Mkuu shusha vitu mkuu tunakufuatilia sana mkuu... wewe jua kuna watu kibao wana fuatulia story zako hata kama n chai ya moto
 
Ikoje iyo style? naomba picha pm!
 
Bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kila mwanamke ni wa kulala nae.
 
acha uongo ngozi nyeupe aziliwi kimasikhara kama ulivyotuandikia hapo
 
sasa huyu ndio mikito
 
Mnazingua kinoma
 
aiseee nikiwa nasoma andiko lako juwa najihisi dunia hii kuna watu tumebahatika sana kufaidi raha sema wachache watakuja na kusema ni chai kwa kuwa wana nuksi zao tu
Afu Ukiona mtu anasema Chai, kuna asilimia kubwa kwamba, kipindi anasoma hilo andiko alikaribia kupata mfadhaiko. Yaani dushe lilinuka ndiiiii[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…