Mambo ya kula tunda kimasihara hayo😅😅nimecheka sana😅😅😅😅 watu ni wachafu mno asee
Sijawahi zaidi ya kula mahindi ya kuchemsha,mayai na maziwa mgando huku natabasamu wananchi wanavyonikata macho makali.nilikuwa natoka Dar kwenda Mtwara mwaka 2017 nilikaa siti ya nyuma na mrembo wa kimakonde, nafupisha stori nilima kwenye siti ilipofika sa mbili uck.
Mayai na karanga😬Sijawahi zaidi ya kula mahindi ya kuchemsha,mayai na maziwa mgando huku natabasamu wananchi wanavyonikata macho makali.
kelele vipi?nilikuwa natoka Dar kwenda Mtwara mwaka 2017 nilikaa siti ya nyuma na mrembo wa kimakonde, nafupisha stori nilima kwenye siti ilipofika sa mbili uck.
Sahihi.Unakula kwa madaha sana huku unamwambia jamaa aliye upande wa dirishani akununulie maji ya jero.Mayai na karanga😬
alikuwa anajikazakelele vipi?
Muda huo jamaa hajafungua kinywa masaa nane, usiombe akuulize hapa ni wapi😖Sahihi.Unakula kwa madaha sana huku unamwambia jamaa aliye upande wa dirishani akununulie maji ya jero.
na wewe je?alikuwa anajikaza
Unaishi naye kindugu tu hadi mwisho wa safari.Hamna namna.Muda huo jamaa hajafungua kinywa masaa nane, usiombe akuulize hapa ni wapi😖
Huu uzi nilikuwa siujui kumbe upo hot hiviMuda huo jamaa hajafungua kinywa masaa nane, usiombe akuulize hapa ni wapi😖
Aisee! Ni kazi lakini🤢Unaishi naye kindugu tu hadi mwisho wa safari.Hamna namna.
HahahahaHuu uzi nilikuwa siujui kumbe upo hot hivi
Hujambo mshangaziHahahaha
Sijambo dogo vipi?Hujambo mshangazi
Mishangazi ya jfSijambo dogo vipi?
Unazunguka tu kwenye uzi wa watu wenye bahatiSijambo dogo vipi?