Chief sio mke Wangu ila hizo Details zote zinakuja ni Manzi niliemla sana nikiwa Mlimani ila alienda soma huko niliipotaja yaan kila kitu jina eneo alipokuwa anasoma kabilia na kwaoAliyeliwa details zinafanana na za mke wako nini! Kama mke wako anaitwa Jackline anatoka Arusha na alisoma Masasi/Nachingwea.. Hapo kazi unayo.
😂😂😂😂Hii.umeuliza kwa uchungu sana..ngoja nimjibie.
Alisoma massachutes institute of Technology..hivyo ondoa shaka
Unatafuta nini bandugu? Sijui alisoma nini, I just meet her kwa gari anarudi kwaoAlisoma CEMU education!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii.umeuliza kwa uchungu sana..ngoja nimjibie.
Alisoma massachutes institute of Technology..hivyo ondoa shaka
Ooooohh. Nadhani ni matukio yanafanana tu.Aliyeliwa details zinafanana na za mke wako nini! Kama mke wako anaitwa Jackline anatoka Arusha na alisoma Masasi/Nachingwea.. Hapo kazi unayo.
Inawezekana akawa ni yeye chief na kama ni yeye basi now ni mke wa mtu. Kaa mbali nae kabisa😂😂😂😂
Yaan details zote ni kama Manzi ambae nami nimemla kamamara 3 au 4 hivi, Mimi nikikutana nae Ubungo nikiwa Mwanafunzi Wa Milimani miaka hiyo
Kawaida wala usijali kabisa MkuuUnatafuta nini bandugu? Sijui alisoma nini, I just meet her kwa gari anarudi kwao
Yule chizi wa bwana juma maharage alikuwa kitengo yule maana ile stori ya jamaa gafla tu ikafutwa chapu saaana na jamaa hakuwahi kuonekana tena JF mpaka leo🤣🤣miaka hiyo kuna mwehu alikua anaitwa juma p maharage alikula chizi kimasihara na huyo chizi alihisi ni usalama wa taifa..na uzi wake ulifutwa