Huu uzi mtamu sana kupotezea muda na kurelax ila kuna chai sana humu

Muanzilishi wa uzi pia ana chai za kutosha sana mtu kuna sehemu alikuwa anasoma lakini comment ya juu yake anasema ameona

chini zaidi anafanya kazi halafu anajitambulisha kama kijana mid 20"s aaa

yule jamaa wa kula kichaa na yeye ni chai ile na ukitaka kuhakikisha hilo fuatilia comment zake za mwanzo kabisa

mods hawakufuta ile comment kwa sababu za kiusalama ila kidhalilishaji
 
Nimecheka atari....

Umenikumbusha yule jamaa amkula dem wa udsm ati anavichuchu kama tusikio twa mbwa. Ila watu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu akasema tu mbwa twa kijijini twenye mapepe, khaaaaa ila huyu uzi mweeeeeh hatareeee san
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu akasema tu mbwa twa kijijini twenye mapepe, khaaaaa ila huyu uzi mweeeeeh hatareeee san
Nasubiri yako ya kuliwa kimasihara ingawa wivu utanijaa Hadi pomoniiiiii[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
[emoji4][emoji4][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] jaman bebeeeeeh lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila jamani lhaaaaaah,
 
Yani familia nzima iliamua kukutapeliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana bro
Ahsante niliishapoa lakn maumiv yake ni makubwa mno ila nashukuru alinipa funzo Mkubwa sana saiv naish kwa tahadhari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…