Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,444
Lazima dadako nimwambie
Wacha hizo maneno hahahaaaaa!! Mtoto wa dada alikuwa anakagua kama kaharibu mambo!!
Lazima dadako nimwambie
Ni nguvu ya balimi mdogo wangu cool your temper
Mimi mwenyewe sijui nini kimenipata

yaaan nacheka had baas lol.Sasa one stand naiti kumbukumbu ya nini mdogo wangu
Ila zinakuwaga za kibabe sana manina

afu wee kipendhiii acha kunivunja mbavu uwiiiiiiihGodoro ulilipotezea hukulirudia na vipi hatma ya wewe na huyo bint mliendelea wasiliana.Nilipanga chumba mkoani Tabora , kilikuwa ni moja ya chumba cha uwani wa nyumba kubwa. kwenye hiyo nyumba kubwa ilitokea nilizoeana na mdada mrembo mmoja alikuwa anaishi chumba cha ndani na wadogo zake watatu ambao niliwazoea pia.
Kutokana na mambo ya uhangaikaji niliamua kuhama mkoa huo, sasa siku moja kabla ya kuhama ilikuwa usiku mida ya saa 4 nyumba kubwa washafunga mlango nikasikia mlango wa chumba changu unagongwa, nikaamka toka kitandani nikaenda kufungua mlango ila kabla ya kufungua nikauliza "nani anayegonga?" nikasikia sauti ya kike inajibu "mimi", nikaifahamu ni sauti ya mmoja ya wadogo zake yule dada.
Nikamfungulia mlango, ndani nilikuwa nishafunga funga vitu ili afjajiri niame zangu, nikamkaribisha kwenye kiti cha plastiki na kuanza kumuhoji kulikoni kunigongea muda ule? kunashida gani? akajibu kwamba dada ake alimpa nauli arudi kijijini kwa sababu aliahindwana nae kitabia na alimwambia leo hatolala chumbani kwake ndio maana kaja kuomba msaada wa kuegesha kwa leo tu.
Nikawaza kwamba asubuh nahama haina shida yeye kulala kwa usiku mmoja na hata akikaa kaa hapo si mbaya maana nilibakisha kodi ya miezi mitatu. Nikamkubalia ombi lake, tukiwa kwenye godoro tukawa tunapiga stori mara mvua ikaanza mdogo mdogo na radi zikaunga , binti akawa anaogopa radi, ikipiga mwanga wa radi akawa ananikumbatia kwa nguvu nami nikawa nampa sapoti ya kukumbatia na kupiga piga mgongo ili kumuonyesha yupo salama.
Mvua ilizid kuchanganya binti ameendelea kunikumbatia huku anaemea shingoni kwangu mara nikahisi mikono yake inasugua mgongo wangu. Kilichofuata ni show moja kali sana hata radi hatukuzisikia. alfajir sa 10 nikampigia dereva wa kirikuu akaja tukabeba vitu muhimu nikaliacha godoro ambalo yule dada amelilalia nikamuaga kwa busu moja kali, akasema tutawasiliana naondoka huku siamini kilichotokea usiku wa mwisho katika chumba cha uwani.
.....mkuu baada ya hapo ....mliendelea kuwsilianaNilipanga chumba mkoani Tabora , kilikuwa ni moja ya chumba cha uwani wa nyumba kubwa. kwenye hiyo nyumba kubwa ilitokea nilizoeana na mdada mrembo mmoja alikuwa anaishi chumba cha ndani na wadogo zake watatu ambao niliwazoea pia.
Kutokana na mambo ya uhangaikaji niliamua kuhama mkoa huo, sasa siku moja kabla ya kuhama ilikuwa usiku mida ya saa 4 nyumba kubwa washafunga mlango nikasikia mlango wa chumba changu unagongwa, nikaamka toka kitandani nikaenda kufungua mlango ila kabla ya kufungua nikauliza "nani anayegonga?" nikasikia sauti ya kike inajibu "mimi", nikaifahamu ni sauti ya mmoja ya wadogo zake yule dada.
Nikamfungulia mlango, ndani nilikuwa nishafunga funga vitu ili afjajiri niame zangu, nikamkaribisha kwenye kiti cha plastiki na kuanza kumuhoji kulikoni kunigongea muda ule? kunashida gani? akajibu kwamba dada ake alimpa nauli arudi kijijini kwa sababu aliahindwana nae kitabia na alimwambia leo hatolala chumbani kwake ndio maana kaja kuomba msaada wa kuegesha kwa leo tu.
Nikawaza kwamba asubuh nahama haina shida yeye kulala kwa usiku mmoja na hata akikaa kaa hapo si mbaya maana nilibakisha kodi ya miezi mitatu. Nikamkubalia ombi lake, tukiwa kwenye godoro tukawa tunapiga stori mara mvua ikaanza mdogo mdogo na radi zikaunga , binti akawa anaogopa radi, ikipiga mwanga wa radi akawa ananikumbatia kwa nguvu nami nikawa nampa sapoti ya kukumbatia na kupiga piga mgongo ili kumuonyesha yupo salama.
Mvua ilizid kuchanganya binti ameendelea kunikumbatia huku anaemea shingoni kwangu mara nikahisi mikono yake inasugua mgongo wangu. Kilichofuata ni show moja kali sana hata radi hatukuzisikia. alfajir sa 10 nikampigia dereva wa kirikuu akaja tukabeba vitu muhimu nikaliacha godoro ambalo yule dada amelilalia nikamuaga kwa busu moja kali, akasema tutawasiliana naondoka huku siamini kilichotokea usiku wa mwisho katika chumba cha uwani.
Mawasiliano ya kawaida tu maana nimeamia Moro town yeye aliniambia alibaki kwenye kile chumba hakuondoka. Ila ikitokea anapata safar ya dar lazima ashukie moro kupumzika.Godoro ulilipotezea hukulirudia na vipi hatma ya wewe na huyo bint mliendelea wasiliana.
.............nasubir koment yako .....title Iwe kimasiharayaaan nacheka had baas lol.
Sijawahi kufanya kimasikhara mie, huwa ni seriouz tyuuuh..............nasubir koment yako .....title Iwe kimasihara
.........mkuu ..unasubir ..nn kunipa hyo chance 😲😲😲Sijawahi kufanya kimasikhara mie, huwa ni seriouz tyuuuh.
hilo godoro itakuwa lilikuwa malaikaGodoro ulilipotezea hukulirudia na vipi hatma ya wewe na huyo bint mliendelea wasiliana.
Wee unapenda San mtelezo, iko siku utakuja kujuta ooooh.........mkuu ..unasubir ..nn kunipa hyo chance![]()

. Bac ni pm namba yako ....n,pambane kukupata mkuuWee unapenda San mtelezo, iko siku utakuja kujuta ooooh![]()
Wee kuwa buzzy na wake za watu, afu mbna sijaona. Bac ni pm namba yako ....n,pambane kukupata mkuu
yako humu?umeshaolew tyr?😲😲......Wee kuwa buzzy na wake za watu, afu mbna sijaonayako humu?
Tena kwa ndoa ya kanisani kabisa.umeshaolew tyr?......
Anyway m mlokole mkuu
. Bac npe namba niwe nakushtua jpli kwnda churchTena kwa ndoa ya kanisani kabisa.