Natoka zangu Cafe kupiga msosi, (Cafe 2) pale nje kuna wadada wawili wamesimama mbele ya meza ya popcorn. Wakaniita.. mmoja White kavaa kiislam, mwngine kavaa skin jeans. Wakaniambia iwapo nina simu ndogo watie laini ili watoe hela Mpesa coz simu ya mmoja wao imezingua. Sikuongea neno. Nikatoa kiswaswadu nikawapa. Nkavuta kiti nkakaa pale nje kuwangoja. Baada ya muda kidogo wakanletea kimeo changu... yule mmoja muislam akasema asante, nkatabasam sikusema neno. Akaniuliza, kwa ww ni bubu? Nikatikisa kichwa kukubali [emoji1][emoji1] Yule mwenzie akamwambia ustadhat. Mwambie bas twende. Ustadhat akasema "samahan nimesev namba yangu humo, naomba unitext npate namba yako" akanambia jina. (Alisevu Cafe2)nkatabasam sikujib neno nikasepa.
Ikapita kama siku mbili nkiwa nmesahau. Jana nmeenda kula biriani Cafe 2 nkakumbuka. Nikamtext. Nkaandika jina langu tu. Akauliza "mtoto" yupi? Nkajibu kwa ufupi. "Cafe 2. Mpesa. Simu ndogo" akasema jamani we kaka... yaani we wa ajab kweli.. huongei, huna papara, yaan sijawah kuona mtu wa aina yako. Yaan nlishindwa hata kukushukuru.
Nkasema mm mbona naongeaga? Ukitaka kunisikia njoo. Akauliza nipo wapi.. nkamwambia geto (nkadanganya) akasema anakipindi mpk saa tisa. Kama naweza kusubr akitoka ndo nimuelekeze aje anisalimie. Nkasema poa. Ila nikamwambia ntamuijia chuo. Binafs nlikuwa najua kuwa wadada wengi hapa Campus wa njaa sana tarehe hizi. Nikachonga na mhuni wangu mwenye geto.. msewe.. pale jirani na chuo. Nkachukua key. Saa tisa kama na robo hv nkaona txt. "Mtoto, nishatoka class, natokea COAF nkamwambia poa.. njoo geti maji nakungoja. He, sijakaa sawa mara mtoto huyu hapa.. af peke yake.
Nlikuwa sijamtazama vzr.. aisee mtoto mzuri kinoma, mrefu hv, white amevaa juba ila vinywele vichache kama vimetokeza... kumbe ana damu ya mashariki ya kati mixa bongo. Nikajiapiza simuachi leo. Akafika akaanza kuangaza angaza nkampgia simu kumuelekeza nliposimama. Hiyo surprise aloipata kuona simu inaita [emoji28][emoji28] akapokea, "af we kaka kweli tena mm nlijua ww ni bubu muda wote" nikaongea nae kimtindo. Nkamwambia siko sawa tu ndo maana sizungumzi. Akauliza tatizo nn nkasema ni mambo mengi tu, nkasema anisindikize geto nibadili nguo kisha twende sehem tupige stor fresh. Akakubali. Vuup mpk geto.
Nkamuacha ndan nkaendea chips bila hata kumwambia... nlijua hawez kataa kula chips.. na cocacola ya baridi.. anyway nligundua alikuwa hajala kwa jins tu alivokuwa naonekana. Wenyej wa naeneo haya najua sio wageni jambo hilo.
Kala kashiba nkamwambia. "I was petrified when i saw you to the extent that i couldn't utter a word than blushing a smile"
Huku na huku mara akawa amenizoea... sema nlimzuga akaamini kweli. Wakat huo hata jina simjui.
Ok to cut it short.
Nligundua tu ni mpenz wa movie coz kuna statement nliskia anaisema na nliisikia mwny movie ya Willy smith.. nkajua yees..
Yule jamaa mwenye geto ana PC yake storage yake imejazwa na movie. Karibu 1TB nzima.. na mm ni mmoja kati ya wanaomjaziaga movie. Sometimes nalalaga geto hapo ili nyt tutumie bando la Usiku la Halotel kudownload movie.
Bas nkamwambia dem.. "unaonekana ww ji mpenzi wa movie na mziki" alishangaa eti nimejuaje. Ok tukazoeana ndan ya dakika chache akawa yuko huru sana.. mpk saa 12 nlikuw nashindwa nianzie wapi kumkosea adabu (nina asili ya uoga flan) nimejikanyaga wee.. mpk kigiza kimeanza akasema anataka kusepa.. nkasema poa.. ila nkamuomba nimkumbatie. Akauliza.. utaweza? Nikainama nkavunga aibu. Akasema ashanisoma mm nina aibu sana nkamsogelea nkamshika mashavuni katika namna ya kumface nikambusu, dry kiss. Na yeye akanishika akasema sio hivo, ngoja nkuoneshe...
akanipiga french kiss.. OMG. Nadhan mara ya mwisho nakumbuka simu yangu ilikuwa inaita ila sikuitilia manani. Mida kama saa nne usiku ndo nakurupuka akiri ikarudi.. tumekumbatiana bado ila ustaadhat amelala amesinzia.
Nkashika simu nkakuta mwenye geto amepiga kama mara 8 [emoji1787][emoji1787] ameandika msg kama 4, ya mwisho amesema " Boya wewe umenipiga exile bila taarifa" ila uzuri ni kuwa alienda kulala room kwangu hostel. Nkaweka mambo sawa.. nkaoga nkaendea msos tena nje, maji nkarud nkamkuta ustaadhat ashaamka. Tukala. Akaoga... tukapiga show nyngine pevu... mpk kama saa saba unusu nyt. Tukalala... saa 11 tena imo... vurugu tena .pk saa mbili hv.. nkachukua vyombo, nkaendea supu na chapati.. tukapiga, tukaoga, nkampeleka chuo mm nkarud tena kwa jamaa nilale npumzike. Hapa ndo ndo nmekurupuka. Nataka nimtext nimuulize anaitwa nani [emoji28][emoji28][emoji28]
Ok zoezi la kura za maoni lishakamilika ndugu zangu, Kila mmoja azidi kuwa mzalendo kwa nchi yake
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app