Haaahaaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Maniner
 
Dah...!
Kwa hiyo ndo umeamua kuja kunishtaki humu?
Hujui kama mke wangu pia ni mwana Jf akupitia huu uzi sijui itakuwaje leo nyumbani!!!
Ila ukweli siku ile nilikufaidi sana aisee natamani siku nyingine uje tena Dom
 
Hii inakuwaga siri ya jeshi mkuu, huu ni mkeka wa wanawake umekaa je kutoa siri za kiumeni?
Nitakusemea kwa SweetieLee

Vida1, post: 33738556, member: 558275"]Kuna demu yumo humu nilianza kumtania kwa kumtumia ngoma ya mapenzi ya Bryan Adam kwenye PM. Then tukachart nikamwomba one night nimtoe dinner akakubali... Nikampeleka tegeta pale China bar Hadi saa nane midnight then nikaenda kujitombear lodge. Ila tulienjoy saana.

I miss you anonymous wa jf ulienizawadia kabumunda.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…