Huu uzi hamtupi update mkipata ukimwi aisee
Aisee hii kitu bwana niliwahi kuiepuka nakumbuka miaka ya 2020 mkoani katika isue zangu za kibiashara.

Nilikutana na mtoto mmoja anakadiriwa under 25, huyu bidada nilimkuta kasimama muda mrefu katika duka langu mwisho wa siku nikaamua kumuliza "kulikoni mbona kama hauna uelekeo wowote" ndio akanijuza kuwa kuna lori ambalo alitarajia aondoke nalo dereva kapata dharura safari leo haiwezekani na hana sehemu ya kwenda hapa town ni mkeni katokea wilaya ya jirani wa mkoani nadhani mnanielewa baadh ya mikoa wilaya mpak wilaya ni kipengele sana.

Alivyoniambia inaondekan binti alikuwa anataka kwenda zenji bila nauli maalumu yan kupitia malori ya makaa ya mawe atimbe dar then aende zenji. Nikamuhuliza umetokea wap akasem katokea wilayani x so kule alipotokea ni mbali nikamwambia sio mbaya kwasbb njia ndio hii hii utafute sehem ulale then kesho asubh mpema aamke dogo akakubali lakini akasema nimsaidie kwa hilo.

Basi nikaamua kukaa nae dukani mpaka mida ya jioni tukaanza safri kurudi huku nikifanya harakati mtoto apate gest alale bahati nzur mitaa yetu gest zilikuwepo za kutosha, tukabahatika kupata chumba gest moja hiv dogo akaingia ndani nikamlipia chumba per night ilikuwa 20K. Baada ya hapo nikamwambia narudi maskani so Mungu akipenda tutaonana namba yake sikuchukua si unajua tena kuonana sometimes katika hiz mambo ni ngumu sisi wa mikoani tunaelewa. Mtoto akaniambia kam nitaweza nije baadae (ule usiku) na chips alafu kulala peke yake anaogopa hasije akachelewa pia mazingira ya pale ni mageni kwake nikamwambia "flsh bs ngoja nirudi home mengine nitafikiria" so harak hrak nikafika home pat maji ya kutosha mazoez kidogo then nikapitia kibanda cha chips mishikaki pepsi fulan hiv na vimachungwa nikavibeba safari kwa manz gesti.

Moja kwa moja nilipofika gesti nikaingia chumbani mlango aliacha wazi (alijua kijana nitatokea) wakati huo alikuwa akioga (chumba ni master)..... Baada ya kumaliza kuoga nikamuandalia mazaga msoc ale apumzike. Bidada akachukua chips akaanz kula huku tukiwa tunapiga stry.

Aisee katik moja na mbili story zake kuna moja iliniogopesha ikanikata stimu kabisa ya uzizi, akasem haya malori makubwa yanatoka mikoani kwenda daslama madereva walio wengi wanalazimisha ngono bila kujari afya zao mtoto akazifi kusema kun ukimwi😀...nikamuuliza uzoefu wa hizi safar kasem ana miaka 3(ashakuwa master). Nikamuhuliza tena zenji unaenda kufanya nn ,akasem anafnya kazi katika hoteli kubwa ya kitalii mjini zenji maboss na watalii wanamlia matee duh😀 (wanawake na pesa🙌🏾)
Baada ya hapo nikaona huyu demu noma nikazuga na simu nikamuaga nikachomoka maskani.
 
Huyo alitumia akili ili usimle
 
Alikutisha ukatishika bora kukwepesha mbawa zako kunguru mwoga
 
Ungetafuta zako ndom mzee. Lakini sio mbaya unaweza kulazimisha kupiga then ukabaki unajuta kwenye maisha yako yote
 
Kwa hiyo hata dagaa ugali hukumlisha binti wa watu...
 
Dah amekupoteza maboya ili usile paka
 
Hahahaha
Hakukua na condom maeneo haya

Ulimwangusha shetani comrade
 
Hahahaha
Hakukua na condom maeneo haya

Ulimwangusha shetani comrade
Sometimes sawa tunaweza sem binti alikuwa ananitishia pia i was a fuckin nice guy by that time very gentle huwenda she alikuw akiniona kam potential brother😂 cz she was speaking a lot about her and her life kingine Uoga ulichangia kwa kiasi kukubwa.
 
Huu Uzi tangu nianze kuuona nimekuta lihuni. Saiv nikikutana na mwanamke nikamwelewa nawaza kumla kinasihara. Wanawake saiv hawanyimi utam. Siku moja nimekutana na mwanamke ambaye namfagam kabisa kama miez 7 hiv. Tumeongea kidogo, akanipa namba . Ilikuwa ni usiku... Nukaanza wasiliana nikamwambia uje tupumzike geto..hakukataa akaniambia atakuja ila anaogopa watu.
Ila niwe na kondom akina, dah, hakuweza kuja nikamfata saa 10 kwake.. nikala Cha asbhi. Nilienda mwepesi sana kazin siku hiyo.
 
Bila hata chakula,duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…