Dah mungu anakuona kiongozi [emoji23] mie naogopa hata kusimulia ,huwenda malaika wa adhabu akanishukia
 
Na je ulikuwa na details nyingine, juu ya mahali anapoishi huko London, kazi yake, ndugu zake au rafiki zake na vitu kama hivyo ambavyo vinaweza kukusaidia kujua pa kuanzia kumtafuta ?
Mkuu Emery paper
Kumbukumbu zangu alishaniambia wapo 3 kwao, wakwanza kaka ake yupo paris Ufaransa ni engineer alitaja kiwanda ckumbuki ila wa pili ni dadake ambaye alikua ni daktari Queens hospital kama sikosei ila mji ndo nimesahau yeye ni wa mwisho na alikua pia daktari,pale london na alikua anaishi na mama ake kwani Mzee wake alisha fariki,
Kipindi hicho ujana ilikua shida sikutilia umanaan sana wala kuuliza maswali kwani nilikua na mtu ambaye nilimpenda sana na isitoshe huyo dada nilimla kimasihara,sema swala la mtoto ndo linaniumiza kichwa kila napomkumbuka

Changamoto pia umbali na nchi yenyewe namna ya kufika huko au kama kuna mwana jamii forum anae ishi huko tuwasiliane dada ake anafanya kazi Queen hospital na anaitwa charlotte hudson
 


Pole sana mkuu...hapo kwa kweli kama alikata mawasiliano tu ghafla hata mimi nashindwa kuelewa mkuu Wangu. Sijui hata nisemeje tu ila pole mkuu.

Hakuwa hata na account Facebook...Instagram???
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dunia ina mambo hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona ukaamua kujilipua ha ha ha ha ha ha kuna watu wanajua ku take risk aisee
 
600?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


We Jamaa ni mnyama.....mia sitaa????????
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]lete picha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Heri angekupa nafasi ya kuwasiliana nae,umepoteza namba au ttzo nini hauwasilian nae
 
Mkuu barafu umekula kimasihara vitu vya nje sana. Nasubiri kusikia kuhusu kumla mhindi kimasihara pia.
Weka kimasihara ulizokula za wa bongo ili tulinganishe kimasihara za zamani na za siku hizi kama kunautofauti tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…