Verifier
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 457
- 1,561
Nakumbuka baada ya kumaliza kidato cha nne nilipata nafasi ya kwenda kuwasalimia babu na bibi mzaa Mama huko kijijini. Bibi na babu walikuwa wanaishi na binamu zangu watoto wa marehemu mjomba. Hawa binamu zangu pamoja na ubinamu walikuwa ni marafiki zangu haswa (mimi nilizidiwa umri wa miaka miwili na binamu mkubwa na alikuwepo tuliyezaliwa mwaka mmoja na wa mwisho nilimzidi miaka miwili.
Marehemu mjomba alikuwa ni daktari katika hospitali moja huko mikoa ya kanda ya ziwa. Nakumbuka tukiwa na umri wa miaka mitano, mimi na marehemu kaka yangu tulipelekwa kwa marehemu mjomba kutahiriwa. Tulikaa kwa mjomba kama miezi miwili. Ni huko ndio uswahiba wangu na binamu zangu ulipoanzia ulipoanzia. Tulicheza mpira na kuogela ziwani. Tulienda kuiba maembe na mapera ya watu, utundu sio utundu. Nakumbuka siku ambayo mjomba alitutaka tujiandae kwenda tahiriwa (Tulitahiriwa wote na binamu zangu siku moja), tulitoroka tukaenda jificha kwenye miembe. Tulitafutwa mpaka basi, ni njaa ndiyo iliyotutoa huko kwenye miembe. Tulirudi nyumbani tukakaribishwa kwa viboko vya kutosha na kisha tukabebwa mzobe mzobe hadi katika chumba cha upasuaji kila mtu kwa zamu yake!
Baada ya ya kufariki mjomba hawa binamu zangu walienda ishi na kusomea kwa babu na bibi. Niliwatembelea mara kwa mara na nikifurahia kuchunga ng'ombe pamoja nao, kuchoma viazi katika zizi la ngombe, kuvua samaki kwa ndoana, nk.
Baada ya kumaliza kidato cha nne nilikuwa na hamu sana ya kuwaona hawa ndugu zangu hivyo nilifunga safari kuwatembelea. Nakumbuka tukiwa tumekaa njee chini ya kivuli kizuri cha mti huku tukicheza karata mida ya saa kumi jioni, alitokea dada mmoja ambaye alipotea njia hivyo kaja kuuliza uelekeo! Hakuwa dada mzuri wa vile lakini alikuwa na umbo lenye mvuto kidogo. Nilimsikia binamu mkubwa akitete na mdogo wake kuwa lazima kieleweke kwa huyo mdada. Basi binamu mkubwa alimkaribisha huyo mdada ndani (vijana walikuwa na nyumba yao tofauti) na bila hiyana dada alikubali. Sikujua kilichoendelea ila baada ya nusu saa binamu alitoka ndani akamuita binamu aingie yeye akabaki njee. Mwisho wa siku wote wanne tulimptia yule mdada🙄! Nilijikuta nakula kimasihara japo kesho yake nilijikuta naanza kojoa usaha! Wote wanne tuliukwaaa😀.
Enzi hizo gonorea haikuwa issue sana hivyo tulitibika!