Make musolini jr
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 305
- 234
HahahaBado anayeongoza ni yule jamaa aliyekula chizi na ule mgegedo ukampoteza kabisa pale mtaani
HahahaBado anayeongoza ni yule jamaa aliyekula chizi na ule mgegedo ukampoteza kabisa pale mtaani
Uzi umepungua kasi
Mkuu wasalimie hapo kwa John Kella[emoji23]SAFARI YA MWANZA-MBEYA ILIVYONIPA MGEGEDO KIMASIHARA.
Ilikua 2016 mwezi june kipindi hicho mama mtoto kazingua. Safari imeanza nyegezi nikiwa nyuma ya dereva nimetulia na muungwana mmoja. Safari ilivyozidi kuchanganya ndivyo hadithi kati yetu zivyoendelea kukata. Ile shuka-panda na chimba dawa za njiani nikawa nazicheki pisi kadhaa but nikawa sina mzuka wa hizo mambo as usiku kabla ya safari nilipata company. Shida ya safari ilianza nilipoingia Iringa town, maana nilikua nimevaa t-shirt na hali ya hewa mwezi huo wenyeji wanaielewa. Kipindi hicho gari zinalala makambako na baridi ni kali balaa. Ikabidi nichukue (kaschana) konyagi ndogo. Mpk nafika makambako nikawa nimekamaliza lkn bado bado baridi ilikua inanikomoa balaa, nikanywa chai ya maziwa alfajiri ile lakini wapi. Nikachukua uamuzi wa kutafuta bar iliyo wazi muda huo( saa7 usiku) nikaja kuipata mitaa ya mizani ambapo ni mbali na stand na nimepigwa baridi kwenye boda balaa.
Niliporudi nikakaa nje ya mgahawa raia wengine wakiota moto huku mie nashusha Antony Lusekelo(Bapa) mdogo mdogo. Kati ya waotaji moto alikuwepo binti mmoja (sio pisi kali lakini si haba alikua kajaliwa mahitaji yangu). Binti akatokea kuzielewa itikadi zangu nakula kitu kigumu naondoa baridi afu nipo kimya. Mungu kutujaalia wanadamu macho yetu kutokua na pazia alikua na malengo yake. Mara kadhaa tukawa twakutanisha macho huku yeye akionekana na fadhaa kizushi n design anatabasamu. Nikapata time ya kumzingua atupie vitu vikali akadai havipendi n hapendi wanaume wapiga tungi na bla bla kibao, but tulipiga story kibao na vile wazungu walikua wamenikolea binti akaishia kucheka tu na mwishowe tukabadili namba za simu.
Saa10 alfajiri safari ikaendelea tukaingia mbeya saa4 asubuhi, mie nilikua naunga mpaka s'wanga home mitaa ya kizwite na yeye alikua aelekea Tunduma. Baada ya siku mbili mida ya jioni akanipigia simu akanambia yupo stand kuu s'wanga (kitu ambacho sikutarajia kabisa). Basi nikamchukua na kutafuta pango la wageni maana alidai amekuja kutalii. Kumpeleka home ikawa jau kuwashawishi washua kuwa ni rafiki yangu. Niliporudi usiku kupiga nae stories binti akanizuia kuondoka akitaka nilale nae mzungu wa nne ati aogopa wachawi. Kilichoendelea kwa wiki nzima akiwa ana talii pale swanga kinaeleweka, hadi mtalii akaishiwa mkwanja wake ikabidi nisimamie show mpk nauli ya kurudi mwanza.
NB: CHUPI ILE YA KISUKUMA NILIIELEWA KIAINA INGAWA HAIKUWA KWA MATUMIZI YA KINYUMBA. Mawasiliano yalikuja katika ilipopata ajira Kigoma huko. Na mimi kufuata mgegedo mkoa wa vumbi jekundu jeuri hiyo sina(samahani WAHA kigoma ni moja eneo la Tz nisilolipenda kufa). Kwa sababu ya VUMBI JEKUNDU LA KIGOMA nikajikuta nimempoteza Grace.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu FW inategemea aisee,kuna papuchi nyingine unaweza tosa interview,nakuambia.
Tulikuja kuznguana na yule mama kwa ajili ya wivu wa kisengerema. Kila mara anapiga video call aone nko wap na nko na nan..mara nataka nije Dar nkaona huyu miznguo nikampa tofali fresh maisha yakaendelea kwa raha mustarehe.
vipi ulitumia condom?SAFARI YA MWANZA-MBEYA ILIVYONIPA MGEGEDO KIMASIHARA.
Ilikua 2016 mwezi june kipindi hicho mama mtoto kazingua. Safari imeanza nyegezi nikiwa nyuma ya dereva nimetulia na muungwana mmoja. Safari ilivyozidi kuchanganya ndivyo hadithi kati yetu zivyoendelea kukata. Ile shuka-panda na chimba dawa za njiani nikawa nazicheki pisi kadhaa but nikawa sina mzuka wa hizo mambo as usiku kabla ya safari nilipata company. Shida ya safari ilianza nilipoingia Iringa town, maana nilikua nimevaa t-shirt na hali ya hewa mwezi huo wenyeji wanaielewa. Kipindi hicho gari zinalala makambako na baridi ni kali balaa. Ikabidi nichukue (kaschana) konyagi ndogo. Mpk nafika makambako nikawa nimekamaliza lkn bado bado baridi ilikua inanikomoa balaa, nikanywa chai ya maziwa alfajiri ile lakini wapi. Nikachukua uamuzi wa kutafuta bar iliyo wazi muda huo( saa7 usiku) nikaja kuipata mitaa ya mizani ambapo ni mbali na stand na nimepigwa baridi kwenye boda balaa.
Niliporudi nikakaa nje ya mgahawa raia wengine wakiota moto huku mie nashusha Antony Lusekelo(Bapa) mdogo mdogo. Kati ya waotaji moto alikuwepo binti mmoja (sio pisi kali lakini si haba alikua kajaliwa mahitaji yangu). Binti akatokea kuzielewa itikadi zangu nakula kitu kigumu naondoa baridi afu nipo kimya. Mungu kutujaalia wanadamu macho yetu kutokua na pazia alikua na malengo yake. Mara kadhaa tukawa twakutanisha macho huku yeye akionekana na fadhaa kizushi n design anatabasamu. Nikapata time ya kumzingua atupie vitu vikali akadai havipendi n hapendi wanaume wapiga tungi na bla bla kibao, but tulipiga story kibao na vile wazungu walikua wamenikolea binti akaishia kucheka tu na mwishowe tukabadili namba za simu.
Saa10 alfajiri safari ikaendelea tukaingia mbeya saa4 asubuhi, mie nilikua naunga mpaka s'wanga home mitaa ya kizwite na yeye alikua aelekea Tunduma. Baada ya siku mbili mida ya jioni akanipigia simu akanambia yupo stand kuu s'wanga (kitu ambacho sikutarajia kabisa). Basi nikamchukua na kutafuta pango la wageni maana alidai amekuja kutalii. Kumpeleka home ikawa jau kuwashawishi washua kuwa ni rafiki yangu. Niliporudi usiku kupiga nae stories binti akanizuia kuondoka akitaka nilale nae mzungu wa nne ati aogopa wachawi. Kilichoendelea kwa wiki nzima akiwa ana talii pale swanga kinaeleweka, hadi mtalii akaishiwa mkwanja wake ikabidi nisimamie show mpk nauli ya kurudi mwanza.
NB: CHUPI ILE YA KISUKUMA NILIIELEWA KIAINA INGAWA HAIKUWA KWA MATUMIZI YA KINYUMBA. Mawasiliano yalikuja katika ilipopata ajira Kigoma huko. Na mimi kufuata mgegedo mkoa wa vumbi jekundu jeuri hiyo sina(samahani WAHA kigoma ni moja eneo la Tz nisilolipenda kufa). Kwa sababu ya VUMBI JEKUNDU LA KIGOMA nikajikuta nimempoteza Grace.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ipi ni rahisi kwa yeye kuitumia?Hii ni hatari sana mkuu. Kama moyo wako siyo imara au una kasoro ambayo huijui basi kwa hakika kesho yake waweza kujikuta front page kwenye magazeti ya Shigongo.
Jaribu kutumia njia za kiasili acha haya makemikali utakuja kujiua bure....
Aiseee!!! nimejisikia vibaya kweli.Mimi Kuna mdada nilikuwa nampigia pande mshkaji na mshkaj akawa anadelay wakat naona Kama mdada anataka mwanaume. Mwishoe nikaamua kupiga mwenyewe. Ndio akawa mke wangu mpaka Sasa hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulituangusha mabaharia kimoko tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ilikuwa 2017 kuna mshkaji wangu mmoja alinialika kwao kwaajili ya sikukuu kwani familia yao yote ilikua imeenda mkoa hivyo akabaki yeye na ndugu yake wa kike na mlinzi jina tu, sasa nilivyofika kwao nikakaribishwa freshi nikagonga menu nini kama kawa tu, sasa usiku nipo na msela tunacheki tv nikaona yule ndugu yake wa kike anakatika katika kwenye kiti huku ameeka earphones masikioni then ananicheki kiuwizi nikasema mmh huyu mtoto ananitakia balaa mie, basi bnh tukalala siku zikaenda maana nilikua hapo kwa siku nne nikawa tu naongea nae kawaida huyo manzi, basi siku moja akaniomba chaji ya simu nikampa, ikafika usiku hivi nahitaji chaji ila yy akasema bado anatumia nimvumilie ataniletea baadae kidogo, nikasema poa, ikafika mishale ya saa sita ikaingia text maana nilikua na number yake, akaniambia njoo sitting room ifate chaji, nikajibu poa, nivoenda sittin room nkakuta mtoto kanipigia khanga nusu yani ipo mapajani, nikamwambia chaji ikwapi akasema njoo chumbani ifate, ah nikajua tu huyu anataka ndonga, nikazama rum kwake nikajiongeza nikampiga romance nini af nilikua na ndomu yangu moja nikampiga kimoko tu mtoto bado yuko hot anataka tena na mimi sina ndomu nyingine na siwezagi kumla manz bila ndomu, hivyo ndivyo nilivyokula tunda kimasihara, juzi nilimwona instagram mtoto kawa pini balaa acheni tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua mwaka 2015 nipo na jamaa yangu Rafiki yangu mkubwa sana alinipigia simu kuwa kuna demu alikua anataka kwenda kuonana nae lakini hamjui kiufupi hawajawahi kukutana walikutana kwenye mtandao hivyo alikua anaomba kampani yangu,nikasema poa twenzetu.
Nikajiandaa fasta akaja home hao tukatoka mpaka Rangi 3 hapo ndipo tulipopanga tukutane nae.Mara yule manzi akampigia simu mshikaji akaelekezwa tulipo lile eneo kuna Bar korofi iko inapakana na sheli ya pUma enzi hizo inaitwa Kobil.Basi bwana yule manzi kuja kumbe kaja na mwenzie bila kulaza damu wale mademu wakasema maeneo yale kuna ndugu zao afu ukicheki hawajawahi kukaa Bar wanaona aibu.Fasta nikamtext jamaa nikamwambia hapa tuchukue chumba kuna gesti hapo nyuma bei chee akasema poa.
Tukawainua mademu bila hata kuwaambia mpaka kwenye ile gesti tukachukua room mbili mimi nikaingia na yule best wa shemeji yangu,kufika tu ndani demu anaanza kusema mnatabia mbaya kutuleta gesti bila kuwaambia nikamwambia watusamehe hakuna namna,mara akasema humu tumeingia naomba tuheshimiane maan hatuna uhusiano nikamjibu hakuna neno.Basi yule manzi alikua mkali sana ila mwembamba balaa stimu yote ilinikata nikampotezea basi tulikaa kila mtu na ishu zake mpaka muda ukaisha tukasepa.
Njiani wakati tunawsindikiza mi nikajua jamaa ameshamkaza yule manzi yake kumbe hola na jamaa anajua mimi nilimkaza huyu mwingine kumbe hakuna kitu.Niliporudi home jamaa akanicheki kuwa demu wake ameomba namba zangu je,nimpe nikamwambi mpe.Baada ya kama lisaa ikaingia namba ngeni nikajua atakua demu wa mshikaji kumbe sio alikua yule best yake akanisalimia akaniambia namba yake niisave basi tuakapiga stori kidogo tukaachana.
Baada ya siku mbili tukawa tunachati ile kawaida ila mimi sikua na mpango nae maana mwembamba mno siku 6 tangu tulipoonana akanicheki kupiga stori akaniuliza niko wapi nikamjibu gheto hiyo ilikua J'mos mida ya saa 4 asubuhi akaniuliza ninachofanya nikamwambia nacheki muvi akasema basi nakuj nikamwambia njoo.kiutani baada kama nusu saa ananiambia yuko kwenye gari doh nikaona utani(demu alikua anakaa kwa aziz ally).Kweli bhana demu akawa kafika mtaani kwa maelekezo mpaka home ikabidi fasta nifike gengeni nikanunua zaga nikapika pale baada ya stori hapa na pale ukimya ukatawala tukawa tunaangaliana kisha kila mtu anacheka bila sababu nilikua nimekaa kitandani yeye kakaa kwenye sofa nikamfuata nikamshika mikono.Nikawa naichezea nikaanza kumuona anachange kufupisha stori nikamla bila shida alikaa mpaka saa 2 ndo akasepa kwao,kesho yake akarudi tena niagonga sana ila mapenzi yalidumu kwa mwezi mmoja tu maaana alikua na vizinga heavy.
Nitaendelea jinsi nilivyomla yule shemeji yangu(best yake kimasihara) lakini mchizi alibariki hilo zoezi
Sent using Jamii Forums mobile app