..unazawadiwa mimba ya mume wake ili kupata uhakika wa malezi ya mtoto I.e resources diversification
 
Adhabu huwa ni Fidia, kipigo, kuuwawa au kuingiliwa kinyume.

Adhabu unayoitamani inajulikana ila sisemi.
 
wanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .

mwanaume ukiwa maskini una mke halafu upo mjini mfano dar na dodoma mjini kazi unayo
Wavijijini pia wanachepuka sana tu.
Mchawi pesa tu.
Wapo wanawake wanachepuka bila kufuata pesa, wao ndiyo wanatoa pesa na vitu.
 
wanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .

mwanaume ukiwa maskini una mke halafu upo mjini mfano dar na dodoma mjini kazi unayo
Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
 
Single Maza kakuingiza kwenye mfumo ukajaa mazima.
 
Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
What a tragedy
 
Tutaonana tenaaa aah tutaonana tutaonana tena aah tutaonana
Mbinguni
 
wanawake wengi wa wanaume wenye vipato duni wanachepuka mno mradi tu wapate hela .

mwanaume ukiwa maskini una mke halafu upo mjini mfano dar na dodoma mjini kazi unayo
Wote wanachepuka dhama zimebadilika tatizo ni binadamu tunataka kushindana na ukweli ...ukweli ni kama ifuatavyo
1)hakuna mke wa peke yako
2)starehe ya sex siyo kwa mwanamke mmoja au mwanaume mmoja
3)uhitaji wa mwanamke ni wanaume 6 kwa wakati mmoja,
Uhitaji wa mwanaume ni wanawake 3 kwa wakati mmoja
4)msingi wa ndoa ni kulea watoto zaidi kuliko kulindana na kuchungana na kuviziana kama magaidi na majambazi na mapolisi.
5)kuamini kuwa mke wako anatosheka na wewe tu ni kujidanganya na kuukataa ukweli na kushindana na ukweli kwa kiwango kikubwa.
6)kuamini kuwa mume wako anatosheka na wewe tu ni kujidanganya na kuukataa ukweli na kushindana na ukweli.
7)kudhani kuwa mke wako na watoto wako ni watumwa wako ni kujidanganya na kushindana na ukweli.
8)kudhani kuwa mume wako na watoto wako ni watumwa wako ni kujidanganya na kushindana na ukweli.
Kudhani kuwa ukiwa na fedha kutamfanya mwanamke asitake wala asitamani mwanaume mwingine zaidi yako ni kujidanganya na kushindana na ukweli.
 
aliyekwambia utangaze jumbo hike Nani? .umepewa of Nani kakwambia utangaze jambo hili?,umeomba mtoto,umepewa ofa,badala kumla huyo dada azae,unakuja hapa kulaumu mwanamke,hebu nipe mimi kama hajaanza kutapika mwezi ujao
 
Hongera sana mwamba, yaani wewe ni kamanda kapteni la kwenda, huyo usimuache mwanamke kwanza ushasema ni mtamu, halafu huyo fala wake atajua mwenyewe wewe piga mzigo baharia bahati hizo haziji mara mbili, inaonekana wewe handsome sana afu unaenda raundi za kutosha, mbegu zako adimu mumewe hana, komaa jeshi langu mwendo ni huo tu yaani 2025 kama vipi mwambie amtose huyo fala wake ahamie kwako mazima ili marehemu mama yako afurahi zaidi
 
Inavyoonekana Vesuvius na Mcheza Viduku ni Mtu mmoja ID tofauti Maana Hata Baadhi ya Maswali Hapo nyuma Ulijisahau ukajibu kwa Nafsi ya Kwanza Umoja..

Ila Ushauri wangu Unaukoka Moto
 
Hivi wanawake wa aina hii si ndio wanaizidi kuwapa point timu kataa ndoa.

NB:- WAPWA......HUYU MWANAMKE NI MTAMU SANA SITAKI KUMUACHA NA SINA WAZO LA KUZAA NAE.
Wafilipi 4:8:
“Mwenyewe, kila kitu cha kweli, kila kitu cha heshima, kila kitu cha haki, kila kitu cha utakatifu, kila kitu cha upole, kila kitu cha kupendeza—ikiwa kuna uzuri, ikiwa kuna sifa mema, fikiri yale.”
---
My take:
  • "Usizini." — Kutoka 20:14
  • Methali 6:32 inasema:
"Apataye uzinzi na mwanamke hana akili; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…