Relax mkuu.

Mwenyewe kuna masihara niliandika huku Mwamba alinusa harufu akanifuata PM nikamuweka sawa nadhani bado maisha yanaendelea upande wao
 
Relax mkuu.

Mwenyewe kuna masihara niliandika huku Mwamba alinusa harufu akanifuata PM nikamuweka sawa nadhani bado maisha yanaendelea upande wao
😂😂😂😂😂 noma mwanangu sa tushapasuana i cant undo that na me jamaa sikujua kama anazamaga huku like nimeshastuka juz kati jamaa kanitambulisha kwa mwanamke , mwanamke kaiba namba kwa mshikaji kaja kunitafuta mida mibovu nikimpasua nakausha tu
 
Noma sana aloo, kuna moja hiyo naiwazia mpaka leo. Usipokuwa makini ngwengwe ipo pale inakusubiri, unawaza haka ka chuo sio shida, maniner kumbe bora hawa 30+ tunaoishi nao mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…