Kiongozi chonde chonde kwa niaba ya wanajukwaa tunakuomba uendelee kutunyapulia maana naona unakoelekea kuna nuru zaidi inshallah Allah akutangulie kwenye mwendelezo wa hii story yko
Kiongozi mpaka unamtaja mungu aniongoze kwenye story hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huhuuuuh nisiwafiche nyie watu, hawa dents wa chuo wanapenda pesa na mali zenu tyuuh, ila mapenzi ya kweli yapo kwa mates waoooh. Tatzo hawa boez wa chuo hawawez gharama ndo maan dents wanatoka nje, ila sio kwamba hawawaelewi mates zao noooh.

Hata sisi tunafuata papuchi tyuu, habari za kupendana ni kwa wake zetu.
 
Shusha hio hio chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…