Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Bado kinda sana kwenye mambo haya.

Nimeagizwa pedi hapa na mwanamke mwenye miaka 45.
 
Kupitia hapa amejua ulichomfanyia. Kupitia uzi huu naamini kuna mahusiano mengi yamevurugwa
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Duh bro research ya wapi hiyo? Mimi tu nimezaliwa maza angu ana 39. Na Nina wadogo wawili wamepishana 3 kwa minne. Acha utani aisee
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Sio wote kuhusu hilo hiyo 35 ni mwanzo tu umewekwa ila wengine inawajia at late 40s to 50s
 
Kumbe wewe ni MZEE MTI mwenzangu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna dogo hapa mtaani anaosha magari mmefanana sana fanya mpango uje uchukuee mwanao.

Over
 
Mimi nimemvua vyeo vyote aliposema Rock City More badala ya "Mall"
 
Hii chai ya tangawizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…