilale😫
Acha tu shem sio poa🥲
Nina mke hapa ujue🙌🏿🏃🏿🏃🏿😆Mshana na seran ❤️🩹❤️🩹❤️🩹😑
Nina mke hapa ujue🙌🏿🏃🏿🏃🏿😆
Tumbi watakutibu vyema kabisaNiende nikapate tiba wapi?
Anaitwa ?😳😳Nina mke hapa ujue🙌🏿🏃🏿🏃🏿😆
My eveloved, ever cared! Ever adored! Mama la mama mrembo Angel Nylon 💖💖💖Anaitwa ?😳😳
Dah ... Unakula mema ya nchi kaka🤌🤌😛🤩My eveloved, ever cared! Ever adored! Mama la mama mrembo Angel Nylon 💖💖💖