Mkimaliza mnieleweshe kula tunda kiserious kukoje? Ili nitofautishe ni kimasihara,,ahsante
Kula tunda serious ni ile mnakuwa kwa mnapanga na mnakubalia kabisa ila kimasihara ni ile unakuja home sijakutongoza unakuta inatokea tu.

Ni kitu hujapangaa au kutarajia niseme.
 
Kunadem alikuja kwangu namashida yake tu, basi mwanaume nikaanza kumwambia maneno mataam mara nikampelekea mdomo sijakaa sawa ikawa kwel nikamla aisee tulikuja achana baada ya yeye kuondoka.
 
Yani hayo yanakuwa siyo kimasiharaaa, unapomgegeda mt bx ujue na yeye alilegea kwao, mn mi najua mschana km hajakupenda , yn km hana feelings na ww bx kumgegeda ni kazi sn...lkn ukiona umekula kirahc bs jua ata kdg ulimvutia...ila all in all mkumbuke na ndom jmn
 
Nyingine ambayo ilinifanye niogope kufanya mchezo na wadada, ilikuwa around saa tano plus usiku, niko kwenye daladala la Makumbusho Mbezi nimesimama, kufika kimara baruti akaingia mdada mmoja, sasa ile konda anatupanga ikajikuta mdada kasogea mpaka nilipokuwa nimesimama. Alikuwa ameishapiga kinywaji. Kapendeza mwenyewe kwenye kipedo chake, mrefu zaidi yangu,kajazia hatari.

Toka tukaribiane nae, nadhani aliishazidiwa na pombe,alikuwa anacheka cheka mwenyewe,nikimuangalia anakuwa kama anataka kuniambia kitu,nikasikia sauti inaniambia "DODO hilo". Mimi nilikuwa nataka nishuke kimara bucha nikapige bia zangu pale Toroka Uje, Ijumaa hiyo. Nikawa nimependezwa na namna tulikuwa tunagusana gusana na yule dada, nikapitiliza, kati kati ya bucha na kwa matiasi nikamuambia "Tushuke tukanywe Bia", akaniambia "Poa", nikasema mamaaaaa.

Ile tumeshuka tu, pale kituoni hamna abiria,akataka tuvuke barabara, nikamuambia "subiri",akasimama, nikajua huyu nshamshikia akili. nikamuambia twende huku, hakatai ,tukaanza kuambaa ambaa na service road mpaka tukafikia maeneo ya kimara resolt, barabara ipo juu,sisi chini,Giza.

Kwa kifupi, nikaanza kumchapa nao kwenye majani,doggie. Kutoka hapo ndo tukaenda kupiga bia.

Toka siku hiyo, Kwanza nikaacha kupanda daladala, Pili nikaacha kabisa kabisa kufanya mzaa mzaa na Jike la namna yoyote ile. Yaani mpaka leo wadada hawanielewagi. Natafuta visiki tuuu wenye proven record ya ukisiki.
 
Enzi hizo bado mgeni mgeni ndani ya dsm nikiwa naishi mikocheni kw broo, siku hiyo nikatoka kutalii talii mitaa ya bamaga, nipo kwenye kituo cha daladala nasubia gari hapo mara akaja mrembo moja matata sana amekaa kwa pembeni kidogo anasubiria gari.... Basi nikaona isiwe tabu nikajisogeza na kuanza kupiga nae story hivi alikuwa amevaa vizuri suruali imembana kashepu kanaonekana vizuri kabisa huku amebeba mkoba mkali. Basi kiutani tu nkamwambia vipi unaenda wapi sahizi nyumbani au (mana ilikuw km saa 3 hivi night) dah cha ajabu nkaona km anajiuma uma hivi kujibu swali hilo, huku akiwa ameinama chini km anafikiria kit flani hivi nikachomekea tu kimasihara.. "twende basi kwangu leo unipe kampani ksho ndo uende kwako"... Huku nasikilizia jibu la hapo demu atasemaje sikuamini alipoinuka kunijibu... "hebu naomb simu yako mara moja nimpigie mtu" ile nimempa tu simu mara gari hii apa nkamwambia tupande akapanda na me nkapanda hao tukashuka mitaa ya rose garden mana toka hapo home haikuwa mbali basi nkampeleka kuna guest moja kiwango kzuri tu karibu na home nikabook chumba nikamwacha apo nikaenda home fasta nikamuaga broo nikarudi kwa mtoto, dah nilikula yule demu hadi asubuhi sikuweza kuamini
Usiku ndo alinielezea mkasa mzima kumbe ni kuwa aliolewa na soja moja hivi wa kikosi k1 jina maarufu apa dar (jina la kambi niweke kapuni kwanza) alimnyanyasa sana vipigo daily na maneno ya fedheha daily yan so siku hiyo jamaa kama kawaida karudi toka kambini kampokonya cm na kumtembezea vitasa km kawaida yake dem si akaamua kusepa home kwa sista ake mbagara sasa aliazima cm akamjulisha kilichotokea na kwamb anaenda kwake dada ake kamwambia poa so aliponiomba cm ikabidi amjuze tena dada ake kuwa atalala huku mpk ksho ndo ataenda kwake.
Dah mpk leo nikikumbuka huwa sielewi elewi km ilikuwa real mana nilikua natest tu haf kumbe ndio napigiwa kabisa baada ya kuwa nimebeep na mrembo mkali sana happy. Be blessed wherever you are happy
 
Nipo maeneo ya wakala wa mpesa kwa mwanagu mmoja iv akaja pini mmoja ni nurse kweny dispensary moja uku mkoan alifanya kazi zake za miamala alipo ondoka nika enda kwa mwanagu anipe namba yake maana inakuepo kweny msg za miamala pale nikamchek nikamuliz kama yupo kazn akasema hatakuepo nikamuomba anielekeze alipo kwan ninahitaj kupima HIV vipimo vile nilikuanavyo ila nilijidai siwez kujichoma akakataa nikamuomba sana akakubali akanielekeza anapo ishi nikaenda kama usiku saa 1 akanipokea tukapiga story akaniandalia chai tukanywa baada yahapo nikatoa vipimo viwil akashangaa mbona viwil nikamuomba tupime wote alikuwa anajiamin hakusita tukapima ngoma zikawa safi kabisa akajichanganya kutoa dompo kwa frij kilichotokea baada ya dompo dahhhh alipigwa mti mpaka akamtukama jamaa yake anaitwa james nakumbuka alisema james hajawah nifanya ivi
 
Teh teh teh kweli Baharia ulitisha na una mbinu zote za kivita, hongera sana
 
Mwaka 2010 31-December natoka zangu Vikindu shambani naelekea zangu kujumuika na Wana pale Banana UEFA Bar kuaga na kuukaribisha mwaka mpya 2011. Mida ya Saa kumi jioni nimefika zangu Mbagala Rangi Tatu napanda UDA la Mbagala kwenda Ubungo Simu2000 ili nishukie Tazara then nichukue gari nyingine mpaka Banana. Kuingia kwenye gari kukaa kwenye siti namkuta Dada mmoja white mwenye umbo la kuvutia matata,nikampa Hi akaitikia.
Baada ya pale kikapita kimya kirefu sana kila mtu na hamsini, washkaji wakawa bize kunipigia simu mbona sifiki,nikawaambia nipo njiani nakuja.

Tulipofika Uhasibu nikaanzisha maongezi,Demu akawa anajibu vizuri sana,akaniambia ametoka Chamazi kusalimia ndugu yake na anaelekea Ubungo Simu 2000 kupanda Gari la Mbezi maana anaishi Kimara Suka. Nikamuuliza Mwaka mpya anaukaribishia wapi akajibu kuwa anaenda home tuu sababu hajapata mwaliko wowote ule, nikamwambia vipi nikupe kampani akasema wewe tuu. Mara papp Tazara hiyo hapo,akili za fasta zikanijia kuwa nisishuke pale ngoma ikaenda mpaka simu2000,kufika pale mida ya saa1 kasoro usiku.

Tulipofika tukatoka nje ya kituo tukakaa kwenye vile vibanda vya wakina Mangi wanavyouza bia,kufika nikamwambia agiza unachokunywa,mara paap kaagiza Serengeti Lager Kubwa nikasema hapa ndio nilipokuwa napasubiri,na Mimi nikachukua Kilimanjaro Kubwa,tukanywa pale mpaka saa5 usiku demu akasema nitafute usafiri nimpeleke kwao. Nikatafuta Bajaji fasta tukaondoka zetu,huko kwenye Bajaji full kumnawa tuu,tukafika anapoishi,bonge la hekalu ndani mbwa wa kutosha akaja beki tatu kufungua,Mimi nikamuaga naondoka demu akasema hakuna kuondoka ingia ndani. Nikaingia akanipeleka kwenye Kota Moja ya uani nikaingia mpaka ndani, akaniambia subiri niende kule nyumba Kubwa nakuja akaniacha nimeenda kuoga,akarudi na msosi nyama choma na whiskey black lebel. Nilikula mzigo hadi asubuhi,demu asubuhi saa1 akaenda church akaniacha nimelala,aliporudi tuu nikaendelea kupiga mzigo,akaenda kuniandalia chai nikanywa nikapiga tena mzigo,akaenda kupika msosi wa mchana huku Mimi nipo ndani napiga whiskey nyingine.

Nilikula mzigo mpaka jioni yake nikaondoka saa2 nipo hoi. Nilipokuwa pale nilimuuliza hapa ni kwa nani na mbona jumba lote hili mpo wawili tuu wewe na beki tatu, akajibu hapa ni kwa Kaka yangu Mimi nimekuja kwa muda sababu nina mgogoro na Mume wangu wa ndoa nilikuwa naishi Arusha,Kaka yangu na familia yake wote wameenda Arusha Kula sikukuu. Kuanzia pale nikawa najilia vyangu tuu kila ninapohitaji.
 
Hivi 2010 stendi ya daladala SIMU2000 ilikuwa tayari? Aisee hii chai imechacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom