[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui yuko wapi mweeeh.Nilikuwa sehemu nimekaa wikend moja sasa nikajisemea tu kwene simu jamaangu mwongo mwongo nimemsev mikito mikito simu ilivyoita nikapokea nikasema mambo vipi mikito mikito jamaa pembeni alicheka npaka machozi , kwan yupo wapi mikito mikito daaah
Mamawe lol, kipebdhiiiiiih kwamba huna kumbukumbu? DuuuuhHivi kumbe na wewe uko kwa list yangu[emoji28][emoji28]na wewe una potea sana bhana aaaaa nishakusahau ujue
Mda wa kutunza kumbukumbu ndo sina sasa[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hakuna za bj za kimasihara ee...
Siku wakianzisha bj za kimasihara mnitagi nije kutoa ushuhuda
Sio mimi huyu..zilisikika balimi zikizungumza
Iv una nini wee lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eheeee ndo mana nataka kutoa ushuhuda siku uzi wa hiyo kitu ukianzishwa
balimiilisikikaikinenakwalugha
Nikishashusha? Kifuatacho?Shusha pichu
Ni nguvu ya balimi mdogo wangu cool your temper 😆😆😆😆😆😆😆😆Iv una nini wee lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki tena hakuna😅😅😅..Hakuna sex ya bahati mbaya.
Sasa one stand naiti kumbukumbu ya nini mdogo wangu 😆😆😆Mamawe lol, kipebdhiiiiiih kwamba huna kumbukumbu? Duuuuh
Umeshakua au bado unaendelea na ujinga wako?financial services ole wako ole wakoo
Oleee wako nkuone huku!!
Wewe ndio Mzembe wa kwanza kukuona kwenye huu uzi.Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu.
Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi.
Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!
Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
Mikito mikito mzee wa chai.
bado haujaachiwaUzi umeachiwa?
uliza tena swali lakoSasa mbona tunaweza kuposti tena?