Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Inawezekana kabisa Mbeya na Arusha ndio code zenyewe. Yaani haikuwa Mbeya wala Arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbeya na Arusha (smoke surface) zimewekwa ili kupoteza lengo na wala hakuna branch usikute ni ofisi moja tu.
Wataalam watanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah na ndio jinsi ya kuweka code.. inabidi imfanye msomaji ajione genious kwa kuvunja code kumbe umempeleka unapotaka wewe.. unataja mitaa mingi na kudescribe mtaa ulivyo kumbe tukio limetokea mkoa mwingine kabisa.
 
unachokosea ni kufanya generalization, halafu unajilinganisha na mapito yako
wadau wa jamii forums ni wachache sana kwa idadi ukilinganisha hali halisi ya mtaani,
kwa Tanzania kama mtu anaweza kuingia jamii forum na ku post , kwa status jua yupo beyond average ,

Sent using Jamii Forums mobile app
THE ELITE FORUM.Jf ilinifanya nifute apps mshenzi kwenye sim yngu

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Naona watu wa JF kila anayepanga nyumba basi anapanga chumba na sebure tena self contained room, utasikia "tulihamia chumbani then tukaenda kuoga"

Hapo kazi yenyewe siyo ya professional yake, na tayari ana sofa na TV ndani na kitanda kabisaaa chenye godoro,

Kwa wale wenzangu na mimi tunaoishi maisha ya kupanga nadhani mnanielewa,
Najaribu kufikiria hizi gharama ulizimudu vipi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magumu ni kwako tu
Jf wengi ni good life
 
Yeah na ndio jinsi ya kuweka code.. inabidi imfanye msomaji ajione genious kwa kuvunja code kumbe umempeleka unapotaka wewe.. unataja mitaa mingi na kudescribe mtaa ulivyo kumbe tukio limetokea mkoa mwingine kabisa.
Akili kubwa NDIO huwa zinafanya hivi.

Hawa wenye akili ndogo ukiandika "kimara" akili yake inadhani ni kweli ni "kimara"[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII CHAI SASA....YANI BINTI WA MIAKA 19 AWE NESI...ALISOMA SAA NGAPI....?
Wewe ni msukuma bila shaka mmezoea kuchungisha watoto ngombe shule anaanza na miaka 10+, nikwambie tu inawezekana binti wa miaka 19 kuwa nurse level ya certificate sharti atoke moja kwa moja chuo aingie kwenye ajira simple hesabu hii aanze shule na miaka 5 kama umbo linaruhusu chukua 7+4+2 vijana sasa wanamaliza wakiwa wadogo sio kama zamani wako wanamaliza degree na 21-22 mkuu
 
Wewe ni msukuma bila shaka mmezoea kuchungisha watoto ngombe shule anaanza na miaka 10+, nikwambie tu inawezekana binti wa miaka 19 kuwa nurse level ya certificate sharti atoke moja kwa moja chuo aingie kwenye ajira simple hesabu hii aanze shule na miaka 5 kama umbo linaruhusu chukua 7+4+2 vijana sasa wanamaliza wakiwa wadogo sio kama zamani wako wanamaliza degree na 21-22 mkuu
Mwanangu ana miaka 15 yuko form five
 
Ok Ok, nimevutiwa na uzi acha niwape story ilikuwa juzi kati tu hapa kabla ya Corona kuingia Tanzania, kuna demu nasoma nae class course moja kwenye chuo kikubwa mjini dsm, tulikuwa kwenye mitihani ya kumaliza semister iyo siku kesho yake tulikuwa na paper moja gumu hatari la econometrics demu alikuwa anajua mimi nipo fresh kidogo class na washikaji zangu tunakaa nao ghetto demu akaomba aje maghetoni tudiscuss nae ilikuwa mida ya saa 5 usiku sio swala kwakuwa tulikuwa na dinga tukaenda mchukua hostel anazokaa (analalamika lwenye hostel yake hakuna mtu anayesoma ilo somo), basi tukafika ghetto tukadiscuss hadi saa 7 demu akasema amechoka nikampeleka kwenye chumba changu akalale mixer nikamuwekea movie demu akasema i can't sleep alone hapo hapo akilini nikajiongeza kwamba hii ngoma naruka nayo tukakaa pale tunangalia movie kidogo kidume nikaanza kazi mtoto anatako huyo anakatika sijawahi nyonywa mboo kama vile hata siku moja baada ya pale akaniambia una condom nikachukua fasta maana ninazo nikamgegenda vizuri sana yule mtoto na kesho baada ya paper tulirudi maghetoni kamla tenah, Huyu demu anabwana wake wamwanajeshi na wanapanga akimaliza chuo wafunge ndoa na itakuwa chakula yangu kila siku bwana ake akiwa depo mamaeee... mtoto mtamu ( Ila niliambiwaga ananikubali kisenge huyu demu )

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishawahi kuzama mtaani kufuata papuchi saa 6 ya usiku hapo unaambiwa kesho yake nina pepa la microbiology na parasitology.

Asee papuchi hizi nyie acheni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yangu kwani wewe unadhani waliopo humu Jf ni watu wa namna gani?
Ushawahi kukutana na member walau 10 tu wa Jamii forums?

Kupanga chumba na sebule ni kiasi gani mpaka unaogopa?

TV na sofa ni gharama kiasi gani mpaka unapata mashaka kwamba watu hawana vitu hivi?

Hivi ni vitu ambavyo hata vibarua tu wanamiliki.

Watu wameanza kupanga wakiwa mwaka wa kwanza chuoni. Sio ajabu mtu kuwa na sofa kutoka kwa fundi Jose.

Wapo tuliopata kazi hata kabla ya kumaliza chuo. Sasa TV na sofa ni mshahara wa mwezi mmoja.

Aidha hujui namna ya kupanga maisha yako au umeamua kuridhika na maisha magumu.

Nawafahamu vijana wanaoendesha bodaboda/bajaji ambao wamepanga chumba na sebule na kumiliki hizo TV na sofa.

Sasa nikueleze tu, nimewahi kukutana na wana Jf kadhaa na hawaishi kwenye chumba sebule bali apartment na wana maisha mazuri tu.
Humu ndani kuna watu wa levels tofauti sana. Kuna waliojenga, wenye makampuni, wenye biasahara kubwa na wanaomiliki vitu vya thamani. Kuna wenye maisha ya "uchumi wa kati" hawa ni wengi zaidi; kwao kumiliki TV na sofa sio tatizo, kupanga chumba na sebule pia sio tatizo kabisa.

Sasa wewe endelea kuangalia rafiki zako hapo mtaani kwako Kisha ndio ulinganishe na watu wa Jf.

Umaskini huu wa watanzania umetufanya tuukumbatie sana. Hakuna sifa kuishi maisha magumu ongeza juhudi, weka malengo na timiza malengo ili uishi vizuri.
Mindset ya kukumbatia hali ya umaskini ni mbaya kuliko umaskini wenyewe


Badilika ndugu yangu. Jifunze kutoka kwa watu. Naamini utafika wakati utamiliki vitu vyenye thamani zaidi ya TV na Sofa.

Inshallah.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,

Acha nizisake na mimi maana naona haya ndio madhara ya kutokuwa na mkwanja wa kueleweka, nimehoji ila naambulia kuitwa "mtu mwenye3mindset ya kimasikini" ilihali hunijui na wala hujawahi kuniona

Jf banaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom