@Mama Debora nikuambie kitu, maisha haya kila mtu ana njia yake na anaishi vile anaona inafaa. Kina siku niliuliza, hivi jf(mmu) napo kuna wanunuzi wa uchi na wauzaji? Jibu nililopewa ni kuwa wapo kama walivyo huko mtaani kwenu/kwetu.

Huyu kaamua kuonyesha maisha yake openly, sio kitu cha kujivunia lakini je, huko mtaani wadada hawaliwi ovyo tena kwa mkopo tu? Huenda kwa nyendo zake kuna watu wanajifunza, labda kwa vile na yeye anafurahia kuchapwa ovyo, ilà wengi tu wanachapwa kindezi sana.
 
Eti kwenye simi lako, laonekana kubwa sana hilo simi lako eeeeh?[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani watu hawajali afya zao kabisa.
Yani mtu anakutana na demu waluwalu, kwa vile hana nguvu za kutosha, anaingia chumvini ili ku-buy time, mara anachomeka pia bila kinga, asee!
Hivi vihoja huitwa majuto ni mjukuu na kwa kasi hii na mambo nilioshuhudia tunahitaji uhamasishaji mkubwa sana kutambua hatari yake.... Mua unazamisha meli mkuu
 
Nimeshamsaidia Kumuitia Watu Wa Kumuelewesha.

Amachofanya Ni Sawa Na Kwenda Bar Uagize Maji Halafu Uchukue Mic Na Kuwatukana Wanaokunywa Pombe

Simu Zetu, Bundle Letu, Ac Zetu, Akili Zetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Na dhambi zetu. Nimemwambia atangulie paradiso kama anaona hapa watu wana dhambi sana.
Wamama wa hivi huwa wanatesa sana ma-house girl wao.
🤣🤣🤣🤣
 
Huyo mnyaru alikuwa ametoka visiwa vya lake Victoria kuuza nyapu, wanyarwanda huko visiwani ni wengi mno..ukiwaona na mabegg jua wamebeba zawadi za ndugu zao hasa samaki&dagaa wa Victoria..

[emoji117]hivi mabaharia tunapata wapi ujasiri wa kupiga deki kwa mademu tusio wajua yaani kuonana nao kwa moja tu mnafikia huko kote..hivi kama wewe amekupa kimasihara unajua ni wangapi kawapa?

[emoji117]Kingine hawa mademu waopenda kuzuru ziwa Victoria wengi wao wana magonjwa ya zinaa sugu, angalieni usalama wa koo zenu, mtapata kansa za koo kwa kupenda kupiga deki pasipo kutafakari..pia kinga ni lazima mjue

#Tusiache kula kimasihara ila tahadhari ni bora sana, maana ukipotea wewe mmoja tutakuwa tumepoteza member watu wa hapa jamvini.. Ni hayo tu kwa leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki mkuu, ukiamua kutumia kiswahili basi tumia kiswahili tu, na kama umeamua kutumia English basi tumia hiyo hiyo mwanzo - mwisho, sasa mambo za kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja ili uonekane msomi ujue unajichoresha na ndio maana story yako haina like hata moja.. Kweli unatupotosha mabaharia, arafu story yako inakoswa mvuto kuisoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii nimeikubali %
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa mabavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…