Mawazo yako na hofu yako ndio itakuua,ninavyojua mimi baada ya wiki mbili reaction ya virus ndio huonekana,hayo ni mambo mengine
 
Utakuwa ulitumia energy nyingi sana kuipiga mkuu.
 
Kapime
 
Mkuu huo ni wasiwasi wako tu hakuna ngoma ya haraka hivyo labda uti, sema mimi madem wembamba sana unakuta kipaja kidogo chembamba kama panga kiukweli huwa nakosa nao hisia kabisa by the way sijamzungumzia Hannah
Ungesubiri hata uchangie kuhusu hili kesho. Kitu kizito alichotupiga mtoa mada kilitosha kwa leo, wewe ungesubiri hata kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…