Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nikishaona mtu anasema mkoa X napoteza imani na story yake. JF ndio social network ambayo mtu hawezi kukujua unless utake mwenyewe kujukikana sio kama FB or Insta.... hata useme jina la mkoa uliopo hatuwezi kukufahamu hata kwa dawa.
 
Mimi huwa nawashangaa sana..hata akisema kata aliyopo bado hatuwezi kumjua.
Yaani siku akikutana na Cvez live unaweza ukamchapa makofi kwa hasira kwa kuhisi ni mtu fulani hivi kumbe ni kajamaa fulani tu hivi. Na huu ndio uzuri wa JF hakuna kujuana personally
 
[emoji1][emoji1][emoji1] ila kweli ukifikiria ada hata hamu ya kuleta watoto duniani inapotea. Unawaza kitu gani ufanye uongeze kipato. Speaking from experience ya hii january
Ni shida mkuu..utawaza sana haya maswala kama kichwani hamna mambo makubwa
 
Ewalaaaaa!!huu ndo uungwana sasa ....Asanteni @modds kwa kuurejesha uzi huu na OP ya @rikiboy,Mkuu hongera kwa kupewa haki yako.
 
Mazee kwenye huu uzi kuna Mjuba flani alitoaga story yake ya kujikuta anaamka asubuhi kashamla chizi kimasihara, sijui kijiji gani morogoro huko, dah ile story huwa natamani sana muendelezi wake, ni kisanga.
 
Nenda jukwaa la biashara ukajifunze ujasiriamali ,ukasome nyuzi za kutafuta pesa.
Aisee na January hii unapata nguvu ya kuandika ujinga badlaabya kutafuta pesa. Kweli Mwaka mpya huana maana yeyote kwako.

Nilitarajia Mwaka mpwa vijana mnasema Mwaka huu tufanye Nini tutoboe

Kuna fursa zipi na tunazipataje, watu wanaweza ngono tu
 
wanafungu uzi kisenge sanaaa pasipo sababu za msingi hawaoni watu wamekimbia whatsup wameamia telegram
nazani mmiliki hajajua hili hawama op wanazingua sana
uzi mtamu unafutwa
mitandao ya kijami ni sehemu y kufurahi,kujifunza,kutema nyongo na kupata kitu
 
Back
Top Bottom