Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Usiombeeee aisee
Jamaa ambae amekuja kuioa yeye alikua ananiona nina uzuni anahisi ni mawazo ya yule x wangu ambae alinipiga matukio hahahahha kumbe nawaza uzi wa jf aiseee
Hahahahaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ilikuwa ni njia ya kukutana na mr. Uliekuwa unamsaka jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na roho mbaya za mods
Kila wakati kufanyia usafi uzi huu
Usafi usiohitajika kisa wivu wao
Bado umeweza kuendelea uzuri
Muda si muda utafikisha elf sita
Na bado mabaharia wapo kazini
Wanaendelea kushusha nondo
Nondo moto kama hawana akili
Mhuni rikiboy popote ulipo leo
Shangilia sana maana umejenga
Ndio! Umejenga kijiwe bora sana
Wadau na mabaharia wanakutana
Wanawake kwa wanaume wajadili
Wasichana kwa wavulana wasema
Wanayasema waliyokutana nayo
Wakajikuta wanakulana bila soni
Hakuna cha mtongozo wala usemi
Ni kuvuana vificha uchi na kukazana
Wengine wakaenda hadi kuwa ndoa
Wengine ni one night stand matata
Mradi kufurahia uumbaji wa Mola
Yaisha yaendelee kwa furaha tupu
Kama kitabu chetu enzi zetu zile
Someni kwa furaha! Taabu za nini?
Tukutane kijiweni tiyajadili ya kwetu

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu uzi unavutia ila una madhara yake. Mimi nilikua nina imani na mke wangu ila toka nianze kusoma huu uzi simuamini tena, nikipiga simu Mara moja asipopokea nakua mkali na spend awe na ukaribu na washkaji zangu. Mpaka ameanza kulalamika Kama nimebadilika sana siku hizi hata simuamini ila namjibu ni upendo tu umeongezeka
Hii ndo side effect ya huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom