Yaani nimejikuta naloana kbs nilikuwa class , du mpk nimetoka kwenda kujitawaza kbs ...unajikuta tu unatamani kuingiziwa dushelee lkn ndio hivyo[emoji2958] ..unanyamaza unakuwa kauzu

Sent using i phone x
Usife na tai shingoni jamani mamiiii... washirikishe wadau wakusaidie maisha yenyewe ndo hayahaya hakuna mengine tena.
 
Hahaha Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe am not cheap us u think .......kawatafute wale wa bao moja book

Sent using i phone x
Dada yangu wala usiwe mkali kihivyo mbona hizi ni story za kawaida tu dada yangu...... Halafu maisha yetu haya ni ya furaha tu hususan humu jamii forum basing on the fact that we do not know each other. Lakini kubwa zaidi kufahamiana kunaweza kuanza popote hata hapa jf maana kuna watu wa maana na wastaarabu kama ulivyo wewe dada yangu. Kumbuka watu hufahamiana misibani, kwenye madaladala, mwendokasi, makanisani, bar, disco na kadharika na huko kote kuna mahusiano bora kabisa mengine yanayozaliwa kuliko popote pale unapodhani panaweza toa mahusiano bora hata ya kindoa.

Nisamehe Madam Bahati kama nimesema lililobaya hapa!
 
Yani chai yako tangawizi imezidi imebidi niishie katikati umesoma comment za watu nyingi ukaunga unga story shame on yah


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa jinsi ninavyo wafahamu wananzengo wa Malimbe sidhani kama mkuu kadanganya.
 
Nikiwa chuo mwaka wa kwanza (2013) ule mda wa field nakumbuka ilikua ni miez mitatu au miwili kama sijakosea, mnajua kuna yale magroup ya wanafunzi wa college moja nzima. Sasa kuna manzi alielewa comments zangu akaingia inbox tukaanza stories, ukweli sikua namfaham coz kile kijiji kina watu wapya kila siku, tukachati na hatimae tukawa marafiki.

Field ilivoisha tukarudi chuo tukaonana tukafahamiana lkn sikumtongoza, yule dada alikua mnene wa uzuri lakini kapanda hewani kunizidi. Siku moja jioni saa kumi na moja hivi marafiki zangu wameenda kucheki mpira na mimi nisivompenzi wa mpira nikakaa room. Nilikua bored baadae nikaona nimstue best angu aje tupige story, yule dada hakua na hiana kaja room tumecheki movie kwa mda nikaanza kumtachi tachi naona anarespond positively, piga mate ikaja, lahaula nikaenda kupima oil, dah yule dada alikua na ku***a kubwa balaa, nikajipa moyo nitagonga hivo hivo 😀😀😀.

Nikaweka kibamia changu mle, loh asee hii ni gemu ya pili ya hovyo kwangu kupiga. Kesho yake demu ananipigia simu nikamnunulie chakula cafeteria sikuthubutu kwenda nikamblock na kuanza kumkwepa hata class nikaacha kwenda tukiwa tuna pindi la pamoja. Ila ile kitu bhana nilikuja kusimulia rafiki zangu walinicheka sana wakanitisha yule dem ana ngoma, asee nilihaha. Kuna jamaa angu alikua anakazia kabisa bro una ukimwi tayari, nilikua nammaindi bila yeye kujua. Nilikuja kupima nikiwa naelekea kuoa na nikawa fresh.
 
Nakupa salute baada ya kusoma mstari wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa salute baada ya kusoma mstari wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hasira za nini, ? Tulia na show zako za dk 2,

Kila mtu afanye yake , nafikiri hawakuathiri katika shughuli zako hao ulio walalamikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujafafanua jamaa kwa nini hakuku- text ama alifanya maksudi ili akuonyeshe jeuri yake, baada ya wewe kumletea nyodo kwa mda mrefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…