[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Kwa mamlaka niliyopewa na rikiboy nakuvisha shahada ya juu ya "Ubaharia Uliotukuka"
 
Jamani Moderator ,Mod One Mod Four Mod Three Mod Five huu uzi ufungiwe tu hauna maana kabisa tena unahamasisha ngono zenye kwa vijana
Ni kweli kwa kuwa ngono zembe ilianza Tanzania baada ya huu Uzi kuanza?.
Ni kweli watu wataacha ngono zembe baada ya huu Uzi kufungiwa. ?
Yaani umejifungia mahali umesoma Uzi wote Kisha unataka uzi ufungiwe😅
Kwa nini usianzishe Uzi wako na wenye maana ambao hautashawishi watu kufanya ngono.....? 🤣🤣🤣
 
Kwa taarifa yako huyo dada yako naye kaamua kukunywea pombe ili kuuvunja ukaka wenu na udada wenu, kwahiyo wewe wala usitumie nguvu nyingi kuuondoa huo ukaka wakati tayari umeshajiseti wenyewe huo mtego.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black tea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mpango wa kwenda USA.

Kwa Mandela ni sawa na bongo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Durban kuzuri mkuu

Halafu mkuu mimi ni computer wizard software hata iwe ngumu vp najifunzaga sio zaidi ya siku tank nimeiva tena mwenyewe tu niwe na user guide tu basi.

Data analysis...mimi ni mchawi wa hzo mambo nilishawai kumkuta mzungu hotel Fulani anahangaika na data za minerals exploration..bahati Nzuri software aliyokuwa anatumia naijua mbaya. Nilishika mouse baada ya saa moja nilichokifanya yule mzungu hakuamini macho yake..akanipa dollar 500 tukabadilisha contacts nikasepa.

Muda wote aliofanya Kazi hapa nchini alikuwa ananitumia data nazichakata namrudishia.

We niunganishe na mama tu mkuu...Mimi wala tunda lako sitaki..Mimi ni hela tu baaasi.
 
TATEPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina ujinga huo mkuu....Tokatoka alikuwa muhusika tu wa kujenga picha,mwenye mtoto(mkwe wangu) ni mwingine.Habari yote ni sahihi ila wahusika niliweka kwa tahadhari sana.Nimecheka tu kusikia wameenda na kudunda mwamba

Duuu noma sana. ni watu wa system ndio walienda au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…