miminimama
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 703
- 1,840
Safi sana kwa mzee wako ana busara sana.
Tafadhali njoo utunalizie hii habari.
@my 2nd ID
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali njoo utunalizie hii habari.
@my 2nd ID
JINSI NILIVYOOA KIMASIHARA.
Inaendelea...
Kufika shule ikabidi nimfanyie mpango wa mahali pa kuishi wakati anasubiria nipate pesa. Nimfuata dada mmoja ni kiranja mkuu na mtu wa dini sana. Nikamueleza masahibu ya yule binti huruma ikamuingia akaomba akaongee na matron kwanza ambaye alikuwa ni mgeni ndio kwanza kaajiriwa. Mwisho wa siku yule binti alikubaliwa akae pale shuleni lakini kwa kificho.
Changamoto zajitokeza.
Changamoto ya kwanza ilikuwa kutokana na hali ya hewa, wanafunzi walikuwa wamerudi wachache sana hivyo uwezo wangu wa kupiga picha nyingi na kujaza mkanda ndani ya muda mfupi ulikuwa mdogo hivyo pesa ingechelewa kupatikana. Changamoto ya pili matron alikuwa mgeni hivyo hajazoea mazingira, kitendo cha kuendelea kumuhifadhi yule binti kingeweza kuhatarisha ajira yake hivyo alimtaka yule binti atafute pengine pa kwenda.
Yule binti walishauriana na yule kiranja wakakubaliana wafunge safari hadi wilayani (umbali wa km 7) ili waende posta wakapige simu za reverse call. Kwa kuwa mhindi aliyekuwa kamuajiri mjomba wake alikuwa maarufu sana hawakupata shida kupata namba zake lakini majibu waliyopata kutoka kwa operator ni kuwa mhindi kakataa reverse call kwa kuwa mjomba wake alishaacha kazi hapo na hawajui alipo.
Kipindi hicho mimi nilikuwa naishi ghetto kwa siri kwa kuwa wazazi walijua ninasoma boarding so nikipewa ada nilikuwa naigawa nyingine nalipa pango na nyingine ndio ada. Nilitaka nipate uhuru wa kufanya biashara zangu za kupiga picha. Sasa kiranja akatoa wazo nimwachie yule binti ghetto wakati hela yake ya nauli inatafutwa ya kumrudisha kwao. Nilikubaliana na lile wazo kwa kuwa nilijua nina marafiki wengi wanafunzi wa kutwa, hivyo nisingekosa pakulala.
Niliamua nipike chakula cha jioni ili tule kabisa na mgeni wangu ili ninapoenda kulala kwa watu nisiwape hasara ya chakula. Nilienda kutafuta kuni na kuanza kuandaa msosi huku nikimuacha ndani mgeni wangu kalala. Kumbuka alikuwa anaumwa tangia tulipoonana huko kwenye lori na hakuwa amepata matibabu yoyote. Baada ya chakula kuwa tayari nilimuamsha na tukaanza kula. Wakati tukiendelea kula ilianza kunyesha mvua kubwa sana. Baada ya chakula tukawa tunapiga stori za hapa na pale huku yeye akiwa amekaa kitandani na mimi kwenye kigoda.
Kimasihara inapoanzia....
(Hiki kipande ni kirefu so nashindwa kukifupisha mtanisamehe msiopenda post ndefu)
Nilikaa kwenye kigoda kwa muda mrefu huku mvua ikipungua kidogo na kuongezeka. Akaanza kunionea huruma huku akiniambia nihamie kitandani lakini mimi nilikuwa nakataa kwa kudanganya niko poa tu, lakini ukweli nimeshachoka sana kukaa pale ila uoga wa kwenda kukaa naye kitandani ndo ulikuwa unanisumbua.
Ulipita ukimya wa kipindi kirefu huku kelele za mvua tu ndio zikiwa zimetawala. Nikaona bibie akiinuka na kujilaza kitandani kimya kimya. Nikampa muda kidogo asinzie na mimi nikainuka na kwenda kujilaza pembezoni kabisa mwa kitanda huku mapigo ya moyo yakitaka kuchana kifua. Ikapita muda kama wa saa moja huku nikiwa sioni dalili za usingizi japo mapigo ya moyo yalishaanza kupoa. Taratibu nikaona bibie ananisogelea na kunikumbatia kwa nyuma. Alikuwa wa moto sana nadhani kutokana na homa aliyokuwa nayo. Nilishtuka sana mapigo ya moyo yalienda kasi na pumzi zikawa zinapotea! Nikajikuta nimeropoka kwa sauti juu iliyojaa wasiwasi “mi sijawahi kufanya”. Alicheka sana akasema usijali nitakufundisha.
Alinisogeza katikati ya kitanda akaanza kutoa nguo zangu na zake na kuanza kunilamba na kuninyonya kila sehemu kuanzia kwenye chuchu, shingoni, masikoni, mdomoni ila akifika kwenye dushe anaishia kichezea kichwa kwa ncha ya ulimi. Nilisikia raha isiyo kifani kidogo niwehuke. Baadaye nikaona nashindwa kuvumilia wazungu wanataka kutoka hasa tabia yake ya kuchezea kichwa cha dushe kwa ncha ya ulimi na mimi nikajiongeza nikampindua nikaanza kumnyonya kifuani huku nikichezea papa lake juu juu kama napiga gitaa vile. Nikaona anaanza kujisokota huku akitoa vilio vya mahaba. Kidogo akakamata dushe akawa anaivuitia kwake nikaelewa ni nini anataka. Nikapanda juu ile nahangaika nyoka azame pangoni mara nikasikia kama uti wa mgongo umekakamaa nikanyoosha miguu kama kuku anakata roho kumbe wazungu ndio walikuwa wapo njiani. Kumbuka that was my 1st experience. Baada ya hapo ukaja usingizi mzito kuja kukurupuka nasikia wanafunzi wanakimbia mchakamchaka wanapita mbele ya ghetto langu. (Ghetto langu lilikuwa karibu kabisa na uzio wa shule). Nikakurupuka na kuanza kujiandaa kuingia class.
Jioni ya siku hiyo nikiwa najiandaa kutoka shule alinifuata yule dada kiranja akaniambia kuna mtoto wa kishua ameletwa na usafiri binafsi so wanarudi maeneo yao yule mgeni wangu kwa hiyo matron kamuombea lift so nikamshtue fasta ili aje aondoke nao. Basi nikaondoka kwa kujivutavuta kuelekeo ghetto ili nikamshtue bibie lakini moyoni nilikuwa sipo tayari kabisa. Nilitamani walau nifaidi tunda lake kabla hajaondoka. Nilipomueleza bibie alipinga habari hizo, akasema kule hawezi kurudi tena kwani ni kama jehanamu. Aliniomba akae pale kwa siku chache huku akiendelea kutafuta kazi. Wazo lake nililikubali kwa furaha kubwa. Pale pale nilikumbatia kwa nguvu nakuanza kumtomasa safari hii nilikuwa na ujasiri sana. Hii story ni ndefu sana To make it short, siku hiyo hata hatukupika tena. Ilikuwa ni show mtindo mmoja. Baadaye kuna mwalimu mmoja mnoko tumetoka naye sehemu mmoja akamuandikia barua mzee wangu kwamba naishi na mwanamke. Mzee ikabidi aje shule amchukue yule binti ili amrudishe kwao, lakini wakati anamchukua kumbe tayari alikuwa mja mzito wakiwa njiani ndo akamueleza mzee. Ikabidi waende kwao mzee ajitambulishe then akaondoka na binti hadi kwetu. Wakati huo mi sijui chochote kinachoendelea, nimekuja kujua tayari mtoto kazaliwa na ana miezi kadhaa. Hivyo ndivyo nilivyooa kimasihara katika umri mdogo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app