[emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha sana mkuu.Kwahiyo kwasasa hampo pamoja
 
Nnavyokuambia wanafanana Kila kitu namaanisha aysee..hata miguno uwanjani ni sawa sawia
ulipata bahati sana mkuu kula mapacha kwa mpigo hiyo hutokea 1 in a Million chance
 
ulipata bahati sana mkuu kula mapacha kwa mpigo hiyo hutokea 1 in a Million chance
Aah..walikuwa wamenizoea hadi geto wanakuja wanapika wote..ila u fisi wangu wa kuangaika na pisi nyingine ilibid niziweke pending kwanza due ukizingatia zilikuwa zinasoma
 
Noma sana mtaani mzee
 
🤔🤔🤔unazungumzia mpangaji, wenzako mama mwenye nyumban na mtoto wake, mpangaji mwenzangu analiwa kishkaji tu., Kuna wawili wananilelea watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…