Jamiru
Member
- Aug 18, 2020
- 90
- 310
Ule manzi nisha mla sanadah Mungu atusamehe wanaume
"Nikaomba tutafutiwe sehem poa isiyo na mwanga mkali na haina purukushani za watu ili niweze kaa na mrembo wangu basi tuka tafutiwa na tukaenda kutulia pale huku tukisubiri chakula"
Yani ghafla tu ukamsahau manzi yAko aliyekua anakuja kutoka mkoani baada tu ya kuonana na crush wako wa kitaa bro??