Teflonomicss
Senior Member
- Apr 13, 2020
- 146
- 170
You Judgemental idiotKitendo cha "kula tunda kimasihara" ni kitendo cha uzinzi au uasherati.
Huwezi kula tunda la Mkeo kimasihara bali la yule ambaye siyo Mkeo hivyo hicho kinakuwa ni kitendo cha zinaa na uasherati.
Ndugu yangu ikimbie zinaa. Acha kabisa ufirauni na uasherati. Usiposikia leo na kuacha basi utaiangamiza nafsi yako kwa matendo yako machafu.
MUNGU anakupenda sana na ndiyo maana anakubembeleza utubu na kuacha na yeye atakusamehe kabisa maana hataki nafsi yako iangamie.
Kwanini unaita watu wazinzi na waasherati
Tatizo langu mimi na wewe ndo lipo hapo and hujajiuliza kila unapo post kila mtu anakukosoa wewe
Ng'ombe kumpeleka mtoni ni wajibu wako ila kunywa maji ni hiyari yake mwenyewe
Tusiitane wazinzi na waasherati and on top of that tusiharibiane Siku
Cheers