Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wenzio huwa tukimuita guest number 1 tunatoka nae mlango wa nyuma na unaandaa boda boda kabisa wa kuwahamisha guest ili mtego uliwe kirahisi bila kukamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sojaboy mmoja mtu mzima aliwahi niambia wkt wa ujana wake, akiita mdada, watakutana point A, chakula wanaenda point B, show inaenda kupigwa point C. Full kupoteza watu maboya.
 
Samboko,

Anapenda dudu la yuyu huyo au ulikuwa unamkuna fresh ndio maana alikuwa hachok
Nilimfanya akapenda sana dudu, alikua akisema kabla hata akae mda gani hawashwi ovyo kama kipindi nikiwa nae, yaani alikua anatamani kila siku aliwe sema mimi mazingira yalikua yanabana pia wife nae ni adicted wa dudu nkaamua kuingia mitini[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa 2017 kuna mshkaji wangu mmoja alinialika kwao kwaajili ya sikukuu kwani familia yao yote ilikua imeenda mkoa hivyo akabaki yeye na ndugu yake wa kike na mlinzi jina tu, sasa nilivyofika kwao nikakaribishwa freshi nikagonga menu nini kama kawa tu, sasa usiku nipo na msela tunacheki tv nikaona yule ndugu yake wa kike anakatika katika kwenye kiti huku ameeka earphones masikioni then ananicheki kiuwizi nikasema mmh huyu mtoto ananitakia balaa mie, basi bnh tukalala siku zikaenda maana nilikua hapo kwa siku nne nikawa tu naongea nae kawaida huyo manzi, basi siku moja akaniomba chaji ya simu nikampa, ikafika usiku hivi nahitaji chaji ila yy akasema bado anatumia nimvumilie ataniletea baadae kidogo, nikasema poa, ikafika mishale ya saa sita ikaingia text maana nilikua na number yake, akaniambia njoo sitting room ifate chaji, nikajibu poa, nivoenda sittin room nkakuta mtoto kanipigia khanga nusu yani ipo mapajani, nikamwambia chaji ikwapi akasema njoo chumbani ifate, ah nikajua tu huyu anataka ndonga, nikazama rum kwake nikajiongeza nikampiga romance nini af nilikua na ndomu yangu moja nikampiga kimoko tu mtoto bado yuko hot anataka tena na mimi sina ndomu nyingine na siwezagi kumla manz bila ndomu, hivyo ndivyo nilivyokula tunda kimasihara, juzi nilimwona instagram mtoto kawa pini balaa acheni tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inatumikaje mkuu...unameza ngapi na kwa muda gani na kabla au baada ya mechi?
Hii ni hatari sana mkuu. Kama moyo wako siyo imara au una kasoro ambayo huijui basi kwa hakika kesho yake waweza kujikuta front page kwenye magazeti ya Shigongo.

Jaribu kutumia njia za kiasili acha haya makemikali utakuja kujiua bure....
 
Hii ni hatari sana mkuu. Kama moyo wako siyo imara au una kasoro ambayo huijui basi kwa hakika kesho yake waweza kujikuta front page kwenye magazeti ya Shigongo.

Jaribu kutumia njia za kiasili acha haya makemikali utakuja kujiua bure....
Kuna baharia alishauri unywe pepsi na panadol hahaha unawez nijikuta unapata magonjwa ya moyo kisa uichakate vzur papuchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom