A new version of Mikito Mikito in the makingWajumbe mpoo? Mna nafasi niitishe kikao leo jioni? Kama una nafasi gonga like!
Ila siwezi kuwaacha hivo tu, nawaacha na kibwagizo,
"....Lugumya, naomba usikie maneno ninayo kwambia, ni leo tu, lakn natamani niombe talaka. Ulikuwa wapi baba, naomba uniongeze viwili tena kama hiki Cha kwanza. Alama na kumbukumbuku ulonipa leo, haiwezekani kufutika Moyoni. Na Kuanzia leo, Mshahara wako utatoka Laki 8 hadi Milioni 1 na laki 3.....!
Nani alinambia hivo, tukutane kazini!!!!
Chukua tahadhari, Covid-19 bado ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee, Mambo hayoWajumbe mpoo? Mna nafasi niitishe kikao leo jioni? Kama una nafasi gonga like!
Ila siwezi kuwaacha hivo tu, nawaacha na kibwagizo,
"....Lugumya, naomba usikie maneno ninayo kwambia, ni leo tu, lakn natamani niombe talaka. Ulikuwa wapi baba, naomba uniongeze viwili tena kama hiki Cha kwanza. Alama na kumbukumbuku ulonipa leo, haiwezekani kufutika Moyoni. Na Kuanzia leo, Mshahara wako utatoka Laki 8 hadi Milioni 1 na laki 3.....!
Nani alinambia hivo, tukutane kazini!!!!
Chukua tahadhari, Covid-19 bado ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au we unaona vipi bibie
Unaroho swafi sanaMember Since May 2020
Mwaka juzi hapo Morogoro.
Nilikuwa kwa kaka yangu na yale maeneo kila mtu yupo ndani ya gate lake, Jpili moja tunaenda Church nikamuona mwanaume mmoja hivi ana makengeza na mwili mazuri sana.
Nilikuwa na watoto Wa kaka yangu, wakamsalimia na mm nikatoa salamu zangu kwake, ila moyoni nilimtamani pale pale maana hadi church nilikosa umakini kwa kumuwazia yeye.
Jioni yake mtoto Wa kaka yangu akaniletea hesabu za nursery nimfundishe maana kana miaka mitatu, kumbe kazitoa kwa yule Kaka na kuna namba ya simu imeandikwa.
Nilimtext kisha kujitambulisha, akasema nakuonaga unapita sana hapa, sikuwa na hiyana maana nilikuwa nataka kutest zari tu. Maana kadiri tulivyokuwa kunachat nilizidi kumtamani sana.
Kesho yake aliniita nikaenda pale, na kukuta kashachukua chumba tayari na kupigwa show moja matata kabisa. ( ukweli jamaa anajua sana mapenzi na namsifia sana maana sijawahi ona)
Kule aliniambia yeye ni lecturer chuo kimoja hapo Moro, na niliogopa maana nilihisi ana HIV, akanisii sasa nisiogope na tulipima pale pale na kukuta sote tupo safi.
Jamaa alikuja sana mkoani nilipo mara nyingi sana, maana niliishi mkoa ambao kuna chuo na ni lazima angekuja maana alikuwa ana vipindi vya kufundisha hapo chuoni.
Weka mzingira uone..Tupeni experience ya introverts na kula tunda kimasihara, hivi huwa wanaweza?
Unajua nilichokilenga? Ninachomaanisha huyo mwenye nyumba anajua kinachoendelea ndani na kauliza, ndiyo akamalizia kuumbua amedangamywa. Akisema kapitia, ndiyo nikauliza kwanini aliuliza wakati anajua.Sentensi iko hivi " Kama unajua kiwango chako ni Cha lami, tafuta ....za chuma" . Hakuna sehemu inayosema mwenye nyumba anajua kiwango halisi cha msimuliaji kunjunja. Yaani hata yeye hajui.
Aidha, katika simulizi msimuliaji hakuna sehemu amesema chaga zilidondoka kutokana, na show ya kibabe. Ukiendelea kusoma utagundua kuwa chaga hazikuwa imara.
Kama angekuwa anakijua hicho kiwango cha kibabe asingeuliza au angesema hivi" najua kiwango chako ni Cha kibabe, chongesha kitanda Cha Chuma tu"
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha picha linaaanza Ila kama linaisha vile balaa lakeWajumbe mpoo? Mna nafasi niitishe kikao leo jioni? Kama una nafasi gonga like!
Ila siwezi kuwaacha hivo tu, nawaacha na kibwagizo,
"....Lugumya, naomba usikie maneno ninayo kwambia, ni leo tu, lakn natamani niombe talaka. Ulikuwa wapi baba, naomba uniongeze viwili tena kama hiki Cha kwanza. Alama na kumbukumbuku ulonipa leo, haiwezekani kufutika Moyoni. Na Kuanzia leo, Mshahara wako utatoka Laki 8 hadi Milioni 1 na laki 3.....!
Nani alinambia hivo, tukutane kazini!!!!
Chukua tahadhari, Covid-19 bado ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
huuu ni wivu tu embu angalia mpangilio na maneno ya mikito uone kama ana huu uwezo?
Soma between lines..... a new versionhuuu ni wivu tu embu angalia mpangilio na maneno ya mikito uone kama ana huu uwezo?
SELF QUARANTINE ilimaliza kila kitu sahv tumerudi upya kitaaHuu uzi unakuwa kama unaisha hivi,halafu ghafla unaibuka upyaaaa kama unaanza
Sent from my SM-N920F using JamiiForums mobile app
Kwani ukinyamaza utageuka kuwa James Delicious? Mengine kaa kimya kama hayajakupendeza, waache waliyopendezwa nayo waburudike. Hii ndiyo sifa pekee ya uanaume. Hakuandika usome wewe pekee, bali umejileta mwenyewe kuisoma.
JF this is where we dare to talk openly...siwezi kunyamaza hayo ni maoni yangu usiingilie uhuru wangu wa kutoa maoni.Kwani ukinyamaza utageuka kuwa James Delicious? Mengine kaa kimya kama hayajakupendeza, waache waliyopendezwa nayo waburudike. Hii ndiyo sifa pekee ya uanaume. Hakuandika usome wewe pekee, bali umejileta mwenyewe kuisoma.