Jana sasa ile mida ya usiku natoka zangu naelekea kuchek mpira mechi ya Chelsea na Arsenal nikapita sehm kuulizia chakula maana nlikua njaa kinoma ,kufika mgahawa washafunga lkn pemben kuna kiduka nikafika nikaketi pale kama kawa lazim usalimie ,nkampa hai muuzaj ni mdada stori mbili tatu mara unakaa wap nkamuelekeza nayy kasem anakaa sinza hahaha sasa hapo kwa saa5 ile nkaona hapa fulsa nkamjaribu na hiki kimvua mama sinz unaendajeee , hapa ndipo kona kali ya kuelekea bustan kwenye tunda ilipigwa hahahha akajibu nnaenda tuu nkamwambia kua silias bhn twende ukalale kwangu utaamka asbh unafungua duka kama kawaida yao kuguna lazima,nkaona isiwe kesi nkamwambia namba hiz hapa naangalia mpira bax ukifunga nistue hata nikusindikize maan ni mitaa ya bahar beach huku mda huo daladala hakuna,mara paaap dakika kama ya 38 simu inaita uko wapi nmeshafunga hahahahha nlikuja chap yan nlipokua nmekaaa nahis walidhan tumevamiwaa hahahaha, baharia mara kwa mtoto huyuu mguu wake mguu wangu mpaka karibu na geto nakaa barabaran kbisa hii njia ya bahar bich kwenda ununio hahahaha nkamjaribu tuingie nkachukue koti nasikia baridi ,si akaingia ndan nkamjaribu kaoge twende bax hahahha akaingia kuoga wakuu ile anarud kwa aibu kazima taa et avae nnachokumbuka ni kalala kwangu hahahhaa tunda limeliwa mpaka asbhn jaman maish haya vijana tinahitaj rehema hahahahah
alaf saa hiz yupo ananichatisha nianze kumtongoza akat mwamba niko JF nabandika uzi hahahah