Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Siombei mabaya lakini kufa kwa panzi furaha kwa kunguru ....naona watu wanavyokula matunda KIMASIHARA hapa Uhuru wanapishana chooni wengine wanaenda geust na lodge za karibu kama haupo mbali sogea sogea hapa na wewe ujipatie baharia mwenzangu pisi za kutosha kutoka sehemu mbali mbali bila kusahau buza
 
Jinsi nilivyoliwa/kulana kimasihara na vijana tofauti:-

Nimesoma visa tofauti kwa muda mrefu ila nimeona na mimi nilete vyangu nimeona niweke kwa ID fake maana vingine [emoji28][emoji28] wazee wa kazi wasije ungamisha dots bure!

Kisa cha kwanza:-
Mimi hua ninakuaga na tabia ya kua attracted na mtu kutokana na vitu fulani ila siwez kujirahisisha akajua kua namuelewa na appearance yng naonekana km mdada very serious kufikia extent ya vijana wengi kunihofia ila deep inside nakuaga na vijitabia flani km vya kiume inshort napenda kutaste ladha tofauti baada ya hapo nakua happy na maisha yanaendelea
Kuliwa kimasihara kunakujaje:
Kuna kijana nilikutana nae maeneo ya kibo complex mi nilikua nimetoka job nikaona niko bored ngoja nipandishe sehemu nitulie kdg wakati niko nje nashuka kwenye gari mbele yangu nikaonana na kijana mmoja mtanashati kashuka kwenye gari very tall and handsome nikasema Mungu anaumba jmn...nikamuacha akatangulia mi nikafatia nikaingia pale lounge nikaagiza kinywaji huku nimetulia tu...bahati mbaya hua nina hulka yaani sipendag mwanaume anitongoze na mwanaume akinitongoza tu ni km ananiua nguvu napoteza kbs appetite nae sijui hua nakuaje natakaga mwanaume nimpitishe mimi mwnyw kwny akili yng ndio niwe nae inshort napenda kudeal na kitu roho inapenda...sasa wakati nimetulia pale lounge walikuja watu km wawili kuomba company nikawapotezea so nikawa alone Mungu si athumani akaja yule mr Crush akakaa karibu yangu though meza nyingine akawa busy anachat dizain km anamsubiria mtu mi namchora tu mwisho wa siku wakati namuangalia ghafla tukagongana macho nikampa tu hi akarespond kila mtu akaemdelea na mambo yake...to make the story short dem wk alikuja na mm I was alone till ameenda chooni nikamfata nikamwambia "nigger umenipendezea machoni can we hv a time after today?" Kumbe mjamaa nilimuatract muda mrefu akaniambia I liked u too sema nikaona jau kukusemesha hlf nikahisi uko na mtu maybe inshort nilishindwa kukuweka kundi lipi ila usijali huyu demu niko nae leo ni second appointment ila sio km ni dem wangu if your serious abt that naweza nikampanga mkmi na ww tubadilishe sehemu kwa maongezi zaidi nikamwambia ww tu km utaweza! Basi dem akapangwa akasepa japo kibishi mi nikawasha ki baby walker changu na yy akawasha yake tukaenda Sehem inaitwa "hangover" ipo mbezi beach tukapiga story mbili tatu nikaenda kwny gar yk akawa km ana uoga flani hv I kissed him damn the guy was a good kisser he responded well nikamwambia siwez sex kwny gari so tukaenda lodge aisee we had that heavy sex till niliporidhika asubuhi akanipeleka nikafata usafir wng maana nilipanda lake langu nililipia sehemu ilale! Since that day alinitafuta sana turudiena akaomba if possible tuanze mahusiano nikampotezea na nikamuweka wazi kua he was good in sex and every part but sikumpemda nilitamani kusex nae tu alinilaani mpk kesho popote ulipo J nisamehe tu ni ka umalaya kalikua kananisumbua

Kisa cha pili:-
Wakati harakati za maisha zinaendelea nilialikwa kwenye party flani hv so nikawa nimechill tu na marafki huku story za hapa na pale zinaendelea nikamuona kijana mmoja hv alikua black kimo cha kiasi ana dental formula nzuri hasaa alicheka utatamani umuangalie kila saa! Kulaleki nikasema huyu lzm nimpate tu basi party mpk inaisha mi nimekausha zangu tu wakati wa kuondoka nikamwabia nikamfata nikampa hi akarespond fresh tu nikamwambia congrats una meno mazuri akaona ki aibu flan hv akasema thanks alichonijib yy ni "you too yoir very beautiful naturally and Nimependa jinsi ulivyo calm it seems huna mambo mengi kbs yaani" nikajichekea moyoni kua kaka hunijui vzr acha kabisa i kust smiled then nikamsogelea karib nikamkiss hahaha! Jamaaa akaishiwa nguvu wakat namkiss nikamgundua weak point yk ni shingni nikadeal nako kwa muda nikaona hana ujanja huyu akaomba game mwnyw bila kupenda tukapanda kwny gari yk mpk kwake hehehe ile kuvua nguo damn mjinga alikua na miguu mizuri balaa we started kissing heavily akanivua nguo jamaa nikaona km anashindwa kuresist kabisaa touch nyng sana kuingia kdg tu akacum tukapiga km vitatu hv...jamaa akalala hoi na mi nikapumzika kufika asubuhi we had morning glory then nikawa naoga anirudishe kwangu jamaa akawa anainsist niendelee kuwepo bas zikanunuliwa wine pale kwa tukaandaa breakfast we had a day km mtu na mpenz wake ila nlivyoondoka nikampotezea aisee mshkaji alinitxt so many times kua haitakiwi tuishie hvy nikacheka tu jamaa angejua am a play girl asingejisumbua alipambana had kuwachek baadh ya rfk zng tuliokua wote kwny party siku ile kua alinielewa haikuzaa matunda sababu It was just a lust sikua na mapenz nae kabisa.

Kisa cha tatu:-
Nilikua chuo enzi hizo mjini Dom kiwanja flan hv kinaitwa Royal village n rfk zng tunapiga story za hapa na pale wakat nimetulia akaja mzungu flani hv kua amenielewa and bla bla bla nikaribie kwny meza yao akanionyesha ile meza damn nikaona kuna Hb flani wa nguvu kuliko wote nikaagree ila nia yng ni yule mwngn basi nikahamia pale katika story nikagundua ni wa spain wamekuja Dom for a project wakati story zinaendelea nikamnong'oneza yule HB akanipa phone namba yk tukaanza kuchat pale pale kupitia whatsap kulaleki nimamchombeza akaingia kingi...akatoka nje nikamfta tukapanda gari nikaenda hotel aliyofikia yaan kuingia na kuingia tu nilimvaa kwa french kiss heavy later ni kusaula na kuanza mambo aisee the guy was a good fucker we fucked and fucked sikumchoka ht kdg baada ya kwenda mara tatu aliniambia tu "pretty your too hot and tight hope to have you by my side again and again" inshort na mm nilimuelewa kidizain nikawa nae kwny mahusiano lwa miez 3 aliyokuepo nchini ila within those 3 months I enjoyed a lot till alivyoenda kwao aliniachia contacts ila sikutaka tena mawasiliano nae maana niliona nishaamza kumpenda hlf long distance rltnshp ingenitesa..popote ulipo Daniel Pablo Rodriguez I miss u much! Forgive me for not respond any of your txts.

Kisa cha nne:-
Nyumba niliyokua nimepanga dizain km ilikua imegawanywa mara 2 ile upande wa pili alikua akisshi mtu na mkewe walikua newly wed bado hawajawa na mtoto ofcz hatukua na mazoea sana zaid ya mawasiliano ya hapa na pale yes jamaa ni mzuri mno na mke wk ni mzuri pia...sikuwah kumtilia maanani yule mshkaji sababu alikua ni mume wa mtu pili sikutafa kufanya umafia wng kwa mtu wa karibu km yule wakat ananiheshim sana basi maisha yakawa yanaenda siku moja nikapata trip ya kikazi Dom nikaenda sehemu kusafisha macho na co-workers wenzangu sehemu maarufu km "pestana" basi bhn wakati tunaendelea na story za hapa na pale nikaenda toilet ile natoka tu naona mtu kanishika mkono kumuangalia Jesus! Alikua ni yule mpangaji mwenzangu wa kiume nikamchamgamkia kiaina nikamsalimia nikataka kuondoka akaniambia niko alone nimekuja Dom kikaz can we give each other a company nikamwambia no prblm story za hp na pale muda ukaenda nikamwambia nimechoka i need to rest bas alikua amekuja na gari ya ofisin kwao akanipa lift akanidrop mpk hotel niliyofikia nilimuona kbs alishanitamani ila alikua anaogopa kusema ile anataka kuondoka nikamvutia ndani nikamkiss tukakiss hatari after that we had sex non-stop he was good too and he had big thing aisee inshort we enjoyed to the maximum kufika mida nikamuamsha aende kwake alipofikia baada ya kutoka pale akaanza zile za unafny nn bby mara love nikamchana kbs that what happened was just a one night stand asahau kua n a mm tena jamaa anakua mkali eti why am I doing that to him mi nikapoteza nikarudi Dar...hahahaha! Siku naonana nae alivyoona mkewe katoka anainsist tuwe wote he is ready to pay some of my bills and bla bla bla nikamkimbusha tu nina my official boyfrnd so aache upuuz ilikua sio ngumu sana kumpotezea sababu alikua na mke wk pale pale ikafika muda my boyfrnd akija mara a text "ooh namuona mmeo" mara nini nikamblock ikawa salamu tu mpk kodi yao ilivyoisha wakahama na mkewe...E kokote ulipo i salite u mpe hi mkeo

Kisa cha tano:-
Kuna mkaka tunasali nae church alikua ni mtu wa kunimendea nikawa najifanya km simuoni the guy is rich and good looking ila kaoa so sikutaka visa na wanandoa basi alitry his level best ila nikawa nachomoa kipindi hicho nilikua ndio nimemaliza chuo maisha kitaa magumu kula na kulala tu nikamkumbuka nikasema ss hv akiomba meeting sitagoma ila nilikaa km mwez hv hakunichek tena dizain km alinipotezea hv bas siku nipo kwny bday ya rfk yang maeneo ya Samaki samaki nikamuona namshkaji mwngn alikua amekaa nae nikajifanya km sijamuona nilijua km bado nipo kichwani kwake atanitxt tu basi Mungu si athuman txt Ikaingia kwny screen "hellow I see you" nikareply kwa emoji ya kusmile nikamwambia I see you too basi akaomba nimjoin pale nikaringa ringa then nikaenda nikasema wow! Umekwisha bas kufika pale tukapiga story mbili tatu yule mwenzie akaaga nikabaki mimi na yy akaanza kulaumu like mbona nakua namfanyia hvy na kumpotezea simpi chance ya kumsikiliza nikamwambia am dating I cnt cheat on my man kumbe angejua angecheka! Akawa km ananiconvice hv mi kumbe muda nilishampangia the guy hakua mtu mzima by the time alikua na 36yrs na mm nilikua na 23yrs sema he was rich sababu nilikuja kugundua anadeal na biashara haramu! Bas akasuggest tuhame plae tuhamie masaki tukae tuongee pale anajulikana na wengi nikakubali tukaenda kule tukapiga story mbili tatu wakati anaendelea kuongea nikamsogelea nikamkiss [emoji28][emoji28] jamaa akaona mdada si ndio huyuu aisee alibook hotel fastaaa ndani humo sikufanya makosa jamaa aliita majina yote "baadae akaniambia your so good km mtu mzoefu sana but mbona our P is so tight and hot nikajifanya nilifundishwa na boyfrnd wng kumbe basi tu am an expert! Jamaaa alinipenda mnoo sitakija msahau ktk maisha yng yy ndie alienitafutia kazi...akanipangishia nyumba na baada ya mwaka akaninunulia gari yangu ya kwanza ilifika muda alikua ananijali lbd kuliko mke wk maana alikua anakuja anakaa kwangu mpk namfukuza arudi kwake! Mke wk alikuja km kuhisi mind that tulikua tunasali kanisa moja hlf boyfrnd wng alipata kaz Dar so ikawa ngumu kuwahandle nikampiga chini jamaa japo alimind mnoo ila mi nikapogilia msumari kua naogopa mke wake asije akajua basi ndio ikaishia hvy mpk leo ananiangaliaga kwa hasira tu najua anajuuuuta ku invest kwngu...angekua mume sio mume wa mtu lbd ningemfikiria ila kwa mume wa mtu hapanaa...J.M kokote ulipo nakumiss sana na nashukuru kwa wema wako ni wewe ndie ulienitengenezea mfereji mzuri wa maisha ubarikiwe!

Kisa cha sita na cha mwisho:-
Nikiwa chuo kuna mkaka ndio alikua handsome wa darasha the guy is tall...goodlooking when I say goodlooking I mean it...ana dental formula saafi ana dimples[emoji3059] mweupe ana pigo za kuvaa cadet with shirts sio kihuni huni aisee nilikua nilitokea kumpenda sanaa...jamaa ktk harakati zake akanitongozaga nikamchomolea sababu by the time nilikua nipo kwny serious relationshp na kaboyfrnd kangu ka tangia o level japo tulikua vyou tofauti ila kalikua kanakaba balaa...bas nilivyomchomolea jamaa akarudia mara ya pili akapotezea ila tukawa marafiki wa kawaida tu ktk kuja kukaa si nikajua kumbe yule boyfrnd wng wa siku zote ananicheat nililia nikataka kufa! Ila ikawa ndio hvy sasa nikakumbuka moyo wng umempenda huyu best frnd wng ila nitamwambia vp niwe nae wakati nishamfriend zone na ana demu wake? Dah kkabid nipotezee tu ila roho huku inaniuma kusalitiwa na jamaa hana time na mm tena anajua nina mtu wangu...Mungu sio athumani siku tupo na huyu mr handsome sehemu niliingiwa na uchungu had nikadondosha choz mbele yk akaniuliza "what is wrong with u D yaan hiz siku za karibun nakuona ur not okay at all" ndio alifungulia kilio nilitoa uchungu wangu wote akaniambia nyamaza usilie twende nikupeleke room kwako room nilikua naish na frnd wng ila hakuepo siku hiyo bas akanifikisha pale akanihug like "D your still in my heart since the first time nakuona wakati tunafanya registration ila ndio hvy hukuwahi kunipenda I hope you heal frm this and u get a good man" yaan alivyomaliza tu nilihug tight I cried for the last time then nikafuta machozi nikamwambia " I cnt say I love u bt I like u alot too" we started kissing we kissed till the guy akawa amelainika baada ya kuvua nguo akabaki km anashangaa haamini anachokiona...jamani ile kuvua nguo ndio niliexperience vzr uzuri wa yule kaka bwana aisee! Wachaga wanatoa mbegu nzuri si mchezo...ilipigwa shoo moja jamaa ni analalamika tu why we ddnt do that mapema after that day mi nikataka nipotezee maana mshkaji alikua ana demu ila akanitongoza rasmi akampiga chini demu wk and we started officially dating inshort we looked good together kila mtu alikua alituona must anasema u guys love each other...ila pamoja na hayo I cheated on him kwa kua kalikua km ni katabia kangu bt he never found out sababu nilikua nampenda mnooooo sijui kale katabia kalikua ni km ka pepo ila ckuwah kufanya ujinga kwa watu around chuo! Mpk ninavyotype hp ndio mwanaume nilienae amekuja kunitolea mahari and am officially engaged to him tunasubir corona ipite tufunge harusi!

Thank you my G kwa kunipenda na naomba unisamehe kwa maupumbavu niliyokua nayafanya behind your back maybe na ww ulikua unayafanya pia but as long as hukuwah kujua na mm ckuwah kujua thats show how much we loved each other!

Jamani ile tabia officially nilishaicha maana nimetest kila mtu niliejiskia kumtest nimeona tofaut ni ndogo sana na my G sio km ni better kuliko wote ila I just love him tu yaani ila kwa uhandsome nadhani kawazidi hahahahah!

Nilichokuja kugundua ni kua sio mtu ukilala na watu tofauti unachoka hiyo ni nadharia nadhan utight wa sehemu na ujoto ni maumbile inshort my G anani pamper kua yaani mke wangu nakuonaga mpya everyday bas ananipaga bichwaaa mwanyewe anakwambia sikuchoki ht kdg yaani I feel loved by him balaa!

Mwisho!

Jamani wale wazee wa utakatifu msiniumbue na kunijudge sana haya mambo yapo tu either ujue au usiyajue
Sio mwandiko wa Lara 1 huu?
 
Khaaaaaaah na sie tulioishia la 3C tunaelewa nn hapa? Au unatak report ya BBC na CNN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bby uko UDSM [emoji170][emoji1665][emoji3590][emoji170][emoji1665][emoji3590][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji1][emoji1]
 
TULIVYOMPIGA MTUNGO MUHUDUMU WA LODGE KIMASIHARA..

Tupo mimi na jamaa yangu tunatoka Mwanza kufika Msamvu, saa 7 usiku usingizi kama wote tukaona tulale tuendelee na safari kesho maana hatukuwa tumebeba maali kuoza..!! Tukapata lodge moja nzuri nzuri, pale tukawakuta wadada wawili mapokezi... Bahati vyumba bado vilikuwepo...

Mmoja tukaenda nae atuoneshe vyumba, kawaida huwa tunachukua chumba kimoja na pale hawaruhusu kulala jinsia mbili chumba kimoja.. Bembeleza sana hata haelewa mluguru yule.. Kuona anatia ugumu nikamwambia 'basi tutalawa watatu', Eeh watatu na nani? Na wewe mrembo... Boooh! Aliachia msonyo wa haja na kusindikizia na 'MNA LAANA NYIE', alipiga u-turn ya kibabe na kuondoka kwa hasira...

Ule mwondoko tukajua kituo kwa meneja au kupiga simu Polisi.. Tukaambiana tulale wakija kututoa ndio tuchukue chumba kinginee.. Baada ya nusu saa mlango ukagongwa tukajua kumeshanuka.. Kwenda kufungua ni muhudumu tuliemwacha mapokezi akiwa na daftari la wageni 'Niandike jina gani kaka' aah kumbe amani, tukajaza info zote kasepa zake.. Hatujakaa sawa kale kengine kakaja, kakaazama ndani tukajua pamekucha...

Sijui hata usingizi uliishaje maana tulikagonga kale katoto vibaya mno... Ilikuwa bandika bandua, demu mwenyewe hakua mchovu.. Ile safari badala ya kuondoka asubuhi, tuliondoja jioni...
Mkuu wewe na jamaa ako wote washenzi wa tabia, wallah mna laana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Natumaini tayari umeshaolewa.Kwa jinsi nilivyosoma ulivyoliwa kimasihara inaonyesha tabia yako ya ndani kabisa ni ya umalaya hata baada ya kuolewa utaendelea tu kupiga nyoka pale unapopata nafasi.Pole yake huyo muoaji.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Acha kushambulia watu we nyoko
Utaharibu uzi huu
Watu na uhuru wao na maisha yao
Who are u ?
 
Ngoja namimi nitoe kisa changu
Ilikua mwaka 2013 siku moja asubuhi ninaenda kwa rafiki yangu tulikua tunapiga nae mishe wakati niko njiani ghafla nkamuona binti Fulani kwa mbele ikabidi nikaze mwendo ili tuongozane nilivomfikia nikamsalimia tukawa tunapiga story mpaka nilipofikia sehemu niliokua naenda tukabadilishana namba kwa ajili ya kuwasiliana baadae! Ilivofika mida ya SAA 10 nikampigia akapokea tukapanga kukutana restaurant moja hv kupiga story akakubali akasema saa 11 nikajiweka safi nikisubiria muda ufike mda ulivofika nikapiga simu akapokea mwingine akadai mwenye simu ametoka nikasubiri kama nusu Saa nikapiga tena haikupokelewa nikapiga Mara ya pili yule aliepokea Mara ya kwanza akapokea tena akanambia samahani kaka huyu mwenye simu ana mchumba wake unaogopa kukuambia tu ameniambia nikueleze, ikabidi nibadilishie gia angani nikamuomba kampani kama hatajali akanambia ngoja nimuambie Hutu anilete nikasema poa baada ya dakika mbili akanitext kwa namba yake baada ya kama dk 15 akaja na yule mwenzake tena yeye akawa mzuri kuliko yule wa kwanza tukaenda restaurant moja tukawa tunapata vinywaji wote watatu ilivofika saa 2 yule mwenzake akaaga kuondoka nayeye akataka kuondoka nae nikamwambia ntakusindikiza baadae tulivobaki wawili nikamwambia Leo tunalala wote akakubali nikachukua chumba tukazama nikala mzigo mpaka asubuh ikawa ni kawaida kulana kimasihara tumedumu nae kama mwaka mzima kama wapenz na mama yake akawa ananifaham siku zimeenda nikaamua kumuweka gheto tukaish kama mwaka mmoja hv tukazinguana siku moja akakasirika akabeba kila kitu ndani nikamruhusu chukua kila unachoona kinafaa akabeba kila kitu alivomaliza nikafunga mpango nikaenda kununua godoro na ndo ya maji nikaweka gheto nikaendelea na Mishe zangu akaenda kwao baada ya week 2 ananipgia simu anataka kurudi nikakataa kumbe tayar alikua na mimba baadae akanambia suala la mimba nikamwambia ntakuhudumia kwa kila kitu lakn kuishi pamoja never
Akakaa kwao kama miez 3 baadae akaondoka kwenda jiji la makonda muda wote tunawasiliana na matumizi natuma kumbe alivoenda akatoa mimba Mimi sijui nikahudumia mpaka miez 9 nikapigiwa simu siku moja usiku na dadake akanambia mkeo kajifungua mtoto wa kike kidume nikatuma hela kama laki 3 hv nikaendelea kuhudumia mama na mtoto kama miez 3 nikamwambia mlete mtoto nimuone nikatuma nauli na siku ikawa imepangwa week moja kabla ya siku ya kuja nikapiga simu haipatikani baada ya siku 3 siku nikapigiwa na mama mtu huku analia anadai mwanae yuko hospital alipata Ajali yuko hoi yuko njian anaenda dar nikachanganyikiwa akasafiri mpaka dar anafika ananieleza hali ni mbaya ya mama na mtoto nikawatumia hela kama laki na nusu baada ya siku 4 akatoka hospital na mtoto baada ya miez kama miwili tena ikabidi nifanye mchakato amlete mtoto coz alikua bado hajapata recovery vzr ghafla mtoto akaugua akapelekwa hospital akafariki nikajiuliza hapa kuna kitu nachezewa si bure nikafuatilia kijasusi nikagundua mimba ilitolewa ukiwa na miez 3 kwahy hapo nlikua nahudumia mtoto hewa nikaumia sana nikampotezea mazima kimya kimya nikakaa kwama mwaka mzima nkaoa tena now Nina watoto 2 ila alinipa funzo kubwa sana kwenye maisha saiv yupo tu kwao amepauka kama kopo la mkojo

Pole sana afadhali ulicheza ki CIA mapema, maana hela zingekutoka balaa.
 
nina stori nyingi sana za kula tunda ki masihara.ngoja nianze na hizi chache.ilikuwa mwaka 2016 hapo mjini daslam...pande za ubungo,nilikiwa nimehamia kwenye nyumba ambayo ilikuwa mpya kabisa hivyo kufanya wapangaji wote pale kuwa wageni yani hakuna mkongwe .

mimi nilikuwa mtu wa tatu kati ya wapangaji wanne kuhamia wa mwisho alikuwa binti mmoja mweupe mrefu mrembo mzuri ,....ndio alikiwa amepata kazi na ndio ameeanza maisha alihamia yeye peke yake.

kutoka na urembo wake pale mtaani kila kijana alikuwa anamuulizia na kutafuta namna ya kukaa kwa yule binti,vijana wengi walikuwa wanahisi ni dem wangu hasa walikuwa wanaona tunaendana kuanzia umri mapaka kimo .sasa wakisikia ni mpangaj mwenzangu misele ndio inaongezeka .mimi pia nikiwa mmoja wao,lakini nikawa najitoa kwenye ushindani kwakuwa ushindani ulikiwa mkubwa sana,hivyo nikawa najiona siwez kupata nafasi.

KULA TUNDA KI MASIHARA.
kati ya sisi wapangaji kuna mmoja mwenye umri mkubwa kuzidi wote aka organize ki kikao yeye akiita cha kufahamiana,lakin naamin nae alikuwa na lengo lake mana nae mroho mroho sana wa wanawake.basi kweli kikao kikafanyika na mwisho wa kikao tukabadilishana namba za simu ikapendekezwa mimi niwe nakusanya hela ya umeme hapo ndio nikapata namba yake.
weekend inayofata namuona mtoto hatoki kwake ikabidi nimtumie sms vip mbona hutoka akasema anaumwa...anaumwa nini malaria nikamwambia sasa unaumwa kupika huwez unaishi vip si utazidiwa?sasa mimi nakuja kukuona.akakataa. mzee nikajiongeza nikaenda dukan kununua dawa juisi maji machungwa na kisha chakula nikarud nikamwambia itabidi ufungue mlango mana kuna vitu nimeshanunua akawa bado anagoma goma na kwanini kwamba wapangaj wengine wakikuona watafikiria vibaya hapo nikajisemea kichwan huyu analika aligoma lakin baadae akafungua...mzee Nika angalia huku na huku wapangaji wengine hawapo nikazama ndani na kuanza ku muuguza mgonjwa mixer kumlisha juis akanywa kidogo .. nikafungua dawa za malaria nikampa akanywa ..maji akanywa,kumbuka alikuwa kwake na anaumwa na joto la dar hivyo alikuwa na kanga moja tu na shuka kajifunika ...na nikaja kugundua kumbe lile shuka alilojifunika hata hiyo kanga hajajifunga vizur hivyo shuka ndio limekava utamu wote na hata alipokuwa anakataa mim kuingia kwake ni kwamba hajavaa nguo na hawez kuamka kuvaa ili mi niingie .nikamwambia haina shida mi naingia nakuona naweka vitu nasepa haina haja ya kuvaa.bas akakubali asivae nguo

baada ya kama ya dk kadhaa mimi nimekaa kitandani miguu ikiwa chini na yeye amekaa kitandani na miguu ikiwa kitandani nikamuona mtoto ameweka kichwa chake began kwangu ile ki uchovu huku anataka kulala.ikabidi nimsaidie nikapanda kabisa kitandani nikampa kifua mtoto akawa amelala lala kifuan sasa..mwanaume nikazungusha mkono mgongoni nikamkumbatia nikaona mtoto katulia tu kumbuka kipind icho nimeivaa kwa tizi kifua balaa mkono ndo usiseme.tukaanza kama kulala nikafanya kama kuitoa ile kanga nikaona mtoto katulia na mimi nikatoa shat tukaendelea kulala..sasa hapo ikawa ngozi kwa ngozi mtoto akawa anazidi kuzidiwa nikawa kama nampapasa mgongoni mtoto katulia tu ndo kwanza kama usingizzi unamzidi nikawa na shuka mpaka kiunoni nikashik tako mtoto katuliaa tu da nikawa siamini nikatoa track niliyokuwa nimevaa mtoto kwa ki ugonjwa ugonjwa akawa ameweka mkono kwenye dushe lililo simama lakin akiwa hafanyi chochote kaweka tu mkono nikajisemea huu ni ushirikiano wakutosha nikaamka kitaalam nikamtoa chup hapo sasa ndio nikaanza kumnyonya matiti...mtoto nyege zikaanza kumpanda huku akilia kwa sauti nyembamba jirani mi naumwa nikawa namwambia hii nayofanya ni dawa pia utapona haraka kuliko dawa za kizungu ulizokunywa, akatabasam ..denda mtoto akaonesha ushirikiano nikamuandaa vya kutosha Kisha kwa style ya kuangalia upande mmoja nikaanza kumpelekea mambo taratibu sana ..huku nikuchukua tahadhar ya kuumwa sikutaka iwe ile vita ni vita nikapiga mzigo mpaka wazungua wakaja.tangu siku hiyo ikawa ndio goma langu...tulikuja kuvurugana alipoanza kuja dem wangu .akauliza nafas yangu ni ipi kwako nikamwbia nawapenda wote wawili sawa sawa na wew ndio kabisa siwez kukuacha.akanza kuleta kibur na akawa anagombam na dem wangu akawa hela ya umeme hatoi.kwa hiyo mi natoa mara mbili ku kava gepu lake .nikaona cha kujifia nini nikapiga chini...na nikawwaambia jamani kutokana majukum yangu sitaweza kukusanya hela ya umeme afanye mtu mwingine
 
Ni mnamo miaka ya katikati ya tisini nikiwa masomoni Kenya, mimi na rafiki yangu mmoja toka South Africa tulipata safari ya kwenda kufanya field katika nchi ya DRC. Huyu bwana alishauri tutumie usafiri wa barabara ili tuweze kuyaona mazingira vizuri.

Safari yetu tilitumia usafiri wa basi la Akamba toka Nairobi kuelekea Kampla! Safari ilikuwa nzuri na hakukuwa na rabsha yoyote njiani. Tulifika hotelini, tukajimwagia maji kuondoa uchovu wa safari. Jamaa alipendekeza tusile hotelini bali twende zetu mitaani. Kwa kipindi kile, Kampala ilikuwa inapendeza sana wakati wa usiku hakukuwa na visa vya kijinga jinga. Boda boda kwa kwenda mbele usiku na mitaa mingi ikiangazwa na kung'arishwa kwa taa za barabarani. Polisi walikuwa wengi wakisaidia kuweka amani na utulivu.

Tulikamata boda boda mbili tukawaomba watupeleke kwenye sehemu nzuri ya chakula iliyochangamka. Basi tulipelekwa sehemu inaitwa KABALAGALA ni sehemu nzuri kwa chakula lakini tukakuta hapakuchangamka sana. Tuliamua kula pale na kisha tukakamata Boda Boda nyingine wakatupeleka kwenye live band. Siwezi kumbuka jina la hii sehemu tuliyopelekwa!

Tuliingia kwa hii hotel na tukaenda kaa zetu kaunta. Watu walikuwa wengi wakisakata rumba na akina dada walikuwepo kibao. Tulikuwa tumekaa zetu tukipiga story huku tukiburudisha macho yetu kwa wasakata na rhumba! Basi, walianza kujileta wadada kwetu wakiomba tutwape vinywaji na tujumuike kucheza nao. Tulichofanya ni kuwanunulia na kutokubali kujumuika nao. Walikuwepoa wadada toka Ethiopia, Somalia...... Basi hawa wadada walipenda kutujua zaidi na tuliwasisitizia kuwa sisi ni Waganda lakini wao walidai sisi ni WATZ! Eti tu kwa ukarimu wetu wa kuwapatia vinywaji!

Tuliendelea kukaa pale hadi muda mbovu wa saa tisa na tukaondoka na wadada wawili toka Ethiopia. Kwenye mida ya saa kumi na moja asubuhi nilimsikia jamaa yangu anapiga kelele! Yule mdada aliyeenda naye alimtolea kisu akidai anahitaji apewe USD 400! Jamaa alimdanganya kuwa pesa ninazo mimi hivyo asubiri aongee nami. Uzuri Kiingereza kwa huyo binti kilikuwa hakipandi vyema hivyo ikatupa fursa ya kuongea na uongozi wa hoteli walioleta askari na binti akakamatwa!

Tuliona tumeanza safari na mkosi hivyo tukaamua tuendelee na safari. Tukaenda kituo cha mabasi tukapata basi linaloenda mji wa Kasese ambako tulifika mida ya saa nane mchana na kisha tukapanda gari dogo kuelekea mpaka wa Uganda na DRC kwenye mji wa Kasindi. Tuliingia hapo mida ya saa kumi na moja jioni. Maisha hapo mpakani ni kama yalikuwa yamekufa kutokana na hofu ya rebels. Tulipata nyumba ya wageni ya hovyoo. Hakukuwa na huduma ya chakula. Bahati iliyoje tulikuwa tumekula Kasese. Basi tuliona vi vema tukate maji tu.

Hakukuwa na bar, pombe inauzwa nyumbani kwa watu. Tulionyeshwa mji mmoja wanapouza pombe mida ya saa moja usiku. Tulianza kunywa hapo tukiwa na Mama wmenye mji pamoja na mabinti watatu. Kisha walikuja njema kama tano hapo. Stori ziliendelea na offa ya bia ya PRIMUS ikiendelea kutolewa. Alikuwepo binti mdogo mzuri hapo, nikamchombeza akakubali nikampeleka upenuni mwa myumba nikajilia. Tulirudi na kikao ikaendelea. Mida ya saa tano usiku, wakaja askari wakatukamata mimi na mwenzangu wakatupeleka police post kuhojiwa. Tumehojiwa hadi saa saba usiku ndio wakaturuhusu tuondoke. Walidhani sisi ni Spies wa rebels!
Mkuu nimekaa kampala sana. Haoo mademu ndo kawaida na huwa wana wajua wageniii na ukiingia tu huwa wana mtindi utaona wengi wana kuangaliaaa sana. Na akija kauntaa ni kama hivyooo.

Uganda wana wake wengii ni malayaa ni wewe na pesa yakoo tu.
 
nina stori nyingi sana za kula tunda ki masihara.ngoja nianze na hizi chache.ilikuwa mwaka 2016 hapo mjini daslam...pande za ubungo,nilikiwa nimehamia kwenye nyumba ambayo ilikuwa mpya kabisa hivyo kufanya wapangaji wote pale kuwa wageni yani hakuna mkongwe .

mimi nilikuwa mtu wa tatu kati ya wapangaji wanne kuhamia wa mwisho alikuwa binti mmoja mweupe mrefu mrembo mzuri ,....ndio alikiwa amepata kazi na ndio ameeanza maisha alihamia yeye peke yake.

kutoka na urembo wake pale mtaani kila kijana alikuwa anamuulizia na kutafuta namna ya kukaa kwa yule binti,vijana wengi walikuwa wanahisi ni dem wangu hasa walikuwa wanaona tunaendana kuanzia umri mapaka kimo .sasa wakisikia ni mpangaj mwenzangu misele ndio inaongezeka .mimi pia nikiwa mmoja wao,lakini nikawa najitoa kwenye ushindani kwakuwa ushindani ulikiwa mkubwa sana,hivyo nikawa najiona siwez kupata nafasi.

KULA TUNDA KI MASIHARA.
kati ya sisi wapangaji kuna mmoja mwenye umri mkubwa kuzidi wote aka organize ki kikao yeye akiita cha kufahamiana,lakin naamin nae alikuwa na lengo lake mana nae mroho mroho sana wa wanawake.basi kweli kikao kikafanyika na mwisho wa kikao tukabadilishana namba za simu ikapendekezwa mimi niwe nakusanya hela ya umeme hapo ndio nikapata namba yake.
weekend inayofata namuona mtoto hatoki kwake ikabidi nimtumie sms vip mbona hutoka akasema anaumwa...anaumwa nini malaria nikamwambia sasa unaumwa kupika huwez unaishi vip si utazidiwa?sasa mimi nakuja kukuona.akakataa. mzee nikajiongeza nikaenda dukan kununua dawa juisi maji machungwa na kisha chakula nikarud nikamwambia itabidi ufungue mlango mana kuna vitu nimeshanunua akawa bado anagoma goma na kwanini kwamba wapangaj wengine wakikuona watafikiria vibaya hapo nikajisemea kichwan huyu analika aligoma lakin baadae akafungua...mzee Nika angalia huku na huku wapangaji wengine hawapo nikazama ndani na kuanza ku muuguza mgonjwa mixer kumlisha juis akanywa kidogo .. nikafungua dawa za malaria nikampa akanywa ..maji akanywa,kumbuka alikuwa kwake na anaumwa na joto la dar hivyo alikuwa na kanga moja tu na shuka kajifunika ...na nikaja kugundua kumbe lile shuka alilojifunika hata hiyo kanga hajajifunga vizur hivyo shuka ndio limekava utamu wote na hata alipokuwa anakataa mim kuingia kwake ni kwamba hajavaa nguo na hawez kuamka kuvaa ili mi niingie .nikamwambia haina shida mi naingia nakuona naweka vitu nasepa haina haja ya kuvaa.bas akakubali asivae nguo

baada ya kama ya dk kadhaa mimi nimekaa kitandani miguu ikiwa chini na yeye amekaa kitandani na miguu ikiwa kitandani nikamuona mtoto ameweka kichwa chake began kwangu ile ki uchovu huku anataka kulala.ikabidi nimsaidie nikapanda kabisa kitandani nikampa kifua mtoto akawa amelala lala kifuan sasa..mwanaume nikazungusha mkono mgongoni nikamkumbatia nikaona mtoto katulia tu kumbuka kipind icho nimeivaa kwa tizi kifua balaa mkono ndo usiseme.tukaanza kama kulala nikafanya kama kuitoa ile kanga nikaona mtoto katulia na mimi nikatoa shat tukaendelea kulala..sasa hapo ikawa ngozi kwa ngozi mtoto akawa anazidi kuzidiwa nikawa kama nampapasa mgongoni mtoto katulia tu ndo kwanza kama usingizzi unamzidi nikawa na shuka mpaka kiunoni nikashik tako mtoto katuliaa tu da nikawa siamini nikatoa track niliyokuwa nimevaa mtoto kwa ki ugonjwa ugonjwa akawa ameweka mkono kwenye dushe lililo simama lakin akiwa hafanyi chochote kaweka tu mkono nikajisemea huu ni ushirikiano wakutosha nikaamka kitaalam nikamtoa chup hapo sasa ndio nikaanza kumnyonya matiti...mtoto nyege zikaanza kumpanda huku akilia kwa sauti nyembamba jirani mi naumwa nikawa namwambia hii nayofanya ni dawa pia utapona haraka kuliko dawa za kizungu ulizokunywa, akatabasam ..denda mtoto akaonesha ushirikiano nikamuandaa vya kutosha Kisha kwa style ya kuangalia upande mmoja nikaanza kumpelekea mambo taratibu sana ..huku nikuchukua tahadhar ya kuumwa sikutaka iwe ile vita ni vita nikapiga mzigo mpaka wazungua wakaja.tangu siku hiyo ikawa ndio goma langu...tulikuja kuvurugana alipoanza kuja dem wangu .akauliza nafas yangu ni ipi kwako nikamwbia nawapenda wote wawili sawa sawa na wew ndio kabisa siwez kukuacha.akanza kuleta kibur na akawa anagombam na dem wangu akawa hela ya umeme hatoi.kwa hiyo mi natoa mara mbili ku kava gepu lake .nikaona cha kujifia nini nikapiga chini...na nikawwaambia jamani kutokana majukum yangu sitaweza kukusanya hela ya umeme afanye mtu mwingine
Hii tamu mzee
 
Miaka fulani, siku ya alhamisi ofisi za NHIF pale Bandari Road kulikuwa na Tender Opening, muda wa saa nne asubuhi.
Sisi wazoefu mapema tu tukawasilisha tenda zetu, tukasaini na tukakaa pale tukisubiri muda wa ufunguzi wa Tenda. Maana walikuwa wanaandaa chumba cha mikutano kwa shughuli hiyo.
Saa nne na nusu asubuhi anaingia dada pale mapokezi akiwa na tender document yake kwa ajili kuwasilisha. Akaambiwa kuwa muda wa kuwasilisha tenda ilikuwa kabla au saa nne kamili asubuhi. Hivyo tenda yake haiwezi kupokelewa.
Niliona dada alivyopata mshangao na wasiwasi usoni. Bila shaka alikuwa anawaza ataenda kumwambia nini bosi ama mkuu wake wa kazi.
Alisihi sana kwa dakika kadhaa lakini watu wegine walioleta tenda zao wakagoma kuwa amechelewa hivyo tenda yake isipokelewe.
Dada alitoka akielekea mlangoni huku akiwa analengwa lengwa na machozi. Nami nikainuka kuelekea nje. Tukakutana pale parking huku nikamsomamisha na kumpa pole, hakuitikia badala yake akawa anamlaumu dereva kuwa ndio kamchelewesha. Nikamwambia naweza kukusaidia ili bosi wako asijue kama umechelewa kuleta tenda. Nikamsogeza pale kwenye ngazi na kumwambia nisubiri hapo ili tukimaliza tenda opening nikupatiea matokea ya ufunguzi wa zabuni na wewe uongeze orodha ya kampuni yenu ili usipate matatizo huko ofisini. Akanishukuru na kuniuliza vipi kuhusu hiyo document ya tenda maana dereva akiiona anaweza kujua. Nikaichukua na kumpelekea dereva niliyekuja naye ili ahifadhi. Binti akabaki hapo mimi nikarudi ndani.
Zoezi likakamilika na nikampatia binti matokea ya ufunguzi wa tender pamoja na orodha ya makampuni, binti alishukuru sana na kuniomba namba. Alinibeep nami ‘’nikasevu’’ namba yake. Tukaagana kila mtu akirudi kibaruani kwake.

Kumla kimasihara: -
Nilimfanyia msaada ili kulinda kibarua chake, lakini jioni ile dada alinicheki kwa meseji kuwa kila kitu kimeenda sawa na uongo wake haujagundulika ofisini kwao hivyo anashukuru sana. Baadaye akaniambia kama naweza kuwa na nafasi jumamosi ili walau tukae mahali anainunulie soda.

Ijumaa jioni akaniuliza tunaonana wapi? Huku akiniambia kuwa hapendi maeneo ya watu wengi, isiwe bar wala maeneo kama hayo, basi nikamwambia aje ninapoishi.
Jumamosi majira ya saa nne binti akawa amefika, ameshuka kwenye daladala nikamwandalia bajaji ili amlete uswahilini kwetu. Binti kafika amechangamka, amevaa jeans blue mpauko, tshirt nyekundu laini sana. Kiufupi alikuwa amependeza vya kutosha.

Tukaanza stori mbili tatu kuhusiana na kazi pamoja na mambo mengine huku tukiwa tumekaa kwenye kijisofa nilichoachiwa na kaka yangu, huyu binti alikunja miguu na kupandisha kwenye kochi, huku akigeukia upande wangu(Ukiona binti ameingia ndani kwako na ameamua kupandisha miguu kwenye kochi, jua amejisikia kuwa huru sana) . Baadaye akawa anasema amekuja kunipa zawadi ya soda kama alivyoahidi, nikamwambia yaani katika zawadi zote unataka kunipa zawadi ya soda kwani mimi mtoto mdogo?. Akatabasamu kisha akaniambia wewe unataka zawadi gani? Nikamjibu nikubusu tu itakuwa zawadi nzuri sana. Akacheka kisha akasema, kunibusu tu, nakuruhusu kiss me three times, nikaongeza je naruhusiwa kuchagua maeneo ya kukubusu, akajibu kuwa huru tu ila usining’ate na isiwe mdomoni huku akicheka.

Nilimsogelea na sehemu ya kwanza kubusu ikawa shingoni, mtoto ana shingo laini yule. Nilibusu na kumlamba kabisa upande wa chini.
Akiwa anatafakari huku akidhani nitaelekea shavuni, nikambusu tumboni pale kwenye kishimo cha kitovu kwa juu ya tshirt hapa alishtuka na kuhema huku akisema ooooh noooo! , nikawa nimebaki na sehemu moja tu hapa nikaona nikamalize kwenye matiti, huku nikimwambia namalizia ya mwisho, binti alikuwa kimya huku akinitazama kwa aibu.

Mkono mmoja ulikamata titi la kushoto, mdomo ukaelekea titi la kulia. Nilipominya, akajikunja mgongo huku akijaribu kuundamiza zaidi ule mkono uliokuwa juu ya titi la kushoto. Hapo sasa nikaamua kupitisha mkono chini ya tshirt katika maeneo ya tumboni. Binti akanipa ushirikiano wa kuinua tshirt kwa juu na hatimaye nikakutana na sidiria nyeupe iliyobeba vyema titi lililojaa sawasawa na chuchu iliyochongoka( huu ndio ugonjwa wangu – chuchu iliyochongoka). Nilifyatua vile vi-lock vya sidiria kwa nyuma na kukutana na ziwa jeupe, na chuchu iliyochongoka vyema.

Nilipapasa ziwa taratibu na nikapeleka mdomo ili kuanza kunyonya chuchu, nilinyonya kwa dakika kadhaa huku mkono laini wa binti ukiwa unapapasa kichwa changu, binti alikuwa akigugumia kwa utamu na kutoa sauti za kimahaba. Nilimaliza kunyonya ziwa moja, binti akavua tshirt huku akinielekeza kwenye ziwa la pili. Hapa sasa nilikuwa nanyonya huku mkono ukifanya utalii wa ndani kwenye kiuno na mgongo wa huyu binti. Binti akaomba kusimama ili avue suruali, nilimsaidia kuitoa na hatimaye nikakutana na chupi nyeupe (zile mnazoita G-string).

Hatukuwa na cha ziada zaidi ya kusogezana kitandani na nikaljilia tunda. Binti alinilaza chali na kuanza kupapasa mashine kwa mikono yake laini, baada ya muda aliisogelea na kuanza kulamba kama wanavyofanya kwenye zile AZAM ZA UKWAJU, huyu binti sifa yake kubwa ni kulamba mashine huku anakuangalia kwa macho yaliyolegea. Baada ya kuwa ametosheka kunyonya mashine akajisogeza na kuja kuikalia kwa juu huku tukuwa tumekutanisha viganja. Binti ana uke mdogo lakini laini yaani unagusa pande zote, huku yeye akinyoga kiuno na kujipimia kiwango anachotaka. Baada ya dakika kadhaa akamwaga maji ya kiasi, akitoa miguno na sauti za mahaba na akijipinda pinda. Nilimweka kifo cha mende nikajipigia dakika kadhaa namI nikawa nimemaliza raundi ya kwanza.

Hiyo siku aliondoka saa mbili usiku maana zoezi liliendelea. Huyu niliendelea kumla maana hakuwa na gharama, yaani gharama juice kubwa ya guava na chipsi kuku robo una uhakika wa kula mzigo walau mara mbili kila mwezi.
Katika stori binti akafunguka kuwa jamaa yake yupo mbali na vijana wa ofisini kwao wanampita kama hawamuoni kwa kuwa ana pete ya uchumba. Alikuwa hajapata huduma kwa miezi nane.
Kiufupi sikumshawishi kwa lolote bali alikuwa na hamu tu ya kufanya.

USHAURI: Mkichumbia jamani muwe mnapata muda wa kuwapa mahitaji ya kimwili hawa mabinti, kuna wakati huwa wanazidiwa. Sio unachumbia binti halafu wewe upo kikazi Botswana, tunasababishiana dhambi jamani.
 
Mkuu nimekuvulia kofia we ninoma

Back
Top Bottom