Ulishawahi kupata stress?

Ulishawahi kupata stress?

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
10,620
Reaction score
31,829
Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya!

Mbaya zaidi inanipelekea nakosa hamu ya kula, hata nikila naonja onja tu,napata homa ya ghafla, sijisikii kuongea na watu,sitaki mtu anipigie simu, sijisikii kwenda kazini na hata nikienda sijisikii kuongea na watu ni tumbo joto tu, nataka kukaa mwenyewe chumbani ata siku mbili hadi 3! Natamani chumba kisiwe na mwanga uwe wa mbali sana! Nakaa tu ndani na siwezi kufanya chochote! Sitamani kuoga, kula sebleni wala kupika japo itanilazimu sometimes😩

Hivi na nyie mnapitia hii hali mkiwa na stress au ni mimi tu?🥺
 
Kwa hyo hata shemeji hapo home hutaki tena awepo mkuu,,siku ukiwa na stress.😀
 
Huwa namfukuza mpaka nikae sawa😆
Duh,mbona unamuonea jamaa aisee.nakumbuka nishawahi ishi na manzi mmoja miaka fulani..nikiwa hilo eneo kikazi,ilikuwa ni project kama ya mwaka mmoja..

Yule manzi akaniambia usipange njoo tuishi hapa pamoja..na tukakubaliana ntakuwa nalipia kodi ya nyumba..

Aise yule msukuma wa misungwi alikuwa na hasira na gubu balaa..siku mkikosana anakutishia muachane na anatoa vitu vyangu nje.. baada ya muda anaanza tena kujutia.
 
Duhh pole sana! Mbona kama ni mimi😅

Nakutania bana, nikiwa na stress zangu huwa napenda nideal nazo mwenyew ili nisikere watu! Mara nyingi sitoki ndani kwangu! Au nitakuwa kimya tu kama leo sijaongea na mtu tangu asubuhi🥲

Kwahiyo ndiomaana napenda tu kukaa mwenyewe🥹
 
Shem Seran pole sana aisee.

Ni dalili za Depression.
Inabid ujitahidi kuicontrol.

Kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako au ambacho kwa muda huo huwez kukibadili kisikupe stress kubwa hizo. Maana hata ukizipata Haziwez kukiondoa. Sanasana kitakudhuru ww.

Kuwa na mawazo ni sawa. Ila yasizidi. Ukashindwa kufanya mambo mengne ya msingi.

Kabla ya kwenda therapy na kutumia dawa.
Hebu jaribu kupambana nayo mwenyewe. kwa kujifanyisha ubusy. Kuongea na sim nying za ndugu jamaa marafiki.

Mm sijawah kufikia hiyo state.
Ingawa disappointment . Masononeko na maswaiba mengne yananipata kama binadamu. Ila nimechagua upande.

Wa kuwa Kama siwez kukicontrol kitu. Siwez jipa stress nacho.
Ntawaza napambanacho aje. Kama naona sitoboi. Na acha fate ichukue mkondo wake. I cant change it anyway. Why nisononeke kupitiliza?.
 
Back
Top Bottom