Ngoja kwanza nicheke😄😄.
Ilikuwa kipindi cha likizo hivi,nimetulia zangu mtaani na jamaa yangu. Tukiwa tunarudi zetu maskani tunatembea mdogo mdogo,giza lishaingia kuna demu alikuwa anatoka kazini[alikuwa mhudumu wa mgahawa]
Nikaanza kuimbisha tunatembea,distance ikawa tumefika mbali jamaa yangu nmeshamuacha. Kuomba shoo muda huo huo demu akawa anakaza,akasema labda kesho tujuane pia,ilikuwa giza kana kwamba hata sura mtu humuoni vizuri,kiufupi tulikuwa hatufahamiani licha ya kutembea umbali mrefu.

Manzi hakuwa na simu,nikawa nafikiria tukiachana hapa ndiyo imeenda hatutaonana tena!,nikakazaaa bwana wee mwisho akakubali kwenda geto.
Picha linaanza sina geto nakaa nyumbani. Kulikuwa na sister alikuwa kasafiri ikabidi nimpeleke kwa sister yule demu. Geto la sister lilikuwa halina umeme bado,ko mwanga wa simu! Hapo sjala cha usiku,demu ikabidi nimuache mule nikale nyumbani,nikamuuliza nimletee msosi akasema kala kazini.
Kwakuwa simjui hata kwa sura,nlipotoka ndani nkafunga na kufuli kwa nje asije toroka,nikaenda kula home,then nikazuga kama.nmeingia kulala kumbe nmeenda kwa demu. Yule demu alikuwa anajua mambo balaa!,tulipiga shoo usiku mzima,asubuhi sana akasema anaenda nyumbani kujiandaa arudi kazini,nikamlipia boda nikampa elf7 hivi nikamwambia leo nitapita kazini nije nikakununulie simu[ nlikuwa namdanganya sababu sikuwa na hela kabisa]
Yule demu hata sura sikuwa namjua hata tungeonana,sidhani hata yeye angenifahamu hata tungekutana kesho yake tu.

All in all ni miaka mingi sana imepita
 
Kama hata sura hukuijua bas utaijua sura ya ARVs kijana get prepared
 
Acheni kuhalalisha huu upuuzi hata km tuna tamaa za ngono sio tugeuke wanyama. Kama akili yako umeitune huwezi haimaanishi wengine hawawezi.

Unacho feel sio kila mtu ana feel
 
😁umetisha San kiongozi
 
Mmmh
 
Aisee miaka yote naona headline ya hii Thread, sijawahi kuifungua.
Aiseee ina comments 2644?
Watanzania bhana mmmmmh ✊✊✊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…