Nategemea mrejesho
 
Ushamla? Au ndio umegoma haondoki hadi umle
 
Kwahiyo umetuwakilisha vizuri kwa boss lady.
 
Halafu mwamba anasema amemzidi umri shem wake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Enyi Wanawake! Tuwafiche wapi jamani?

Baada ya kutoroka kazini asubuhi hii ya leo kwa kosa la kukutwa namtomasa mke wa boss, nimeamua kufikia somewhere karibu na Guest Bubu moja ili kusogeza muda

Saa tatu hivi asubuhi, walipita wanandoa wawili waliochoka kuchakatiana kwenye kitanda chao halali kisha kudumbukia ndani ya gest ile wakiongozana mithili ya siafu wanaotaka kupasuka mioyo

Basi bhana, nimekaa pale asikwambie mtu mpaka mida ya saa 9 kasoro! Jamaa amekuwa wa kwanza kuikimbia mbususu. Robo saa baadae mwanamke ametokeza kutoka ndani ya shimo lile la mzagamuano. Nikaona wacha niunge naye. Nikasogea barabarani mithili ya mtu ambaye hana taarifa ya uchakatwaji i.e kama mpita njia vile, nikaamua kumrushia nyavu, baada ya kama robo saa hivi, mtoto kanasa na makontakti kayarusha na tabasamu juu

Wanawake hata wapewe nini ni ngumu kuridhika

Binafsi siwezi kutongoza demu nikiwa natoka lodge kuelekea somewhere. Au kumtongoza mwanamke masaa 12 baada ya mnyanduano

Enyi wanawake tuwaelewe vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…