Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Miaka saba iliyopita nilikua nimepanga maeneo ya sinza nyumba ya chumba kimoja na sebule, siku moja bro wangu ambaye alikua akiishi tanga wakati huo alikuja dar onetime kuchukua mzigo flani.
Plani yake ilikua ni aje dar achukue mzigo kesho yake ndo ageuze kurudi tanga. Alivyofika tu dar alinijulisha kuwa keshaingia mjini na tulikubaliana aende moja kwa moja kwenye ishu yake badae jioni akishamaliza ndo tunaweza kuonana na mi nikaendelea na ishu zangu
Sasa mpaka inafika saa mbili usiku naona kimya kumcheki akanambia yuko pale defrance anapiga kilaji na kwamba alisahau tu kunicheki akanisii sana niende pale nijumuike nao
Kufika nilimkuta bro yuko na pisi moja hivi ya maana, mtoto mzuri mithili ya yule batuli mmbongo muvi, kwa kweli nilishamzimikia huyu shem at the first place lakin nilijua huyu atakua mpango wa kando wa bro kwasabu bro ana mke
Nilitambulishwa kiufupi tu na bro kwamba dogo huyu shem wako
Bro sio muongeaji kabisa ye alikua anapiga masanga tu, shem nae alikua anakunywa zile sminof ice mi ndo nikawa mchangamsha genge na niligundua shem yuko interested sana na yale mastori yangu
Kuna mda shem alienda washroom bro akanitonya ule ni mchepuko wake ametoka nao tanga
Mida ya sa sita hivi nilianza kuona bro kama anasinzia hivi nikajua tu geji ishafika mahala pake mana walianza kunywa mda mrefu sana
Badae akanimbia amechoka sana anahitaji kwenda kupumzika mapema maana anataka awahi gari za asubuhi
Tukatoka pale kwenda kutafuta lodge kumbe muda wote ule hawakua wamechukua lodge, tukapita kama lodge tatu bahati mbaya tulikuta zote zimejaa
Nikamwambia bro kwanin wanahangaika hivyo na mida ishaenda si twende tu nikawaachie geto langu walale, so wakakubaliana tukaelekea geto
Baada ya kuingia ndani mi nikawaaga ili niende kulala geto la mshkaji jirani lakin shem hakukubaliana na hilo suala la mimi kuondoka akamwambia bro haina haja ya mimi kwenda kuhangaika usiku isipokua wao walale chumbani afu mi nijilaze kwenye kochi sebuleni
Wakaenda kulala chumbani mi nikabaki pale subuleni nimejilaza kwenye kochi nachek zangu movie, hazikupita hata dakika 40 tangu wameenda kulala nikaskia mlango wa chumbani unafunguliwa..Hamad namuona shem akiwa amejifunga kikoi tu anakuja nilipoketi, nilikua nishazima taa ni mwanga wa tv pekee lakin nilifanikiwa kuthaminisha kwa uzuri umbo huyu mrembo
Mpaka wakati huo nilikua kama nimepigwa na butwaa, nikiwa sielewi kinachoendelea shem alikuja straight mpaka kwenye midomo yangu na kuanza kedendeka...hakuongea chochote na mi pia sikuuliza chochote
Shem ni kama aliniziria mwili wake, alikua kalegea mno aliniruhusu nimshike kivyovyote na popote nnapotaka, NILIWEHUKA. sikuwaza hata kama bro yuko chumbani, na kwa jinsi yule shem alivyo msafi nilijikuta nishazama uvinza na nikamnyonya mfereji wote wa suez canal mpaka ndogo bila kutegemea.
Kupima geji shem alikua ashaloa kitambo sana, shem alikuja kwa juu na kumwaga uno la kiufundi sana...then nikamuinamisha kwenye kochi, nilipiga miti hiyo siku sitakaa nisahau
Baada ya kumaliza shem akanivuta karibu yake akaniambia 'kaka ako amelala fofofo kama amekufa' akanyanyuka akawa anaelekea chumbani, nikamshika mkono nikamvuta karibu yangu nikamwambia 'nakupenda'...akaniangalia usoni akanijibu 'uko vizuri sana Lokii lakini naomba uendelee kumheshimu kaka ako, hata nilichokifanya hapa sikustahili kukifanya' akaenda chumbani.
Asubuhi waliamka wakanikuta sebleni nishajiandaa nikawasindikiza kwenda kupanda basi, shem alikua yuko normal tu kama hakuna kilichotokea lakini mi nilikua dizaini kama najishtukia hasa tukiangaliana na bro,...mpaka leo huwa naamini bro hakuskia chochote usiku ule mana asingiweza kuniacha hivi hivi kwa nnavyomjua, shem hatukuwahi kuwasiliana tena toka siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukajikuta mjanja sio! Ndo ulivyoamini hvyo kwamba sikujua kilichoendelea, Dogo! habari ni kwamba nilifunika tu Kombe....
 
Kula kimasihara kwa Ji-MAMA namuita MUM wa dar...!
Ilikuwa mwaka jana mwez wa 12, niilikuwa natoka DAR kwenda MWANZA na basi la Dar Lux, ile nimefika pale shekilango nikaingia ndani na kuchek siti yangu namba 15 ilikuwa free na namba 16 nayo kulikuwa hakuna mtu, daah kimoyo moyo nikajisemea ivi konda awezi mpa mtoto mzur hii siti ili safar yangu iende vizuriii ukizingatia n safari ndefu na unaingia ka saa 6 or 7 usiku...! Mara gar ikaondoka huku siti namba 16 ikiwa empty nikawaza labda mwenye siti atakuwa mbezi mwisho kwani siti zote zilikuwa na abiria isipokuwa namba 16 ukizingatia n mwezi wa 12 wasafiri n wengi.....! mara gafla anapanda mtu mwanamke mtu mzima flani ivii akaja direct mpaka kwenye siti namba 16, baada ya kusalimiana kila mmoja akaendelea na 50 zake. Ukizingatia binafsi nilikuwa nataman akae pisi kali ili safar iwe fupiii, daah kimoyo moyo nikammind konda, kumbeeeeeee usiyoyajua n usiku wa giza...!
Nikiwa safarini huwa sipendelei vyakula ivi mara nyingi natumia biscut za eat summore, ile tumefika bahi wakashuka kwenda kula mie sikushuka...! Mara singida hii, mida ya saa moja ivi nikashuka ili ninyoshe miguu yule Bi mkubwa nae akashuka ili akakojoe kufika pale stendi kumbe ile huduma unalipia sh 300. Mum wa dar banah mkoba wake alikuwa ameuwacha kwenye gari, na pale chini ambae alikuwa amezoeana nae tu kwa salam n mimi, nashtuka Mum wa dar ananiomba 300 ka ninayo kwan mkoba wake wenye hela upo kwenye gari na amebanwa sanaa....., isiwe shidah mum wa Dar elfu moja hii hapa tena ya notii nikampea.
Tumerudi kwenye gar ile anataka kuniapa chenji nikakataa nikamwambia inaonekana nikipata shida uwezi nisaidia hadi nitakapo kulipa hahaha kicheko kikachukua nafasi yake na hapo ndio tukaanza story, akaniambia mwanza yeye n mgeni na anaenda kwenye Graduation ya chuo cha sauti basi nikamwambia usiwe na shaka kwani mwenyej umepata kwani mie naenda maeneo ya Nyegezi kona near by icho chuo. story zilinoga nikajikuta namshika paja gafla akaniangalia kwa lile jicho kama nadaiwa iviii bill yaani abdallah kichwa alivyo na ushirikiano wa haraka akashtuka ile ya ndio..!
Ebana kumbe mum wa dar nae alimuona kichwa waz kwa zile mbwembwe gafla akamshika. kwa kweliiii nilipiga touch za hatari ndani ya dar lux akalegea mnooo nikapiga mate saaana, pemebni ya upande wa pili wa seat yetu kulikuwa na binti mmoja tu baada ya aliekuwa karibu yake kushukia singida akawa anatazama mchezo mzima, Mum wa dar alizidiwa banah ikabid alale kwenye mapaja yangu huku akinyonya mashine na mie sikuwa nyuma kwan kwa pozi lile mawasiliano nilio yapata direct yalikuwa kwenye ule mtandao wenu, pima sana oil kwenye mtandao...!Ile nageuka siti ya pili nakuta yule dada akishika shika titi zake, daah nikaona ka ndoto iviiiii inakuaje tena kwa binti wa watu. Kwa huruma nikampa simu chap aandike namba yake nae akaonyesha ushirikiano mkubwa mida iyo mum wa dar kalala mapajani anachezea mashine.........! (HUYO BINTI NTAKUJA NAYO AS PART TWO YA SAFARI YA DAR TO MWANZA).
Ile kufika Nzega Mum wa dar keshameza vikombe viwili vya wazungu, kwa zile touch na uchovu wa safari ile tunaingia shy mum wa dar alikuwa amelala vizuri, hapo ndio muunganipo wa part two unapo noga sasa, nitaelezea vizur baadae.
ILe tumefika mwanza nikachukua tax na mgeni wangu yaani utasema ka vile mtu na mwezi wake huku akinilalia pegani, nikamfikisha lodge aliokuwa ameisha fanya booking na nikapata kimoja cha nguvu sana kwani ilinichukua ka saa nzima kukipata. Nikamuaga mgeni wangu nikaingia kwangu,...!
Kesho yake siku ya graduu movie liliendelea kwani aliniambia yupo period na anatamani kweliiii nimle....!

haya masihara yahaaaaa acheni tu hahahahaha, Mum wa dar nahic upo humu ila ndio masihara yenyewe hahahah
Green label imekolea sana hapa.
 
Kula kimasihara kwa Ji-MAMA namuita MUM wa dar...!
Kesho yake asubuhi na mapema hata sijatoka kitandani ukizingatia uchovu wa safari ya jana na Mambo ya Mum wa dar, simu yangu ikaita kuichek n yule binti XXX ndio alikuwa anapiga nikaipotezea gafla SMS ikaingia ilikuwa ya salam tu kutoka kwa yule yule binti, nayo nikaipotezea kwa muda ili nijiongeze value yangu kwa yule bintii...., hapa malijendi wenzangu mnaelewa vizur. Mida ya saa nne na nusu iviii nikatoka kwenda kumchek Mum wa dar kwani sikuwa na namba yake ya simu ukizingatia alikuwa mgeni katika jiji la mwanza.
Nikamkuta ndio anatoka kuoga,ebanaa eeeh kumbe yaliomo yamo hasa msambwanda hakika Mum wa dar alikuwa kafunga, nikajisemea ivii jana nilikuwa naona kweliiii au ndio nimeanza kumpenda na kunogewa na huyu Mum. Tukakumbatiana kwa muda mrefu kidogo hii baada ya kukiss, ukizingatia yale mavaz yake aliokuwa nayo abdalah kichwa wazi akaanza mishe zake huko chini, nikasikia sautiii nyembambaaa masikioni mwangu ikisema Usinielewe vibaya kipenzi changu ila naomba nikuambie tu ukweliiii, ebana eeeeeh ile kusikia ivooo nilipoteza network gafla na kuanza kuogopa sana, maswali zaidi ya 1000 ndan ya dakika moja yalinijia ukizingatia jana niliuza mechi kirahis sana kwa Mum. Akili yangu niliwaza Mum wa dar ana ngoma nini, kwa kinyonge sana ila kibaharia nikajibu, niambie mtamu wangu. Mum akaniambia nimeamka leo nakuta nmeanza period kipenz ila mwenzio nina hamu ya kun..tmba sana sana na ww ukizingatia jana sikukuonyesha ufundi wangu hasa wa asili yetu ya Tanga. wakuu kweli bada ya kusikia ivo nilipata amani kidogo japo nikawa najilaumu ivi jana niliuzaje mechi kirahis vilee,yaaan ikwa kunitamanisha kote iviii hata mwenzio sijalala vizur Thinking about you ndio unaniambia iviii kweli kipenzi, nikaonyesha na sura ya unyonge flani kwa Mum.
Mum akaniambia usichukie ila tambua mie natokea tanga hakijaharibika kitu mpenz, nikajisemea jana nilipima oil kwenye ule mtandao wenu, Mum anataka kunitunuku line nini ya huo mtandao nini......! Gafla mum akanishika kwa kichwa wazi akakuta pozi sio kama la mwanzon akasema jamaniiii mbona ivii tena mpenz au hutak nikuonyeshe kwann tanga n maarufu kwenye mambo haya, kumbe angejua network ilikata mapemaaa baada ya kuambia nikuambie kitu tu, nikajibu hapana kipenz mie tanga mgeni jamaniii nionyeshe mitaa ya jiji hili. basi akasema jana ulipima oil leo nataka nikutunuku kabsa, hahah hahah eban eeeh nikajisema huyu Mum wa dar ana mambo hatariii sana ila wazo la kuche afya likanijia akilini na nimshirikishe ili game ichezwe vizuri.Nikamwambia akasema haina shida tukachek afya, tukaenda hosptal moja kubwa tu kribu na stendi ya nyegez ya zaman tukachek afya tukawa safi wote. Ila nikajiuliza ivii kweli huyu kaja kwenye graduation kweli au mbna habari za gradu hazipo tena. Nikamuuliza kwenye graduation umekuja kwa akaniamba ni first born wake ndio ana graduate eeeeh nikamwambia mbona unaonekana mdogo kumbe mkongwe kwenye game akacheeka akasema ngombe hazeeki maini, nikamuuliza graduation n leo mbonanow saa 7 sijaona ka una ratiba za kwenda huko...! akasema kutokana nawanafunzi wengi katika chuo cha sauti graduation huwa wanafanya mara mbili, kwaiyo kesho ndio gradu ya kijana ake, nikamwambia aaah hapo sawa.

Ile napak gari tu pale lodge simu ya Mum ikaita, akasema kijana mwenyewe ndio huyu anapiga. yule kijana akamwambia yupo reception hapo lodge amekuja na rafiki zake watanaka kumsalimia........!

Nikamwambia siwez onana nao ila wakiondoka nipigie.......!

Part one haija isha badooo part two ipo pale pale AHADI NI DENI

Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
 
Unanichekesha sana sana wapo hadi 50 wanapata M.P, just try kufuatilia zaidi.....!
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Kuna mwanamke namfahamu ana zaidi ya 45 na amejifungua mwaka huu March. Usiishi kwa kukariri
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Elimu ya mtaani dot com
 
37 bado mdada kabisa mzee, hayupo kwenye kundi la majimama huyo
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
si kweli ndugu, kuna wanawake wanaingia period hata 4 5 years
 
Miaka saba iliyopita nilikua nimepanga maeneo ya sinza nyumba ya chumba kimoja na sebule, siku moja bro wangu ambaye alikua akiishi tanga wakati huo alikuja dar onetime kuchukua mzigo flani.
Plani yake ilikua ni aje dar achukue mzigo kesho yake ndo ageuze kurudi tanga. Alivyofika tu dar alinijulisha kuwa keshaingia mjini na tulikubaliana aende moja kwa moja kwenye ishu yake badae jioni akishamaliza ndo tunaweza kuonana na mi nikaendelea na ishu zangu
Sasa mpaka inafika saa mbili usiku naona kimya kumcheki akanambia yuko pale defrance anapiga kilaji na kwamba alisahau tu kunicheki akanisii sana niende pale nijumuike nao
Kufika nilimkuta bro yuko na pisi moja hivi ya maana, mtoto mzuri mithili ya yule batuli mmbongo muvi, kwa kweli nilishamzimikia huyu shem at the first place lakin nilijua huyu atakua mpango wa kando wa bro kwasabu bro ana mke
Nilitambulishwa kiufupi tu na bro kwamba dogo huyu shem wako
Bro sio muongeaji kabisa ye alikua anapiga masanga tu, shem nae alikua anakunywa zile sminof ice mi ndo nikawa mchangamsha genge na niligundua shem yuko interested sana na yale mastori yangu
Kuna mda shem alienda washroom bro akanitonya ule ni mchepuko wake ametoka nao tanga
Mida ya sa sita hivi nilianza kuona bro kama anasinzia hivi nikajua tu geji ishafika mahala pake mana walianza kunywa mda mrefu sana
Badae akanimbia amechoka sana anahitaji kwenda kupumzika mapema maana anataka awahi gari za asubuhi
Tukatoka pale kwenda kutafuta lodge kumbe muda wote ule hawakua wamechukua lodge, tukapita kama lodge tatu bahati mbaya tulikuta zote zimejaa
Nikamwambia bro kwanin wanahangaika hivyo na mida ishaenda si twende tu nikawaachie geto langu walale, so wakakubaliana tukaelekea geto
Baada ya kuingia ndani mi nikawaaga ili niende kulala geto la mshkaji jirani lakin shem hakukubaliana na hilo suala la mimi kuondoka akamwambia bro haina haja ya mimi kwenda kuhangaika usiku isipokua wao walale chumbani afu mi nijilaze kwenye kochi sebuleni
Wakaenda kulala chumbani mi nikabaki pale subuleni nimejilaza kwenye kochi nachek zangu movie, hazikupita hata dakika 40 tangu wameenda kulala nikaskia mlango wa chumbani unafunguliwa..Hamad namuona shem akiwa amejifunga kikoi tu anakuja nilipoketi, nilikua nishazima taa ni mwanga wa tv pekee lakin nilifanikiwa kuthaminisha kwa uzuri umbo huyu mrembo
Mpaka wakati huo nilikua kama nimepigwa na butwaa, nikiwa sielewi kinachoendelea shem alikuja straight mpaka kwenye midomo yangu na kuanza kedendeka...hakuongea chochote na mi pia sikuuliza chochote
Shem ni kama aliniziria mwili wake, alikua kalegea mno aliniruhusu nimshike kivyovyote na popote nnapotaka, NILIWEHUKA. sikuwaza hata kama bro yuko chumbani, na kwa jinsi yule shem alivyo msafi nilijikuta nishazama uvinza na nikamnyonya mfereji wote wa suez canal mpaka ndogo bila kutegemea.
Kupima geji shem alikua ashaloa kitambo sana, shem alikuja kwa juu na kumwaga uno la kiufundi sana...then nikamuinamisha kwenye kochi, nilipiga miti hiyo siku sitakaa nisahau
Baada ya kumaliza shem akanivuta karibu yake akaniambia 'kaka ako amelala fofofo kama amekufa' akanyanyuka akawa anaelekea chumbani, nikamshika mkono nikamvuta karibu yangu nikamwambia 'nakupenda'...akaniangalia usoni akanijibu 'uko vizuri sana Lokii lakini naomba uendelee kumheshimu kaka ako, hata nilichokifanya hapa sikustahili kukifanya' akaenda chumbani.
Asubuhi waliamka wakanikuta sebleni nishajiandaa nikawasindikiza kwenda kupanda basi, shem alikua yuko normal tu kama hakuna kilichotokea lakini mi nilikua dizaini kama najishtukia hasa tukiangaliana na bro,...mpaka leo huwa naamini bro hakuskia chochote usiku ule mana asingiweza kuniacha hivi hivi kwa nnavyomjua, shem hatukuwahi kuwasiliana tena toka siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbaya sana hii na je kama alitaka kuua familia yenu kwa magonjwa! Soma alama za nyakati
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Rudia tena kutafuta hayo maarifa mkuu. 37 mwanamke bado sanaaa. Sema 45+ nitakuelewa.
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Wewe kama sio mwanafunzi wa kidato cha pili basi umekimbia shule ukiwa darasa la saba.

Yaani hujui chochote kuhusiana na masuala ya jinsia na viungo vya uzazi pamoja na mfumo mzima wa vizazi.

Umetia aibu kwa hiki ulichoandika hapa. Umedhihirisha ujinga wa hali ya juu.
 
Kwann kamanda...
 
Back
Top Bottom