Upo sahihi
Mambo matatu unakula kimasihara mke wa mtu.
1)Msifie mara kwa mara
2)Mpe zawadi hata ndogo ndogo
3)Uwe na huruma nae, akiwa na magumu ama mapito..msikilize.
Ukikosa kula kimasihara hapo, niite pusi, nipo pale getini.
Ushaur, mke wa mtu sumu