Masihara sio haya, tunataka masihara kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiona mjanja kwa majibu hayo..kumbe Boya
 
Bwahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mzee saiv ni kama hakuna beki wala kipa golini la kipa yupo bhasi ni kindoki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story kama hizi bwana.... Kama vile nasoma chombezo la Irene mwamfupe ndauka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa uboya wangu uko wapi mkuu embu nieleweshe labda naweza kukupa sababu za mimi kufanya hivyo, ila ki uhalisia mimi si boya kama unavyodhani
Ok wewe sio boya. Kibinaadamu wewe unaona ni sahihi kumjibu mtu hivyo.? Una kipi kinachokutia kiburi hadi unajibu mwenzio hivyo? Unapungukiwa nini ukiwa humble?
Au umeamua kudanganya ila haupo hivo?
Na unadanganya hvo kwa faida ipi?
Sipendi watu wanaojiona au kujibu wanavyoona wao inafaa.
 
kuna vitu kadhaa wa kadha vilivyonifanya nijibu hivyo mkuu. je ungependa nikupe sababu? ki uhalisia mimi nipo humble sana lakini pia nabadilika dakika sifuri tuu nnapoona dalili za hatari Mkuu.. hii leo baada ya kusepa niliongea nae kama sikosei saa 8 nilimpigia na nikamueleza kwann nilimjibu vile, amenielewa.
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…