pirate
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 725
- 714
Mkuu ni maneno napenda Tu kuyatumia Ila ni 200's huko.Oky leo kwa sabau nipo off ngoja ni komenti hapa although nilikua sina mpango so hongera mkuu kwa kula kimasihara
mkuu uliposema enzi hizo itakua ni mwaka jana labda, uo muandiko shukrani sana nimeuelewa ki bingwa. Ni umemwagika na kimasihara pirate



