Nilivyomla kimasihara Dada Muuza duka la nafaka
Imepita wiki sasa tangu nimle huyu mrembo wa Kinyaturu..
Nakumbuka ilikuwa ni wikend flani asubuhi, na-hang over ya hatari mixer njaa. Maana Pombe niliyokunywa niliitapika na misosi juu ( Kwanini wewe Konyagi hunipendi aisee

)
Baharia nikaamka nikawaza. Nikanunue supu ama nkatoe Lock. Kura zikaenda kwa Nikatoe Lock ( Kula kitu gani banaa


). Basi huyoooo ad kigrocery cha jilani..
Nikiwa njiani niliona mrembo flani akiwa dukani. Moyo ukalipuka nikajisemea ni lazima nitajaribu bahati yangu kwa huyu mtoto. Basi nikaenda nikapiga zangu Konyagi ndogo. Nikajisemea, sasa nishindwe mwenyewe tu. ( Kumbuka kichwani niko gudi


)
Karibu Kaka nikuhudumie. Mchele Maharage Unga Kunde .. Nk. Sa sijui unataka nini..
Baharia nikawaza. Nikamwambia nataka tufanye biashara mdada. Niwe nakuuzia maharage. Maana mie ninayo. Ni mazuri sanaa. Ya Mbeya.
Mrembo akasema. Labda uongee na Boss kaka. Mi Mwenyewe naletewaga tu mzigo mi nauza. Kuhusu kununua mi sihusiki kabisa. Labda nikupe namba za Boss..
Baharia nikawaza tena. Nikapata majibu ya fasta. Nikamwambia. Kwani bibie huwezi kujiwekea kamzigo kako ata kamoja humu dukani. Sio kila kitu hadi uambiwe. Weka kamzigo kako ata ka maharage. Pesa yake unakuwa unaiweka pembeni. Inakusaidia pia. Unakwama wapi dia..


?
Kumbuka hapo Baharia sina ata punje ya Maharage getho



Nikaona mrembo anawaza kwa kina . Kisha akaniuliza, kwani we kaka unaishi wapi? Leta basi sample niyaone


Nikasema kurudi tena huku sidhani. Kwani hauwezi pata muda ukaja home kuyaona.


Akasema basi sawa. Kuna dogo atakuja kunishikia hapa. Kisha nitakuja.
Baharia nikasema.. Mambo si hayooooo sasa. Huyoooo paka getho.
Baada ya kama lisaa hivi, mtoto anapiga simu kuwa anakuja. Nikasema poa.
Nikaendelea kula zangu mziki.
Mara nipo apa kwa Mangi, uko wapi wewe. Nikatoka nikamfata hadi alipo. Haooo paka alipopaimbaga R.I.P Ngwear
Mtoto kafika mlangoni, kagoma kuingia. Nikamwambia anaweza kupita Boss wako hapa ukajiharibia kazi. Ingia tafadhali..
Huyooo paka Ndichi.
' Hayo maharage yako wapi sasa ? SWALI LA KUANZIA..
Usjali. Yapo store. Haraka za nini na wewe umekuja.. Ujue we ni mtoto mzuri sana. Ni muda nakuona ila nashindwa kukwambia. Tafadhali naomba nikukumbatie maana ni ndoto yangu ya Muda sana.........
Konyagi haijawai kuniangusha kwenye sekta km hizi.