Nipo nimejaa tele nipo likizo mm mtendaji wa kijiji
Khaaaa umeoa una roho mbaya hata kadi loooh
Nimerudi siku mingi sana
Ujue nitalia mm wa kunifanyia hivi kweli jaman
Nakuja kesho huko nitakuwa mitaa ya Kibaha
Salama my wangu
Unanikimbia eeeeh
Hahahaha, bora umerudi ,tulimiss maandishi yako ,karibu sana
 
Next time mkuu ukipita hii road tufahamishane tunaweza kufanya narejeo ya tukio, nitakuja PM!
 
Mkuu nimewahi kuwatongoza wengi sana humu kupitia PM ila kamwe sijawahi kuwapa details zangu kiundani. Shida ya hawa wanawake wengi huwa wanajiachia sana hawaogopi sijui kwanini? Huwa napanga nao miadi ila hata maili 100 kuzunguka eneo la miadi sitokei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…