Hii ndio masikhara 100% nice nice mdau
 
[emoji850]
 
Kuna member huyo nadhani alipewa Ban anaitwa Juma..aliwahi hadi kupita na kichaa.. Nadhani baadhi ya visa vyake vilifutwa..
Ni alikuwa na matukio huyo nadhani ndiyo alikuwa anaongoza akifuatiwa na kiga..
Na wewe unakujaga huku? [emoji15][emoji15][emoji15]

(Natania [emoji2099][emoji2099][emoji2099])
 
Ndiyo..
Sasa hivi naona anatumia ID nyingine.. aliitaja hapa..
Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…