Partner kaolewa nchi jirani (jina kapuni) na mtoto namhudumia vizuri tu. Hata hivyo mtoto naishi naye na anasoma hapa Tz ila baada ya shule kufungwa kaenda kwa mama yake.Mkuu inamaana huyo partner katokomea na mwanako na hujui walipo? Humhudumii huyo mtoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi mbinu ni za kijasusi aiseeNinazo nyingi za kula kitu chenyewe kimasihara ila tuanze na hii....! NILIOMBWA KUWA Mc wa harusi baada ya Mc mwenyewe kapati matatzo gafla.
Miaka ya 2010's makao makuu ya mkoa flani, kipindi icho nikiwa mwanachuo wa chuo kikuu flani pale morogoro. Sasa ile nimerud home kipind cha likizo bro angu alikuwa anaoa kwa bahati mbaya Mc maarufu aliekuwa amaeisha andaliwa kwa ajili ya shughuli alipata emergence ambayo haikwepeki ili kuokoa jahaz na ukizingatia na harusi ya bro nikaona shughuli isiharibike nikashika nafasi ya Mc,,
Ebana nilifanikiwa kuendesha shughuli kwa madaha na mbwembwe ka Mc mzoefu, sasa kulikuwa kuna meza moja imepambwa na warembo watatu yaani ni pini za uhakika. Mc nikawa na maneno mengi na kumbukeni Mc kwenye shughuli akimsimamisha mtu yeyote lazima asimame nikaona uzoefu wangu na watoto wa kike aaaah lazima pale niondoke na mmoja.
Nikasema kwa heshima ya Mc wa leo, naomba mrembo kutoka meza ile alievaa nguo nyekundu aungane nami pamoja na meza kuu kufungua mziki, ebana ile amekuja kajaliwa inye hatariiii, nilivyomshika kwa ajili ya slow music tu mdomo wangu ukaenda sikioni kwake na kumwambia ww n mrembo sana ingekuwa mimi ndio naoa leo hakika ungevunja ndoa yangu leo leo, akauliza unamaanisha nn nikamwambia ni kweli coz leo najua tutashare kitanda kimoja mimi nawe, kumbuka tupo mbele pale ya ukumbi demu alipoteza control kabisa.
Baada ya mziki ile amerudi Kukaa na watu wamechanganya rangi pale mbele wakicheza mziki, nikamfata na kumpa funguo ya gari niliokuwa nayo na kumwelekeza ilipo pamoja na namba ya gari., alishindwa kukataa confedence niliokuwa nayo utadhania ni demu wangu au n mtu wangu wa kitambo.
Kumbe sister mkubwa alishtukia mchezo akanifata akaniambia huko chuo inaonekana umeenda kuchukua degree mbili., nikamuuliza ka anamjua vizur hata jina lake, akaniambia anaitwa J anakaa kwenye zile Gorofa za NHC, nkamwambia sister inatosha mengne ntajua mwenyewe.
Nikamkuta Manzi kwenye gar kweli ananisubilia, nikamwambia endesha twende akauliza wapi, nikamwambia kwako akasema anakaa na mdogo ake na ni ngumu mimi kwenda kwake kwani hatujuani, nikaanza story nyingi sana pale ili watu waishe kabisa eneo la tukio, tutakapo Baki wawili awezi ninyima papuchiii....!
Akaanza kunihimiza nimpeleke Kwake kwani wenzake wameisha ondoka na n usiku haaminni boda boda, nikasema tupite kwanza home nione ka nilifunga nyumba kwani funguo sizioni.
Bro aliniachia nyumba yake kwani siku iyo walianza honeymoon, nilivyofika home yeye alibak kwenye gari, nikaingia ndani mm na nikaficha TV nikamuita nikamwambia tumeibiwa TV, twende polisi basiii oooh mara wezi bado wapo mazngra haya ukoondoka wataiba vitu vingne. Ikabid bibie alale kwa uoga akaomba tulale wote ila tusifanye kitu nikaridhia. Ki ukweliii usingizi haupo kila nikijigeuza huku wapiiii kumbe na yeye alikuwa katulia tu hana usingizi..! Nikaamka kuelekea sebleni akaniambia unaenda wapi sasa, kumbe hata ww hujalala nikamuuliza...!sina usingiz nachukua wine nikamjibu, nilivyorudi dompo na glass mbili...! Haikupita nusu saa sikumbuki nini kilitokea zaidi ya kuniambia umenit*** bila condom.
Asubuhi fasta sana nikampeleka Kwake na mie nikimdanganya naelekea polisi kutoa taarfa ya wizi.
Hatukuishia hapo tuliendelea kulana kama kawaida na tulipima HIV wote tukawa tupo poa., aliamishiwa Jiji flani iviii kikazi ila nakumisss J.
Huyo mwamba asije aiseee anazingua kinyama sijui kwann watu wanamuitaBila huu uzi quarantine yangu inakua inaboa kinoma.. sasa jamaa naona anataka kuja kuuharibu tena.
Hapo mbinu kuu ni moja tu, CONFEDENCE...! hata ww ukitaka kula mtu kimasihara ongeza confedence uone
Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).
Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.
Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi UMEYUMBA MAZINGIRA MKUSHI
Nzuri mzee baba mie naendelea kuwala mpka leo, vipi hukupata bia maeneo ya nrMiaka kadhaa nyuma, nilipata nafasi ya kutembelea mradi wa ujenzi wa hospitali Nachingwea chini ya ufadhili wa USAID.
Siku ya kwanza nikiwa katika msafara wa Waziri wa Afya, Mkuu wa Mkoa na Mganga mkuu wa mkoa ajili ukaguzi, jicho langu likashuka kwa nesi mmoja aliyekuwa analeta maji meza kuu.
Baada ya ukaguzi wa siku ya kwanza, jioni ile alipokuwa akitoa vitu meza kuu nikamkaribia na kumuuliza mahali napoweza kupata lodge nzuri hapo Nachingwea. Ukweli nilikuwa nimepata lodge maana nilifika siku mbili kabla ya siku hiyo, hii ilikuwa mbinu tu ya kupata kuongea na huyu binti.
Binti aliniangalia kwa jicho jeupe la duara na kuniambia nimsubiri pembeni ya jengo maana naye alikuwa anatoka muda huo.
Binti alirudi akiwa ameshabadili nguo na kuongozana naye centre ya Nachingwea tukiwa pamoja kwenye moja ya gari ya ofisi ya mkuu wa mkoa ambamo niliacha begi langu.
Alinipeleka kwenye lodge moja wapo na hata kabla sijajua la kufanya tuliongozana mpaka chumbani tukiwa na mhudumu.
Tulipoingia akaniambia chumba nimeshapata Kama nina shida nyingine nimwambie. Niliwaza Kisha nikamwambia tatizo moja tu mahali pa kupata msosi, binti akaniambia anakwenda mara moja kisha atarudi kuja kunipeleka mahali tukale.
Baada ya dakika kadhaa alirudi akiwa na mfuko ukiwa na chakula (kuku wa kuchoma na chipsi).
Tulikula huku tukiwa tunazungumza kama watu tuliofahamiana muda mrefu.
Baada ya msosi tukiwa tumekaa kitandani binti akaniuliza baada ya kula una ratiba gani? Nikamjibu nitapumzika tu humu ndani, huku nikiongeza inabidi nawe upumzike hapa hapa. Binti akajibu huku akiangalia chini sawa ila sitalala hapa.
Msosi uliisha nikaingia bafuni kuoga, kabla sijamaliza binti naye akajiunga akiwa na chupi na sidiria tu huku macho ameyafunika kwa aibu. Nilimkaribia na kuanza kufungua sidiria, mkono mmoja ukiwa unapapasa tako.
Binti akaninong'oneza kwa sauti iliyochoka, nakupenda, nifanye utakacho....hii kauli ikanipa mzuka sana.
Tukapiga kimoja bafuni, baadaye tukaendelea kitandani.
Alimka siku ya pili na kurudi kwake kujiandaa kwenda kazini.
Kila siku akawa akitoka kazini anakuja kuniletea mzigo lodge.
Nilipanga kukaa siku nne pale Nachingwea lakini nilimaliza wiki nzima.
Binti wa miaka 19 lakini alikuwa na mafunzo yote ya kumridhisha mwanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23] Au labda mzee baba umechanganya huenda alikua sio nesi ni wale wahudumu wengine tu wanaokuaga hospitalini kama maeneo ya CAFETERIA na wanahusika na Usaf.. Apo naweza kukuelewa lakin nurse kabisa kaajiliwa then umri wake 19 miaka.. Aaah apo natia shaka mifumo yetu ya elimu inajulikana
Nachingwea kuna chuo cha unesi, na sometimes wanafanya kazi pamoja so kitu kikubwa huenda amepiga huyo mhudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28] pole sana madam....ndo ukubwa huo!Siku nlipovunja bond na kumsaliti mpenz wangu sitoisahau na nilimpenda sana, kufumba kufumbua tayari mambo yashatokea, wanaume ni ma slik talker sana sio kila anaekuja utamkataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo somo lakise.nge saaana. [emoji23][emoji23][emoji23]Ok Ok, nimevutiwa na uzi acha niwape story ilikuwa juzi kati tu hapa kabla ya Corona kuingia Tanzania, kuna demu nasoma nae class course moja kwenye chuo kikubwa mjini dsm, tulikuwa kwenye mitihani ya kumaliza semister iyo siku kesho yake tulikuwa na paper moja gumu hatari la econometrics demu alikuwa anajua mimi nipo fresh kidogo class na washikaji zangu tunakaa nao ghetto demu akaomba aje maghetoni tudiscuss nae ilikuwa mida ya saa 5 usiku sio swala kwakuwa tulikuwa na dinga tukaenda mchukua hostel anazokaa (analalamika lwenye hostel yake hakuna mtu anayesoma ilo somo), basi tukafika ghetto tukadiscuss hadi saa 7 demu akasema amechoka nikampeleka kwenye chumba changu akalale mixer nikamuwekea movie demu akasema i can't sleep alone hapo hapo akilini nikajiongeza kwamba hii ngoma naruka nayo tukakaa pale tunangalia movie kidogo kidume nikaanza kazi mtoto anatako huyo anakatika sijawahi nyonywa mboo kama vile hata siku moja baada ya pale akaniambia una condom nikachukua fasta maana ninazo nikamgegenda vizuri sana yule mtoto na kesho baada ya paper tulirudi maghetoni kamla tenah, Huyu demu anabwana wake wamwanajeshi na wanapanga akimaliza chuo wafunge ndoa na itakuwa chakula yangu kila siku bwana ake akiwa depo mamaeee... mtoto mtamu ( Ila niliambiwaga ananikubali kisenge huyu demu )
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wana roho za Mark Elliot ZuckerbergSup tatu afu huna habari..😡😡 dadeki,una moyo wa chuma mzee
Haya wajeda wenye wapenzi wanasoma vyuo vikubwa Dsm na wanatarajia wakimaliza wafunge ndoa kaeni chonjo.Ok Ok, nimevutiwa na uzi acha niwape story ilikuwa juzi kati tu hapa kabla ya Corona kuingia Tanzania, kuna demu nasoma nae class course moja kwenye chuo kikubwa mjini dsm, tulikuwa kwenye mitihani ya kumaliza semister iyo siku kesho yake tulikuwa na paper moja gumu hatari la econometrics demu alikuwa anajua mimi nipo fresh kidogo class na washikaji zangu tunakaa nao ghetto demu akaomba aje maghetoni tudiscuss nae ilikuwa mida ya saa 5 usiku sio swala kwakuwa tulikuwa na dinga tukaenda mchukua hostel anazokaa (analalamika lwenye hostel yake hakuna mtu anayesoma ilo somo), basi tukafika ghetto tukadiscuss hadi saa 7 demu akasema amechoka nikampeleka kwenye chumba changu akalale mixer nikamuwekea movie demu akasema i can't sleep alone hapo hapo akilini nikajiongeza kwamba hii ngoma naruka nayo tukakaa pale tunangalia movie kidogo kidume nikaanza kazi mtoto anatako huyo anakatika sijawahi nyonywa mboo kama vile hata siku moja baada ya pale akaniambia una condom nikachukua fasta maana ninazo nikamgegenda vizuri sana yule mtoto na kesho baada ya paper tulirudi maghetoni kamla tenah, Huyu demu anabwana wake wamwanajeshi na wanapanga akimaliza chuo wafunge ndoa na itakuwa chakula yangu kila siku bwana ake akiwa depo mamaeee... mtoto mtamu ( Ila niliambiwaga ananikubali kisenge huyu demu )
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]C
Chai hii tena ya baridi sana
unachokosea ni kufanya generalization, halafu unajilinganisha na mapito yakoNaona watu wa JF kila anayepanga nyumba basi anapanga chumba na sebure tena self contained room, utasikia "tulihamia chumbani then tukaenda kuoga"
Hapo kazi yenyewe siyo ya professional yake, na tayari ana sofa na TV ndani na kitanda kabisaaa chenye godoro,
Kwa wale wenzangu na mimi tunaoishi maisha ya kupanga nadhani mnanielewa,
Najaribu kufikiria hizi gharama ulizimudu vipi ???
Sent using Jamii Forums mobile app