tupo tupo kwa makini sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3] yadumuuuuu
 
ITS MASIHARA AGAIN

Kuna dada mmoja anauza duka la samaki, kwa kuwa naendaga kununua akachukua namba ili siku wakileta pweza anijuze
Akawa anatuma tuma whatsapp status mara kwa mara, mara anatuma picha zake mara maneno ya kwenye kanga siku akigombana na nani huko sijui.
Kuna siku akatuma picha yake nzuri, mi nikachukua muda wangu nika creat video nikamtumia, akafurahi kishenzi.
Juzi tena akatuma picha nyingine, mi nikajifanya tena producer kama Ramar, nikatia soundtrack, vocal, animation na mazaga kibao yakisindikizwa na wimbo mzuri wa mzee wangu Zahir Zorro akiwa na bendi ya mass media kitu beatrice. Maana kinavyoanza tu" nipe nafasi niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako, moyo thabiti uliojaa mapenzi sawa sawa na yangu..." nikamtumia mtoto akafurahi kinoma. Akaomba nimfundishe ku creat video
Mi sikuwa na hiyana kama Kagere tu akivutwa kati kati ya uwanja anadondokea ndani ya box la penati. Nikamwambia njoo nikufundishe.
Akasema ooh mi naogopa kuja huko nifundishe hapa kwa sms.
Nikamwambia huwezi kuelewa mpaka uje .
Aksema mi naogopa yatatoke mambo ya batari nikija huko.
Nikamuuliza kwa umri huo unaogopa nini. Akasema ooh mie bado mtoto
Alivyotoa jibu hilo tu nikachekelea kama nimeshinda m 50 za biko. Nikamwambia basi huna haja ya kuogopa kwani mi mtoto mwenzio hakuna kitakocho haribika.
Akasema haaaaaa. Nikamwambia watoto kazi yao kunyonya na kucheza mchezo wa kombolelea. Akuliza kunyonyo nini?
Nikamwimbia kwa kuwa mama yetu kasafiri itabidi tunyonye chupa za nyonyo.
Akacheka sana sana
Leo asubuhi nilivyoamka nikaenda kununua chupa zile za kunyonyea watoto nikapiga picha nikamtumia tiyari nimeshazinunua mtoto mwenzangu.
Akasema ntakuja kuzikagua jioni.
Jioni baada ya kufunga duka kaja, hakukuwa na zaidi kama Yanga na KMc tu. Mpaka sasa hivi nimesahau ilibidi nimfundishe nini sijui, anaekumbuka somo alojia kujifunza huyu binti ani pm kesho asubuhi maana saa hizi nalala baada ya kumsindikiza kwao
YADUMU MASIHARA
 
Mkuu fatilia kwa makini... isije kuwa umeandaliwa kisaikolojia. Maaana wake za watu wa siku hzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole saaana. Mazish ni hapo hapo bujumbura au mnasafirisha? Ngoja nimwambie marangu jjj ale tenda ya maturubai.

Uwe makin huko kuna kulana kimasikhara. Si unajua mambo ya safari?
 
Pole saaana. Mazish ni hapo hapo bujumbura au mnasafirisha? Ngoja nimwambie marangu jjj ale tenda ya maturubai.

Uwe makin huko kuna kulana kimasikhara. Si unajua mambo ya safari?
Nipo Makini lakini pia bujumbura ni ndogo sana , kama Mbagala tu, na Wanaume wa hapa siyo handsome kama wa Rwanda, wanafanana na watu wa Kigoma-sura ngumu ya kuuzia mkaa.
Mazishi ni hapa Bujumbura,ila si mnajua ukifa kwa krona lazma upigwe dawa sana, , ila familia wanataka tukazike kijijini kwao
 
Kwa hiyo inekuwa rwanda at least tungepata kisa cha kusimulia humu....!
Nipo Makini lakini pia bujumbura ni ndogo sana , kama Mbagala tu, na Wanaume wa hapa siyo handsome kama wa Rwanda, wanafanana na watu wa Kigoma-sura ngumu ya kuuzia mkaa.
Maziko na hapa Bujumbura, ila familia wanataka tukazike kijijini kwao
 
Yadumuuuu.
ulivyoweka hio picha nilikua nawaza inaingiliana vipi na masihara,sasa nimekuja kupata udambwi dambwi ndani ya stori
 
Raha sana kupata mwanamke bikra, ila waliotumika vya kutosha watakuja kupondoa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…