[emoji38][emoji38][emoji38]Eti katombe usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shem wako Mzee,endeleza bwana maana kuna mwana wenu pale
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa n nyok.o yan nimecheka mbavu zinauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unasoma za wenzio tu hizo za kwako mbona husemi hata moja😬😬😬
 
Nimesoma posts nyingi ktk huu uzi
Naomba kuwauliza waungwana
Kuna wengi naona wanamuelezea mtu kuwa alikuwa
DEMU WA KAWAIDA SANA
sasa hapa
Nawaza Je ni ktk kipimo kipi hasa ulitambua kiwango cha uzuri wake
au ni wa kawaida kwa macho yako tu?
Yan we umekaa miezi miwili unakula nyama ya kondoo sasa madudu yamejaa kichwani ndo ukaamua uje utusumbue humu😎😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Matusi yako nikamkumbuka senga gafla[emoji16][emoji16][emoji16].Mungu naona alinipa nafasi huenda kwa story hii mtu mmoja apone japo sipendagi mtu ajue hili, Id feki imenisaidia kupunguza mzigo wa siri moja kati ya mamia nilizo nazo
ungekufa kimasihara ungepataje wasaa wa kuja kutusimulia upangusa wako humu JF,Jamaica wee,Morogoro mkubwa wewe,India kabisa wewe,alaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha gono nishakumbana nazo sanaa hadi dawa zakutibu nimezikalili ujana ulinipeleka sana aisee But Mungu mwema niko mzima hadi sasa tena wa afya
Yaani uliloweka kavu kavu kwa barmaid, kuna lijamaa langu nalo fara kweli limekula barmaid kavu kavu sasa hivi lipo kwenye dozi ya kutibu gono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…