Mmh kwahiyo hamkujibu chochote kujitetea ili angalau mpunguze aibu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team vibamia mmekasirika sana..eleweni sina chuki na ninyi.
Wanawake wenye mashimo makubwa huwa mnjilinda kwa kusingizia wanaume wana vibamia.

Na wenye vibamia huwa wanasingizia kuwa wanawake wana mapango makubwa kama yale ya Amboni-Tanga.

Ushauri: utani wa vibamia na mapango a.k.a mabwawa uishe, hayo ni maumbile tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Inafuata ule mfumo wa mwenye nacho huongezea ujue haya mambo ya mahusiano ninkama gemu fulan na mshindi ndio anaoa au anaolewa, we unadhan hata ukiwa na mahusiano umemtongoza mwanamke kakuelewa atakuacha kwasababu unamahusiano ? hapana atapambana kivyake nae aplay part yake ili ashinde, after all huwa wanajua tayari una mtu so anataka ajaribu zali lake, ndio mana nasemaga ni kama mchezo wa kubahatisha tu..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli kabisa mkuu...lets assume wife ake yuko happy na anaenjoy...
Kuwashwa ilikua ni allergic reaction to yale mafuta ya kinga.
Suala la kutaka kua karibu nae ni kwavile kitendo kilishatendeka so nikaona labda kunaweza kua na uhusiano nikaja gundua hilo halikua kwenye mipango yake.
 
Na huenda jamaa alimpotezea kwa vile labda k ilikua inanuka, au kubwa.
 
Ahsante sana mkuu...yaani umeongea kama unafaham situation halisi..umbumbumbu wa mahusiano ulitaka kunipeleka pabaya...halaf wengi wameguswa na tiny dick..hahaha...nimesoma makala mbalimbali zinazoelezea maumbile ya sexual ograns kumbe suala la mtu kuridhishwa has got nothing to do with size ya mtu..ndio maana hata kwenye post yangu sijasema kua my husband ana size ipi..ndio maana hata lesbians wanaridhishana mnooo na wanafikia orgasm bila kua na penis..hata mtu mwenye maumbile madogo ana uwezo mzuri tu wa kumfikisha mwanamke wake..ni utundu tuu na uwepo wa chemistry baina yao.
 
Hahahahha...ungewekeza kweli Elimu, ungeweza kuwa na Phd sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila inaonekana nawe ungekivumilia hicho kibamia endapo angekuwa yupo tayari ku-establish stable relationship na asingekuwa na hayo makando kando mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake huwaga hawana maana, unazaa nae toto chata lako kabisa, ila ukimtosa, kwa hasira atadai huyo mtoto pia sio wako, una kibamia na ilikua siku zote humfikishi.
 
Sasa kwanini unasema unamwonea huruma mkewe kwa vile jamaa ana tiny dick!
 
Uko right.

Ila nna wasiwasi hata huyo mr right wako ukimfumania, utamtoa kasoro zakutosha ili kutuliza hasira.
 
Haahahha poleni jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umejibu vizuri mkuu
 
Unadhani huu ugonjwa kuupata ni rahisi kama tunavyohisi
Ooh dunia ingekuwa yote imeelemewa na ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha nimecheka sana mkuu hata mm deki sipigia hata kwa hela yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bao la kwanza dakika 40,, serious labda ujifanyishe lkn ukienda speed kupinga pumbu hutoboi his dakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…